Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

Sizo takwimu umezipata wapi.this is according to Russia defence ministry
 
Watanzania wasivyokuwa na kazi basi vijiweni wamefanya vita ya Urusi na Ukraine kuwa ushabiki wa Yanga na Simba. Hivi hamuwezi kupata kitu cha kufanya? Mbona methali inayosema "ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime" ni yetu sisi Waswahili?
We mwenye kazi unafanya Nini kwny huu uzi.
 
Urusi yeye anajivunia Hypersonics na Nukes na Defences, hana offence power na ndo maana NATO wakaona wamzunguke ili iwe rahisi kumpiga kwa kutumia vibomu vidogo
NATO walioshindwa syria wataweza Russia? Nyie mnatunga vichekesho au.?
 
Kutwa kucha Ulaya na nato wanapiga filimbi wanamsaidia Ukraine kwa silaha, intelligence info, satellite services , na ushauri wa kivita halafu mnatwambia Ukraine wapandisha viwango vya medani ya vita?
 
Kutwa kucha Ulaya na nato wanapiga filimbi wanamsaidia Ukraine kwa silaha, intelligence info, satellite services , na ushauri wa kivita halafu mnatwambia Ukraine wapandisha viwango vya medani ya vita?
Medani ni uwezo ( holding out against the invaders ) maana yake ana uwezo wa ku utilise taarifa zote za ujasusi, kutumia silaha za msaada na mbinu zote zinazoitajika kwenye uwanja wa vita. Media war pia wamewin wakisaidiwa na wazee wa michongo aka mabeberu kulinda heshima na uhuru wa taifa lao hichi kitu wabongo weng hamjali
 
Wewe unaamini majeshi ya NATO hayajapenyezwa?Kwa mtazamo wangu miongoni mwa wanaosemwa raia kitoka nchi tofauti wameenda kujitolea watakua wanajeshi wa NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…