Nimekusamehe kijana maana najua akili zako hazina akili.Sasa naamini condom ni muhimu sana. Hili Taifa lina hasara sana. Na wewe unahesabiwa kuwa ni Mtanzania?
Wewe kwenu mzazi wako alifanikiwa sana kukufundisha matusi angekufunza sasa kuwa na hekima na busara angekufamikisha pakubwa saaa unatumika tu kwenye vigodoro na motaani kuchamba wenzioAcha kujikomba mpumbavu wewe.
Kubali ulikuwa hujaelewa swali na ukaleta jibu ambalo haliendani.
Matusi ulianza wewe.Wewe kwenu mzazi wako alifanikiwa sana kukufundisha matusi angekufunza sasa kuwa na hekima na busara angekufamikisha pakubwa saaa unatumika tu kwenye vigodoro na motaani kuchamba wenzio
We kweli mpumbavu.Matusi ulianza wewe.
Au unataka nikuoneshe ulivyoanza kejeli na matusi ulipojibu andiko langu!???
Hata hivyo mpumbavu sio tusi,bali ni tabia ya mtu kujifanya anajua kumbe hajui kitu.
Turudi kwenye mada hayo ya wazazi wangu hayakuhusu pia sijui ni nini maana ya vigodoro.
Lete sababu ya Russia ku impose nuclear threat.
Kama huwezi tuambie tukusaidie,usijitetee ilhali matusi ulianza wewe.
Leo hujaenda chachi au ulishabarikiwa tokea mtume papa atoe tamko?😀Sababu gani tena ya kumpiga zaidi? Umeandika kama hujatawadha ndugu. Sababu si ilishakuwepo yaani miaka 2 ya vita hakuwa na sababu ya kumpiga? Aiseee..... Nyie madogo sijui mna fail wapi
Kama unafuatilia habari vizuri, unaweza kukumbuka Olaf Scholz alisemaje wakati anagoma kuwapatia Ukraine long-range missiles za Taurus??Hakuna nchi imetuma askari Ukraine kupigana na Russia kutoa mafunzo ni kweli wanatoa ila nje ya Ukraine mfano kurusha ndege za F16 kuifupi Russia amefeli
Kama Urusi anapigana na NATO, basi NATO naye anapigana na Urusi, China, Iran, Korea Kaskazini, India na Nepali.Kwanza utambue Urusi anapigana na NATO katika Ardhi ya Ukraine.
Hata hiyo oparesheni ya kushtukiza kuingia Jimbo la KURSK-Urusi, ni matokeo ya Intelijensia ya NATO kuwapa Ukraine na Majeshi ya NATO taarifa sahihi za Uwezo wa kijeshi wa Urusi KURSK.
Ukraine walitaka kuteka kinu Cha Nyukilia kilichopo KURSK ili kukitumia kufanya Negotiation.
Pili, kuilazimisha Urusi Kupunguza Majeshi Donbass kuyaleta KURSK baada ya kuona kule Donbass Urusi anatoa Kichapo na kuzidi kuchukua maeneo
Hata hivo, Urusi inajua hiyo NIA, Kichapo kitaendelea kote kote, iwe ni DONBASS, KURSK Kichapo Kiko pale pale
Inabidi ufaham, Urusi ni Nchi yenye Nyukilia , Kamwe NATO hawawezi kuishinda .
Kumwondoa Putin ni sawa na ndoto za Alinacha .
Mkuu hata askari wa nchi za West wapo Ukraine.Kwani katika kauli zangu nimesema wametumwa askari kupigana??
Nimetaja economic and political support.
Russia kafeli wapi!??
-Je maeneo ambayo Russia kayabeba yameshakombolewa!?
-Je vikwazo vya kiuchumi EU na USA walivyomuwekea Russia vimemuathiri walivyotarajia wao!?
-Je Ukraine ameweza kuzuia mashambulizi yeyote ya Russia ndani ya nchi yake!?
Ni kwanini useme Russia kafeli!??
Sasa huu wakati mzuri wa NATO kumsaidia German kuirudisha Kaliningrad katika milki yakeTatizo watu bado wanafananisha Soviet na Russia.
Russia haina nguvu kama ilivyokuwa Soviet, hata wakati ule Russia pekee isingaliweza kabili Hitler na jeshi lake.
Kama PUT IN anaiogopa Nato kama mnavyodai angekua kaishaikimbia Kaliningrad muda huuPutin anaogopa NATO wala swala la haki za binadamu haijawahi kuwa msamiati kwake
Naona umeshindwa wacha tukusaidie.We kweli mpumbavu.
Ilikuwa njia pekee ya kumjaribu Urusi na kweli ukiondoa Nukes na watu, Urusi hana maajabuPutin alibet, he did not expect Marekani ataisupport Ukraine kwa muda mrefu na hela nyingi.
Kumbe Marekani na Makoloni yake walikuwa wameiwaza vita Miaka mingi mbele
Naona upo mzee unapigia mbuzi gitaa ukitegemea itasimama ianze kunengua😀Naona umeshindwa wacha tukusaidie.
Sababu ilomfanya Russia kutoa vitisho vya nukes ni kwasababu ya NATO hasa France kutoa tamko la kutaka kupeleka jeshi kamili Ukraine.
Na toka atoe hilo tishio NATO hawajapeleka jeshi kamili Ukraine.View attachment 3073469View attachment 3073470
Nina muda leo si unajua weekend kaka!?Naona upo mzee unapigia mbuzi gitaa ukitegemea itasimama ianze kunengua😀
Ila endelea labda mbuzi leo itaonesha maajabu
Hapa sawa 😀Nina muda leo si unajua weekend kaka!?
Sina kazi wacha nizinguane na majamaa tu siku iende kwa uchangamfu😁😁😁😁😁.
Unacheza makida weweKursky is gone
Ukraine imekomboa mjii mkuu Kiev mji wa pili Kharkov na mji wa tatu Kharkov baada ya kutekwa na Russia 🇷🇺 vipi hapo supper power anashindwa kuiteka nchi ndogo miaka 3? Wewe unaona urusi kafanikiwa?!!Kwani katika kauli zangu nimesema wametumwa askari kupigana??
Nimetaja economic and political support.
Russia kafeli wapi!??
-Je maeneo ambayo Russia kayabeba yameshakombolewa!?
-Je vikwazo vya kiuchumi EU na USA walivyomuwekea Russia vimemuathiri walivyotarajia wao!?
-Je Ukraine ameweza kuzuia mashambulizi yeyote ya Russia ndani ya nchi yake!?
Ni kwanini useme Russia kafeli!??