Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Ndo maana hata wabakaji wanashauriwa kuvaa condom. Mzee wako angevaa Condom wakati akifanya hivyo usingekuwepo leo hii unaandika makamasi kama haya.kisa tu umeambiwa na Sheikh Kitunku.🤣
 
Supapawa kashindwa kuilinda Kursk...
 
Ndo maana hata wabakaji wanashauriwa kuvaa condom. Mzee wako angevaa Condom wakati akifanya hivyo usingekuwepo leo hii unaandika makamasi kama haya.kisa tu umeambiwa na Sheikh Kitunku.🤣
Aya naona hawa walioeleza haya ni sheikh kitunku.
Ujinga ni kitu cha kawaida ila upumbavu ni mzigo.
Embu wasome the Guardian halafu uingiwe na akili kidogo.
Pia soma hapo chini maeneo ambayo Russia ameyanyakua kutoka Ukraine ukiachana na Crimea.
Nakusisitiza soma sehemu nilipozungushia alama nyekundu.
 
Ndo maana hata wabakaji wanashauriwa kuvaa condom. Mzee wako angevaa Condom wakati akifanya hivyo usingekuwepo leo hii unaandika makamasi kama haya.kisa tu umeambiwa na Sheikh Kitunku.🤣
Kwa kukuongezea tu ili hao Ukraine waendelee kushikilia hilo eneo wanatakiwa wawe na man power pamoja na silaha za kutosha.
Na kama hizo supply zikiwa na shortage basi hakuna askari jeshi wa Ukraine atayepona.
Ukraine lengo lao ni kushikilia kitu ambacho wanaweza wakafanya nacho majadiliano na Russia ili kumaliza vita.
Ila je wataweza kuishikilia hiyo Kursk kwa muda mrefu!???
Wakati unazungumza haya ukumbuke 2018 kipindi crimea inaporwa na Russia kutoka Ukraine hao wazungu wa magharibi walikuwepo pia,lakini Crimea hadi leo mali ya Russia.
Una akili fupi sana kama mkojo wa asubuhi.
 
Wewe una akili fupi kama clitorissssssss....🤣
 
Sheikh Kitinku anakujaza tu.....
KWa taarifa yako Ukraine wanataka kushikilia huo mji kuna vinu vya nyuklia.hayo sheikh Kitinku hawezi kukwambia.
 
Huku ni mengine watu wanakimbizwa chupi mkononi
 
Inaonekana huna ufahamu thaniti urusi iko Donbus toka 2014 na bado wanapigana humo humo mwaka wa10 je hayo ni mafanikio?!!
Hakuna NATO anaepigana na Russia wala hamna silaha bora za NATO alizopewa Ukraine. Kimsingi nato wanampa Ukraine silaha wazizozihitaji na zinamchakaza Russia
 
Putin anaogopa NATO wala swala la haki za binadamu haijawahi kuwa msamiati kwake
 
Putin ana nguvu za media tu kama ndugu zake wengine Rais wa Ukraine alietaka kumtoa madarakani yupo kwenye ardhi yake...
Mimi toka wale wahuni walioitaka Ikulu ya Moscow kwa miguu nikajua mshikaji ni kama Rais wa Malawi tu ila kelele nyingi..
Pale ndio nilijua hata malaw bado umempa cheo yaan siku ile Wagner asingedanganywa na belarus Putin alikuwa ashakimbia Moscow ndio nilijua russia hamna kitu RT walikuwa wapoleeee🤣🤣🤣
 
Sababu gani tena ya kumpiga zaidi? Umeandika kama hujatawadha ndugu. Sababu si ilishakuwepo yaani miaka 2 ya vita hakuwa na sababu ya kumpiga? Aiseee..... Nyie madogo sijui mna fail wapi
Achana nae huyo ana mahaba na Russia ya ajab tuu, najiuliza kwamba hiivi kipindi marekan akiwa anapiga iraq ama nchi yeyote ingeteka jiji mojawapo pale USA ndio na USA ingetulia hiiv kuwa inasikilizia upepo??🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…