Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

Kuna baadhi ya miji warusi waliingia sasa hivi wanatanani kutoka ila hata hivyo njia ya kutoka nayo ni ngumu.
Utatuma je vifaru na magari ya kijeshi yakiwa yamesheheni wanajeshi bila kupiga mahesabu ya plan B?
Russia waliingia na plan yao A kwamba wanachukua nchi ndani ya mda mchache.

Hawakufikiri ikiwa hiyo plani itafeli nini kitachukua nafasi. Ndio huko sasa unasikia wameishiwa mafuta na chakula. Hata kama urusi itatuma makombora ya mbali kuharibu majengo ya miji kama wanavyofanya ni jambo gumu kwa jeshi la ardhini kuingia mjini kupora matumizi maana inalindwa na wazalendo walio apa kufa wakilinda haki ya hati miliki ya taifa lao.

Sasa imebaki mjini hakuingiliki, nyumbani hakurudiki.
Ukraine wameonesha mshikamano ambao wengi hawakutegemea, wengi walijua hilo swala linaisha na Zerensky anasepa
 
Mwanangu unaonekana mbishi lakini content zako bado chache, Russia aliwahi kuikalia ardhi ya afighanistan kwa miaka tisa baadae yakuona hapati faida zaidi ya hasara kama kupoteza vijana akaamua kuondoka na hata kwenye battle field alipondwa vizuri, hata beberu alichapika vizuri tu kwenye uwanja wa Vietnam, tatizo lako ushabiki umekuzidi kila kitu unaleta ushabiki
Huyo dini yake ina chuki na Marekani na washirika wake
 
vijana wa kibongo niwaoga waoga ndio wanaongoza kuwashauri waukraine wajisalimishe wangejiuliza nyerere angejidalimisha kwa idamin leo ingekuwaje
Mi nimewakubali watu wa Mauripol, wale jamaa wamezingirwa ila wamegoma kuweka silaha chini, nasikia kwa sasa wanakufa kwa njaa
 
Kwa sababu hawajali national integriy pia inferiority complex ni tatizo, lakini wenzetu wa ng'ambo kufia vitani kwa ajili ya nchi yao kitu cha kawaida, vijana wa Zamani walitembe kilometre nyingi sana kwa mguu kumuadabisha idd Amini baada ya kuvamia nchi yetu, lakini vijana wa leo hawana uwezo hata wa kuoa fisi akivamia zizi la ng'ombe
Tatizo hilo limeanzishwa na CCM
 
Kwenye vita ya pili ya dunia US walikuwa na kikundi kinaitwa Ghost army, kilikuwa kinafanya propaganda na matokeo ya kumfanya mgermany achanganyikiwe.
Mfano kutengeneza vifaru fake kumbe ni mabaloon yamejazwa upepo n.k
Hata hapa Propaganda zinazopigwa mara Warusi wamekufa 16000
Inawatoa wanajeshi morali
 
Kwa propaganda Ukraine ameshinda vita, ila ukweli rais Zelensky anaujua, maana anapata daily briefing ya nchi yake.

Usione mtu analia, anaomba maongezi, anailaumu Nato na kuitaka dunia tumsaidie. Watu milion 10 wemekimbia nchi, je baada ya miezi 2 itakuaje?

Mji wa mariupol zimebaki gofu tu, je baada ya siku 90 hali itakuaje? Tuache ushabiki maandazi.
Jipeni moyo
 
Kutokana na hii kesi ya Ukraine. Kuna mataifa nimeona ni tishio ktk medani ya vita, na hawasemwi kiviiiile.

1. UK
2. France
3. German

Endapo kusingekuwa na Nuclear, Russia hawezi kufua dafu ktk battle na hawa jamaa.
Urusi yeye anajivunia Hypersonics na Nukes na Defences, hana offence power na ndo maana NATO wakaona wamzunguke ili iwe rahisi kumpiga kwa kutumia vibomu vidogo
 
Nimeanza kupata wasiwasi juu ya uwezo wa zile s300, s400 n.k yamkini hizi sio effectively kama patriot au THAAD
Hiyo S400 haijawahi enda vitani.
Kwa sasa Ukraine hana uwezo wa kupiga Urusi akipata huo uwezo itakuwa hatari lazima tu Nukes itatumika
 
Acha utoto basi nimekujibu vizuri kuwa propaganda ni silaha ndani ya uwanja wa vita unaleta personal attach maana yake nini kaka
Jibu ulilompatia hakuwa na cha kupangua,akakimbili kwenye vijembe,nimesoma comment yake nikacheka
 
Urusi yeye anajivunia Hypersonics na Nukes na Defences, hana offence power na ndo maana NATO wakaona wamzunguke ili iwe rahisi kumpiga kwa kutumia vibomu vidogo
Yote inawezekana mkuu ila sasa kwa jinsi mambo yalivyo, sidhani kama hizo defences zake ni imara zaidi pamoja na ships, jets na submarines.

Mwanzo nilikuwa naiamini mno russia kuliko taifa lingine lolote lile ktk medali ya vita, lakini hili sasa la Ukraine tukiweka mahaba pembeni, tunaona ni kweli NATO amefanya kazi kubwa kumlinda Ukraine mpaka sasa.

Power ya Russia naona imebaki kwenye Nukes.
 
Hiyo S400 haijawahi enda vitani.
Kwa sasa Ukraine hana uwezo wa kupiga Urusi akipata huo uwezo itakuwa hatari lazima tu Nukes itatumika
Na putin yupo serious ktk hili, sijui hofu yake ni nini hasa Ukraine akiingia NATO, mbona yeye ana zana za kutosha tu? Akitokea mtu akamzingua ipasavyo, hatashindwa kuwasha nuclear.
 
Bado mna hizi hoja za "Urusi anatumia silaha za Cold war" kwa hiyo hizo supersonic ni za enzi hizo siyo?
Mm sijui kuhusu hypersonic wew unaongelea supersonic kaa kwa kutulia Kam vp kaingilie mzozo tukuone
 
Ukraine ni Wazeleondo kwa vitendo,hawana uoga hata kidogo,ukiwaona wanavyoongea kwa Media,utadhani hawanyeshewi mnvua ya mabomu.Hawa watu kuwashinda kwa vita ya mtaani Russia ajipange haswa.
Nyamizi ushamezeshwa propaganda tayar ni ngumu kukusaidia
 
Back
Top Bottom