Ninaniniyule
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 101
- 145
Operation ya kijeshi imeshashindwa ndani ya time frame.Tusubiri vita kamili.Bado URUSI hajatangaza Vita lakini Tayari Zelensky keshaomba Msaada kila pande ya Dunia!
Leo watu Wamagharibi wanataka Sisi watu Weusi tuwaunge mkono kuinyanyasa URUSI!
Ulaya na Marekani wanaipa msaada Ukraine wa kila kitu ili kuidhibiti hii Operation ya kijeshi!
Lakini watu wanazidi kuikimbia Nchi yao,Rais wao yuko desperate!
Mungu aepushie mbali isitokee URUSI akatangaza VITA na Ukraine pamoja na Washirika wao!
Huko Ulaya kutageuka Majivu.
Hakutakuwa na Mshindi.
Dunia itakuwa ngumu sana kuishi.
Operation ya Aibu.