Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Sasa naamini condom ni muhimu sana. Hili Taifa lina hasara sana. Na wewe unahesabiwa kuwa ni Mtanzania?
Nimekusamehe kijana maana najua akili zako hazina akili.
Unaweza ukaleta sababu ya Russia kusema "ipo tayari kwa vita za ki nuclear"!??
Nasubiri sababu unipe jibu.
 
Western media zote zipo against Russia unategemea watakuandikia habari gani?,soma the upande wa Russia nazo then chapisha hapa ilitujue ukweli nani anashinda?
 
Acha kujikomba mpumbavu wewe.
Kubali ulikuwa hujaelewa swali na ukaleta jibu ambalo haliendani.
Wewe kwenu mzazi wako alifanikiwa sana kukufundisha matusi angekufunza sasa kuwa na hekima na busara angekufamikisha pakubwa saaa unatumika tu kwenye vigodoro na motaani kuchamba wenzio
 
Wewe kwenu mzazi wako alifanikiwa sana kukufundisha matusi angekufunza sasa kuwa na hekima na busara angekufamikisha pakubwa saaa unatumika tu kwenye vigodoro na motaani kuchamba wenzio
Matusi ulianza wewe.
Au unataka nikuoneshe ulivyoanza kejeli na matusi ulipojibu andiko langu!???
Hata hivyo mpumbavu sio tusi,bali ni tabia ya mtu kujifanya anajua kumbe hajui kitu.
Turudi kwenye mada hayo ya wazazi wangu hayakuhusu pia sijui ni nini maana ya vigodoro.
Lete sababu ya Russia ku impose nuclear threat.
Kama huwezi tuambie tukusaidie,usijitetee ilhali matusi ulianza wewe.
 
We kweli mpumbavu.
 
Sababu gani tena ya kumpiga zaidi? Umeandika kama hujatawadha ndugu. Sababu si ilishakuwepo yaani miaka 2 ya vita hakuwa na sababu ya kumpiga? Aiseee..... Nyie madogo sijui mna fail wapi
Leo hujaenda chachi au ulishabarikiwa tokea mtume papa atoe tamko?😀
 
Hakuna nchi imetuma askari Ukraine kupigana na Russia kutoa mafunzo ni kweli wanatoa ila nje ya Ukraine mfano kurusha ndege za F16 kuifupi Russia amefeli
Kama unafuatilia habari vizuri, unaweza kukumbuka Olaf Scholz alisemaje wakati anagoma kuwapatia Ukraine long-range missiles za Taurus??
Kwanza Olaf Scholz mwenyewe unafahamu ni nani?
 
Kwanza utambue Urusi anapigana na NATO katika Ardhi ya Ukraine.

Hata hiyo oparesheni ya kushtukiza kuingia Jimbo la KURSK-Urusi, ni matokeo ya Intelijensia ya NATO kuwapa Ukraine na Majeshi ya NATO taarifa sahihi za Uwezo wa kijeshi wa Urusi KURSK.

Ukraine walitaka kuteka kinu Cha Nyukilia kilichopo KURSK ili kukitumia kufanya Negotiation.

Pili, kuilazimisha Urusi Kupunguza Majeshi Donbass kuyaleta KURSK baada ya kuona kule Donbass Urusi anatoa Kichapo na kuzidi kuchukua maeneo

Hata hivo, Urusi inajua hiyo NIA, Kichapo kitaendelea kote kote, iwe ni DONBASS, KURSK Kichapo Kiko pale pale

Inabidi ufaham, Urusi ni Nchi yenye Nyukilia , Kamwe NATO hawawezi kuishinda .

Kumwondoa Putin ni sawa na ndoto za Alinacha .
Kama Urusi anapigana na NATO, basi NATO naye anapigana na Urusi, China, Iran, Korea Kaskazini, India na Nepali.
 
Kwani katika kauli zangu nimesema wametumwa askari kupigana??
Nimetaja economic and political support.
Russia kafeli wapi!??
-Je maeneo ambayo Russia kayabeba yameshakombolewa!?
-Je vikwazo vya kiuchumi EU na USA walivyomuwekea Russia vimemuathiri walivyotarajia wao!?
-Je Ukraine ameweza kuzuia mashambulizi yeyote ya Russia ndani ya nchi yake!?
Ni kwanini useme Russia kafeli!??
Mkuu hata askari wa nchi za West wapo Ukraine.
Olaf Scholz alipobanwa sana kwanini hataki kuwapatia Ukraine makombora ya Taurus alisema wazi hayo makombora yatahitaji askari wa Ujerumani wawepo site kwa ajili ya programming na targeting kama wanavyofanya Waingereza kwenye storm shadow na Wafaransa kwenye mifumo yao mingine.
Alisema akifanya hivyo atakua anaifanya Ujerumani kuwa direct participant wa hiyo vita na hataki kicho kitokee.
 
Tatizo watu bado wanafananisha Soviet na Russia.
Russia haina nguvu kama ilivyokuwa Soviet, hata wakati ule Russia pekee isingaliweza kabili Hitler na jeshi lake.
Sasa huu wakati mzuri wa NATO kumsaidia German kuirudisha Kaliningrad katika milki yake

Kwakua Russia haina maajabu yeyote yale
 
We kweli mpumbavu.
Naona umeshindwa wacha tukusaidie.
Sababu ilomfanya Russia kutoa vitisho vya nukes ni kwasababu ya NATO hasa France kutoa tamko la kutaka kupeleka jeshi kamili Ukraine.
Na toka atoe hilo tishio NATO hawajapeleka jeshi kamili Ukraine.
Screenshot_2024-08-18-16-39-39-72_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-18-16-40-08-39_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Uhalisia ni kuwa ikitokea US, Germany wakaruhusu ATACMS, Stormshadow na TAURUS zipige ndani ya Urusi, uhakika ni kuwa Brydensky, Beigorod, Kursky yote inaenda Ukraine
 
Putin alibet, he did not expect Marekani ataisupport Ukraine kwa muda mrefu na hela nyingi.

Kumbe Marekani na Makoloni yake walikuwa wameiwaza vita Miaka mingi mbele
Ilikuwa njia pekee ya kumjaribu Urusi na kweli ukiondoa Nukes na watu, Urusi hana maajabu
 
Naona umeshindwa wacha tukusaidie.
Sababu ilomfanya Russia kutoa vitisho vya nukes ni kwasababu ya NATO hasa France kutoa tamko la kutaka kupeleka jeshi kamili Ukraine.
Na toka atoe hilo tishio NATO hawajapeleka jeshi kamili Ukraine.View attachment 3073469View attachment 3073470
Naona upo mzee unapigia mbuzi gitaa ukitegemea itasimama ianze kunengua😀

Ila endelea labda mbuzi leo itaonesha maajabu
 
Naona upo mzee unapigia mbuzi gitaa ukitegemea itasimama ianze kunengua😀

Ila endelea labda mbuzi leo itaonesha maajabu
Nina muda leo si unajua weekend kaka!?
Sina kazi wacha nizinguane na majamaa tu siku iende kwa uchangamfu😁😁😁😁😁.
 
Kwa mawazo yangu, PUTIN alitakiwa atafute njia tu ya kum eliminate Zelensky kwa kuwa yeye ndio alikuwa kinara wa kujiunga na NATO na ukizingatia Urusi ana shirika la ujajusi lenye uzoefu wa mission kama hizo ilikuwa possible kabisa.

Katika karne hii wazo la kuingia vitani moja kwa moja na nchi yeyote ata ndogo kiasi gani ni wazo hatarishi sana.
 
Kwani katika kauli zangu nimesema wametumwa askari kupigana??
Nimetaja economic and political support.
Russia kafeli wapi!??
-Je maeneo ambayo Russia kayabeba yameshakombolewa!?
-Je vikwazo vya kiuchumi EU na USA walivyomuwekea Russia vimemuathiri walivyotarajia wao!?
-Je Ukraine ameweza kuzuia mashambulizi yeyote ya Russia ndani ya nchi yake!?
Ni kwanini useme Russia kafeli!??
Ukraine imekomboa mjii mkuu Kiev mji wa pili Kharkov na mji wa tatu Kharkov baada ya kutekwa na Russia 🇷🇺 vipi hapo supper power anashindwa kuiteka nchi ndogo miaka 3? Wewe unaona urusi kafanikiwa?!!
We unajua uchumi wa Russia uko na hali gani?
 
Back
Top Bottom