Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Ukraine anabahati mbaya sana. Atapondwapondwa mpaka nukta ya mwisho. Hakuna kitu kitasalia. Lawama zote ziende kwa Zelensky, alitakiwa kukaa pamoja na Putin wayamalize.
ulikuwa wap Putin alipokuwa anakwepa majadiliano
 
Ulipo mgogoro kila kitu ni wazi.

NATO kajiingiza ila vita ndani ya Ukraine. Haipo siri tena:

"Vita vikuu vya dunia kupiganiwa Ukraine."

Putin kaonyesha kulielewa somo mapema. Amekimbia mbio sana mithili ya aliyefumaniwa kuwahi Donbas, Lohansk na Crimea.

Hayupo anayetaka vita. Ukraine kapelekewa vita. Ukraine yuko katika kujikomboa na gharama yake ameikubali.

Habari ndiyo hiyo.
Ukraine kazichoka dharau , crimea , donbas na luhansk ila hajaridhika anatak ukraine yote , so afe kipa afe kocha ushind lzm ili mjin tuheshimiane vzr
 
USA kama yeye mbabe wa Dunia arushe hata risasi Moja katika Ardhi ya Russia halafu washirika wake wakae pembeni vita ipigwe Kati yake na Russia tuone mbabe Nani?...
kivita hakuna taifa linamueza usa , ogopa sn ila usa anapigana vita mbili at the same time kuhakikisha asipigwe gap na china kiuchumi pia kuhakikisha anamuangusha russia so pole pole , tutajuana mjin
 
Tafuta hela wewe njaa kali....na hii ndio kanuni ya maisha....
unaleta mahaba kwa putini wakati unaishi ileje....zwazwa kabisa...
Wewe ndio utafute hela ili uache kulalamika eti maisha magumu, mwenye hela huwa halalamiki na kutafuta huruma kutoka kwa mwanaume mwenzie kama ww unavyo taka huruma ya putin ili mafuta yashuke bei.
Mwana ume wa kweli ni yule anaye pambana katika mazingira yeyote yale na sio kulalamiki na kuwalaumu wana ume wenzie kwa ugumu wake wa maisha.

Kwani Putin ndo aliwambia mchague viongozi wachumia tumbo?
 
Nikuonee huruma wewe ...pole sana....
Ningekuwa naishi kwa shemeji kama wewe lazima ningemshabikia putini ......shauri yako....yakibuma atakurudisha kijijini
Usiwe na hasira na mm kwa sababu mm sikumtuma mama yako aolewe na mwanaume masikini na mwisho wa siku wakazaa mtoto masikini kama wewe.

Ww kama ni masikini usidhani na sisi ni masikini kama ww.

Mwana ume wa kweli huwa haishi maisha ya kutafuta huruma ya mwanaume mwenzie kama ww.
 
Ukraine kazichoka dharau , crimea , donbas na luhansk ila hajaridhika anatak ukraine yote , so afe kipa afe kocha ushind lzm ili mjin tuheshimiane vzr
Hiyo inaitwa power of national spirit sidhani kama kizazi chetu za leo wanajua hili. Ukizaliwa Tanzania lazima uwe tayari kulifia taifa lako kulika hadhi na heshima ya kizazi kijacho. Ukraine wako front kulinda nchi yao dhidi ya uvumizi na uonevu wa Russia. Wata wengi hawajui kuwa the former socialist state ni propaganda machine
 
Usiwe na hasira na mm kwa sababu mm sikumtuma mama yako aolewe na mwanaume masikini na mwisho wa siku wakazaa mtoto masikini kama wewe.

Ww kama ni masikini usidhani na sisi ni masikini kama ww.

Mwana ume wa kweli huwa haishi maisha ya kutafuta huruma ya mwanaume mwenzie kama ww.
Nakuona uko bize kwa JF..........unazituma tu meseji...

1649441807622.jpeg
 
Sasa kama kwa Ukraine kambwela atawezana na mataifa makubwa kama Germany au UK?
Ukraine kakubali mashart ya urusi ndo maana russia kaondoka ...mbona bibisiii wqnasema kila siku tatizo mnataka kusikia yanayowapendeza masikio yenu ....ila ukweli hamuutaki ...
 
Ukraine kakubali mashart ya urusi ndo maana russia kaondoka ...mbona bibisiii wqnasema kila siku tatizo mnataka kusikia yanayowapendeza masikio yenu ....ila ukweli hamuutaki ...
Hizo terms ni zipi mkuu
 
Ni hivi huyo Ukraine apigwe na Russia au asiaidiwe na NATO hainuhusu
Kinachonihusu ni huyu mpumbavu putin anavuruga utaratibu wangu wa maisha ya kila siku na tena hata siishi Ukraine,
Hili ndio tatizo kwangu ambalo linanihusu, lakini vichwa mavi vya kibongo wanaomshabikia putin, labda sababu maisha yenyewe kwao ni kubabatiza(choka mbaya) na ameshazoea umasikini kwa hiyo hata haoni gharama za maisha kupanda kutokana na sababu za kijinga za huyu mpuuzi putin.
Ukiangalia wabongo wengi wanaomsupport Putin hawako smart kabisa kiakili na kiuchumi,, Kuna watu ukiwaona unawahurumia,, wanalalamika eti huyu Mother hafai kabisa ( hili nmelishuhudia mwenyewe) kuwa amesababisha mafuta kupanda huku wakimsifu Putin Ni mbabe wa Dunia na wanaombea Vita iendelee bila kufikir athari za Vita.
 
Ndiyo kina nyani hao mkuu:

IMG_20220408_223620_499.jpg
 
Russia hatumii nguvu zake in full mzee. Yani ni sawa na unamkabili mtoto mdogo kimwili mnacheza anakupiga mateke na makonzi ila wewe una defend tu hurudishi kwa nguvu maana utamuumiza
Bita Ni bita mura ,,, hakunaga cha mchezo wa baba na mtoto kwenye bita mura!
 
Ukiangalia wabongo wengi wanaomsupport Putin hawako smart kabisa kiakili na kiuchumi,, Kuna watu ukiwaona unawahurumia,, wanalalamika eti huyu Mother hafai kabisa ( hili nmelishuhudia mwenyewe) kuwa amesababisha mafuta kupanda huku wakimsifu Putin Ni mbabe wa Dunia na wanaombea Vita iendelee bila kufikir athari za Vita.
Ni kweli kabisa
Wengi wanaishi kwa shemeji, hajui na haoni mabadiliko ya gharama za maisha...
au ni kweli ana kielimu cha kusindikiza na unakuta kafika mpaka chuo katoka na empty head na sasa maisha yamempiga kisawasawa kwa hiyo anaona ni bora putini ayavuruge na ya wengine , vilevile hajui kuwa mfanyabiashara atamminya yeye binafsi kwa kupandisha bei ya bidhaa...
Asubiri sasa aambiwe kodi ya chumba imepanda kutokana vita 🤣
 
Atajijengaje wakati maeneo yake muhimu itachukuliwa na warusi mpaka bahari yaani Kwa kifupi Ukraine inaenda kugawanywa.
inakua kama MOROGORO muji kasoro BAHARI
halaf watakuja kusema UKRAINE kashinda !
 
er Russian military leader warned that the conflict with Ukraine could soon move into Russian territory.

During an appearance on the Russian television program Radar, Igor Girkin, who prefers to go by Igor Strelkov, said that if Russia doesn't mobilize its military forces, its war with Ukraine could cross over into Russia. According to the New York Times, Strelkov previously served as the defense minister for separatist forces backed by Russia in Eastern Ukraine.

The comments by Strelkov come amid reports that Russian military forces were beginning to retreat from Ukraine's capital of Kyiv, after Ukrainian troops
 
Back
Top Bottom