Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #121
Ukraine Vs Nato. Alishasema akiona NATO hatosita washambulia. So ina maana hawajaonekana bado.NATO VS RUSSIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine Vs Nato. Alishasema akiona NATO hatosita washambulia. So ina maana hawajaonekana bado.NATO VS RUSSIA
Pole sana hujuwi kinachoe endelea endelea sifia PutinPutin hatoki kirahisi hivyo
Soon mtasikia mchezo ukatavyobadilika
Ova
Asante kwa kuelezea vizuri, hongera kwa kutokua mvivu wa kuandika, binafsi kuna baadhi ya komenti nikiona napata uvivu najiuliza naanzia wapi kumuelezea mtu kwa ufupi aelewe, watu wako biased mnoo.Comment za waswahili humu zinachekesha sana😂😂😂😂😂😂😂.
Eti mtu anadiriki kuropoka eti Putin hana nguvu ana nguvu za media tu.
Aish aisee embu punguzeni kuropoka aisee.
Wakati mnaongea hivyo hiyo Russia imefanya yafuatayo kwa Ukraine licha ya Ukraine ikiwa inasaidiwa na NATO;
-Russia imeiteka Donbas,Donetsk,Kharkiv na Mariupol.
-Russia ime dismantle jeshi la Ukraine kiasi Ukraine ilikua ikikamata raia barabarani kwa nguvu ili waingie jeshini.
-Russia keshawapiga Ukraine na kukamata vifaa vya NATO ambavyo Ukraine alipewa vikiwemo vifaru vya Abrahamas na Leopard 2.
Mtu unashindwa kujiuliza Ukraine ameshindwa kukomboa maeneo yake kwa jeshi lake hilo hilo leo hii aje amtikise Russia ndani ya ardhi yake!!??
Na alichokosea zaidi ni kukigawanya kikosi kingine kwenda Belgorod,ilhali man power ni ndogo.
Hao Ukraine wamejipeleka katika kifo soon mtakuja kusoma habari zingine hapa.
Yani ardhi yako ushindwe kuitetea halafu uende ukateke ardhi ya mwingine!??
Wacheni kuwaza kama WAPUMBAVU.
Huna hoja.Si ndo umeyaleta hayo......hukutaka hoja.
Huna hoja.Huna hoja.
Maana hakuna hoja hata moja uliyojibu.
Nimekuletea hoja kutoka chombo cha habari cha the guardian news group.Sheikh Kitinku anakujaza tu.....
KWa taarifa yako Ukraine wanataka kushikilia huo mji kuna vinu vya nyuklia.hayo sheikh Kitinku hawezi kukwambia.
Hoja nimeleta na watu wanazichambua huko juu.Huna hoja.
Maana hakuna hoja hata moja uliyoleta.
Vifaa na vikosi vingi sio vya ukraineUkraine Vs Nato. Alishasema akiona NATO hatosita washambulia. So ina maana hawajaonekana bado.
Abrahamas na Leopard 2 tanks sio silaha ndogo.Inaonekana huna ufahamu thaniti urusi iko Donbus toka 2014 na bado wanapigana humo humo mwaka wa10 je hayo ni mafanikio?!!
Hakuna NATO anaepigana na Russia wala hamna silaha bora za NATO alizopewa Ukraine. Kimsingi nato wanampa Ukraine silaha wazizozihitaji na zinamchakaza Russia
Hoja nimeleta na watu wanazichambua huko juu.Hoja nimeleta na watu wanazichambua huko juu.
Pia nilikuuliza maswali hauna hata swali ulilojibu.
Unazidi kujidhihirisha mweupe kichwani.
HAWA NATO PUTIN HAJAWAONA?ALISEMA MTU AKITIA PUA TU ATAMWASHA NA NUKLIA. SASA INABIDI TUMWAMBIE NATO WAPO HUKO?YE HAWAONI?Abrahamas na Leopard 2 tanks sio silaha ndogo.
Pia Ukraine alipokea patriot missiles kutoka USA hizo sio silaha ndogo.
Alipokea ndege za F-16 hizo sio silaha ndogo.
Alipokea HIMARS zile sio silaha ndogo.
Unazungumzia Donbas au Crimea!?
Kama ni Donbas unazungumzia upande upi wa settlements!?
Pia unazungumziaje maeneo ambayo yametekwa hadi sasa na hayajakombolewa!?
NATO wapo na Ukraine na wanamsaidia vita hilo hakuna anayebisha.
Thubutuuuuuu...... Na Iraq ilikuwa inatisha ule ukanda.Achana nae huyo ana mahaba na Russia ya ajab tuu, najiuliza kwamba hiivi kipindi marekan akiwa anapiga iraq ama nchi yeyote ingeteka jiji mojawapo pale USA ndio na USA ingetulia hiiv kuwa inasikilizia upepo??🤣🤣🤣
Nimeleta article hapo juu kutoka kwa political analyst wa the guardian news.Asante kwa kuelezea vizuri, hongera kwa kutokua mvivu wa kuandika, binafsi kuna baadhi ya komenti nikiona napata uvivu najiuliza naanzia wapi kumuelezea mtu kwa ufupi aelewe, watu wako biased mnoo.
-Watu hawafahamu kama vijiji vyote alivyokomboa Ukraine kwenye ile summer counteroffensive iliyofeli, Urusi wameshavikomboa vyote, na vimeondoka na manpower ya Ukraine, Abrams, Challengers na Leopard nyingi mnoo,
-Kuanzia hapo Ukraine analinda tu hana uwezo tena wa ku mount mashambulizi ya kuteka ama ku reclaim maeneo,
-Hilo shambulizi la Kursk wachambuzi wenyewe wa media za West wanakwambia ni suicide gamble ambayo namna pekee ingeweza kuleta manufaa walau kiduchu ni kama wangeweza kuteka kinu cha nyuklia ambacho kwa sasa ni ndoto kukifikia,
-Bila hiko, operation nzima inakua sasa inakula kwa Ukraine kwasababu wametumia their most elite units kufanya operation ambayo haina military value badala wangewaacha hata Donbas ama maeneo mengine ya muhimu zaidi,
-Hayo maeneo ya Kursk waliyoyateka hawana uwezo wa kuyakalia wala kuya resupply na eventually Urusi ataanzisha operation ya kuyarudisha na atafanikiwa na hapo sasa ndo ujinga na kamari ya Zelensky itaonekana.
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?HAWA NATO PUTIN HAJAWAONA?ALISEMA MTU AKITIA PUA TU ATAMWASHA NA NUKLIA. SASA INABIDI TUMWAMBIE NATO WAPO HUKO?YE HAWAONI?
No kuna issue pale. Angalia Al jazeera uone walivyolipua madaraja mawiliPutin hatoki kirahisi hivyo
Soon mtasikia mchezo ukatavyobadilika
Ova
Wamelipua madaraja na pia wameanzisha mashambulizi Belgorod.No kuna issue pale. Angalia Al jazeera uone walivyolipua madaraja mawili
Mimi nilidhani ni utani tu. Ila naona angalau wamepitisha siku. Nilidhani Urusi itawafyekelea mbali within a day. Ila pengine Wapinzani wa Putin wameungana nao. Hapo itakuwa balaaWamelipua madaraja na pia wameanzisha mashambulizi Belgorod.
Ila tujiulize Ukraine itaweza ku sustain haya mapigano kwa muda mrefu!?
Swali lipo hapa.
Isije ikawa kama yale ya Bakhmut.
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!