Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Asante kwa kuelezea vizuri, hongera kwa kutokua mvivu wa kuandika, binafsi kuna baadhi ya komenti nikiona napata uvivu najiuliza naanzia wapi kumuelezea mtu kwa ufupi aelewe, watu wako biased mnoo.
-Watu hawafahamu kama vijiji vyote alivyokomboa Ukraine kwenye ile summer counteroffensive iliyofeli, Urusi wameshavikomboa vyote, na vimeondoka na manpower ya Ukraine, Abrams, Challengers na Leopard nyingi mnoo,
-Kuanzia hapo Ukraine analinda tu hana uwezo tena wa ku mount mashambulizi ya kuteka ama ku reclaim maeneo,
-Hilo shambulizi la Kursk wachambuzi wenyewe wa media za West wanakwambia ni suicide gamble ambayo namna pekee ingeweza kuleta manufaa walau kiduchu ni kama wangeweza kuteka kinu cha nyuklia ambacho kwa sasa ni ndoto kukifikia,
-Bila hiko, operation nzima inakua sasa inakula kwa Ukraine kwasababu wametumia their most elite units kufanya operation ambayo haina military value badala wangewaacha hata Donbas ama maeneo mengine ya muhimu zaidi,
-Hayo maeneo ya Kursk waliyoyateka hawana uwezo wa kuyakalia wala kuya resupply na eventually Urusi ataanzisha operation ya kuyarudisha na atafanikiwa na hapo sasa ndo ujinga na kamari ya Zelensky itaonekana.
 
Sheikh Kitinku anakujaza tu.....
KWa taarifa yako Ukraine wanataka kushikilia huo mji kuna vinu vya nyuklia.hayo sheikh Kitinku hawezi kukwambia.
Nimekuletea hoja kutoka chombo cha habari cha the guardian news group.
Nikisema hauna akili nitakua nakosea!??
 
Abrahamas na Leopard 2 tanks sio silaha ndogo.
Pia Ukraine alipokea patriot missiles kutoka USA hizo sio silaha ndogo.
Alipokea ndege za F-16 hizo sio silaha ndogo.
Alipokea HIMARS zile sio silaha ndogo.
Unazungumzia Donbas au Crimea!?
Kama ni Donbas unazungumzia upande upi wa settlements!?
Pia unazungumziaje maeneo ambayo yametekwa hadi sasa na hayajakombolewa!?
NATO wapo na Ukraine na wanamsaidia vita hilo hakuna anayebisha.
 
Hoja nimeleta na watu wanazichambua huko juu.
Pia nilikuuliza maswali hauna hata swali ulilojibu.
Unazidi kujidhihirisha mweupe kichwani.
Hoja nimeleta na watu wanazichambua huko juu.
Pia nilikuuliza maswali hauna hata swali ulilojibu.
Unazidi kujidhihirisha mweusi kichwani.
 
HAWA NATO PUTIN HAJAWAONA?ALISEMA MTU AKITIA PUA TU ATAMWASHA NA NUKLIA. SASA INABIDI TUMWAMBIE NATO WAPO HUKO?YE HAWAONI?
 
Achana nae huyo ana mahaba na Russia ya ajab tuu, najiuliza kwamba hiivi kipindi marekan akiwa anapiga iraq ama nchi yeyote ingeteka jiji mojawapo pale USA ndio na USA ingetulia hiiv kuwa inasikilizia upepo??🤣🤣🤣
Thubutuuuuuu...... Na Iraq ilikuwa inatisha ule ukanda.
 
Nimeleta article hapo juu kutoka kwa political analyst wa the guardian news.
Wanasema kabisa ni risk incursion kuwahi kufanyika.
Inamaana ili Ukraine aendelee kupashikilia anahitaji supply ya silaha na man power.
Kiuhalisia jeshi la Ukraine limeshabomoka kwa idadi kubwa.
Kuvamia sio suala ila suala je mtaweza kulishikilia hilo eneo??
 
HAWA NATO PUTIN HAJAWAONA?ALISEMA MTU AKITIA PUA TU ATAMWASHA NA NUKLIA. SASA INABIDI TUMWAMBIE NATO WAPO HUKO?YE HAWAONI?
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!
 
No kuna issue pale. Angalia Al jazeera uone walivyolipua madaraja mawili
Wamelipua madaraja na pia wameanzisha mashambulizi Belgorod.
Ila tujiulize Ukraine itaweza ku sustain haya mapigano kwa muda mrefu!?
Swali lipo hapa.
Isije ikawa kama yale ya Bakhmut.
 
Wamelipua madaraja na pia wameanzisha mashambulizi Belgorod.
Ila tujiulize Ukraine itaweza ku sustain haya mapigano kwa muda mrefu!?
Swali lipo hapa.
Isije ikawa kama yale ya Bakhmut.
Mimi nilidhani ni utani tu. Ila naona angalau wamepitisha siku. Nilidhani Urusi itawafyekelea mbali within a day. Ila pengine Wapinzani wa Putin wameungana nao. Hapo itakuwa balaa
 
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!


Ndo maana nlikuambia wewe hujui haya mambo. Una mihemko.mimi nlikuwa mfuasi wa Putin kuzidi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…