Comment za waswahili humu zinachekesha sana😂😂😂😂😂😂😂.
Eti mtu anadiriki kuropoka eti Putin hana nguvu ana nguvu za media tu.
Aish aisee embu punguzeni kuropoka aisee.
Wakati mnaongea hivyo hiyo Russia imefanya yafuatayo kwa Ukraine licha ya Ukraine ikiwa inasaidiwa na NATO;
-Russia imeiteka Donbas,Donetsk,Kharkiv na Mariupol.
-Russia ime dismantle jeshi la Ukraine kiasi Ukraine ilikua ikikamata raia barabarani kwa nguvu ili waingie jeshini.
-Russia keshawapiga Ukraine na kukamata vifaa vya NATO ambavyo Ukraine alipewa vikiwemo vifaru vya Abrahamas na Leopard 2.
Mtu unashindwa kujiuliza Ukraine ameshindwa kukomboa maeneo yake kwa jeshi lake hilo hilo leo hii aje amtikise Russia ndani ya ardhi yake!!??
Na alichokosea zaidi ni kukigawanya kikosi kingine kwenda Belgorod,ilhali man power ni ndogo.
Hao Ukraine wamejipeleka katika kifo soon mtakuja kusoma habari zingine hapa.
Yani ardhi yako ushindwe kuitetea halafu uende ukateke ardhi ya mwingine!??
Wacheni kuwaza kama WAPUMBAVU.