Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Leo nilikuwa naangalia Aljazeera,watu wa Ukraine wanaapa kamwe hawataki kusikia swala la Ukomunist tena kwao,wanasema maisha magumu walliyoishi wazazi wao yanatosha.Wameshaonja ladha ya maisha ya kibepari uje utake tena kuwarudisha kwenye maisha ya Ujamaa,ndiyo maana wameamua kusimama kidete kujitetea.Sera za ujamaa ziliwaharibu Sana, the are humble submissive to the leader's ignorance, never Russia hawezi ku battle na mabeberu. Mabeberu ni compitetive in nature