Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
- Thread starter
- #21
Uzalendo unajengwa moyoni ukraine wametuonesha, kuvumilia mashumbilizi ya urusi sio mchezo, air siren zinatisha, wazee wetu walioshiriki vita ya kegera wanasimulia mziki wa BM 106 sio mchezo majeshi ya amini yalikimbia hovyohovyo, miscalculation ya babu putin ime cost Maisha ya vijana wake wamekatiwa supply, yaana wanachapwa tu kama watoto wadogo zaidi anafanya destruction kwa bombardment ila vijana wamekazaKuna baadhi ya miji warusi waliingia sasa hivi wanatanani kutoka ila hata hivyo njia ya kutoka nayo ni ngumu.
Utatuma je vifaru na magari ya kijeshi yakiwa yamesheheni wanajeshi bila kupiga mahesabu ya plan B?
Russia waliingia na plan yao A kwamba wanachukua nchi ndani ya mda mchache.
Hawakufikiri ikiwa hiyo plani itafeli nini kitachukua nafasi. Ndio huko sasa unasikia wameishiwa mafuta na chakula. Hata kama urusi itatuma makombora ya mbali kuharibu majengo ya miji kama wanavyofanya ni jambo gumu kwa jeshi la ardhini kuingia mjini kupora matumizi maana inalindwa na wazalendo walio apa kufa wakilinda haki ya hati miliki ya taifa lao.
Sasa imebaki mjini hakuingiliki, nyumbani hakurudiki.