ulikuwa wap Putin alipokuwa anakwepa majadilianoUkraine anabahati mbaya sana. Atapondwapondwa mpaka nukta ya mwisho. Hakuna kitu kitasalia. Lawama zote ziende kwa Zelensky, alitakiwa kukaa pamoja na Putin wayamalize.
Ukraine kazichoka dharau , crimea , donbas na luhansk ila hajaridhika anatak ukraine yote , so afe kipa afe kocha ushind lzm ili mjin tuheshimiane vzrUlipo mgogoro kila kitu ni wazi.
NATO kajiingiza ila vita ndani ya Ukraine. Haipo siri tena:
"Vita vikuu vya dunia kupiganiwa Ukraine."
Putin kaonyesha kulielewa somo mapema. Amekimbia mbio sana mithili ya aliyefumaniwa kuwahi Donbas, Lohansk na Crimea.
Hayupo anayetaka vita. Ukraine kapelekewa vita. Ukraine yuko katika kujikomboa na gharama yake ameikubali.
Habari ndiyo hiyo.
kivita hakuna taifa linamueza usa , ogopa sn ila usa anapigana vita mbili at the same time kuhakikisha asipigwe gap na china kiuchumi pia kuhakikisha anamuangusha russia so pole pole , tutajuana mjinUSA kama yeye mbabe wa Dunia arushe hata risasi Moja katika Ardhi ya Russia halafu washirika wake wakae pembeni vita ipigwe Kati yake na Russia tuone mbabe Nani?...
hahahaaaaaaaaaaMzee Kiduku wa North Korea tunaomba utuongezee silaha sisi Warusi huku Ukraine
athar za vibanda umiza hizBasi wach wazichape tuone mshindi nani. Lakini kelele za sijui war crime zipungue mkono mkono mpaka kieleweke.
Wewe ndio utafute hela ili uache kulalamika eti maisha magumu, mwenye hela huwa halalamiki na kutafuta huruma kutoka kwa mwanaume mwenzie kama ww unavyo taka huruma ya putin ili mafuta yashuke bei.Tafuta hela wewe njaa kali....na hii ndio kanuni ya maisha....
unaleta mahaba kwa putini wakati unaishi ileje....zwazwa kabisa...
Usiwe na hasira na mm kwa sababu mm sikumtuma mama yako aolewe na mwanaume masikini na mwisho wa siku wakazaa mtoto masikini kama wewe.Nikuonee huruma wewe ...pole sana....
Ningekuwa naishi kwa shemeji kama wewe lazima ningemshabikia putini ......shauri yako....yakibuma atakurudisha kijijini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]..ungeandika kiswahili tuu mkuu ghara la silaha au amoury...
Hiyo inaitwa power of national spirit sidhani kama kizazi chetu za leo wanajua hili. Ukizaliwa Tanzania lazima uwe tayari kulifia taifa lako kulika hadhi na heshima ya kizazi kijacho. Ukraine wako front kulinda nchi yao dhidi ya uvumizi na uonevu wa Russia. Wata wengi hawajui kuwa the former socialist state ni propaganda machineUkraine kazichoka dharau , crimea , donbas na luhansk ila hajaridhika anatak ukraine yote , so afe kipa afe kocha ushind lzm ili mjin tuheshimiane vzr
Nakuona uko bize kwa JF..........unazituma tu meseji...Usiwe na hasira na mm kwa sababu mm sikumtuma mama yako aolewe na mwanaume masikini na mwisho wa siku wakazaa mtoto masikini kama wewe.
Ww kama ni masikini usidhani na sisi ni masikini kama ww.
Mwana ume wa kweli huwa haishi maisha ya kutafuta huruma ya mwanaume mwenzie kama ww.
Ukraine kakubali mashart ya urusi ndo maana russia kaondoka ...mbona bibisiii wqnasema kila siku tatizo mnataka kusikia yanayowapendeza masikio yenu ....ila ukweli hamuutaki ...Sasa kama kwa Ukraine kambwela atawezana na mataifa makubwa kama Germany au UK?
Hizo terms ni zipi mkuuUkraine kakubali mashart ya urusi ndo maana russia kaondoka ...mbona bibisiii wqnasema kila siku tatizo mnataka kusikia yanayowapendeza masikio yenu ....ila ukweli hamuutaki ...
[emoji1787][emoji1787]
Ukiangalia wabongo wengi wanaomsupport Putin hawako smart kabisa kiakili na kiuchumi,, Kuna watu ukiwaona unawahurumia,, wanalalamika eti huyu Mother hafai kabisa ( hili nmelishuhudia mwenyewe) kuwa amesababisha mafuta kupanda huku wakimsifu Putin Ni mbabe wa Dunia na wanaombea Vita iendelee bila kufikir athari za Vita.Ni hivi huyo Ukraine apigwe na Russia au asiaidiwe na NATO hainuhusu
Kinachonihusu ni huyu mpumbavu putin anavuruga utaratibu wangu wa maisha ya kila siku na tena hata siishi Ukraine,
Hili ndio tatizo kwangu ambalo linanihusu, lakini vichwa mavi vya kibongo wanaomshabikia putin, labda sababu maisha yenyewe kwao ni kubabatiza(choka mbaya) na ameshazoea umasikini kwa hiyo hata haoni gharama za maisha kupanda kutokana na sababu za kijinga za huyu mpuuzi putin.
Ukiangalia wabongo wengi wanaomsupport Putin hawako smart kabisa kiakili na kiuchumi,, Kuna watu ukiwaona unawahurumia,, wanalalamika eti huyu Mother hafai kabisa ( hili nmelishuhudia mwenyewe) kuwa amesababisha mafuta kupanda huku wakimsifu Putin Ni mbabe wa Dunia na wanaombea Vita iendelee bila kufikir athari za Vita.
Bita Ni bita mura ,,, hakunaga cha mchezo wa baba na mtoto kwenye bita mura!Russia hatumii nguvu zake in full mzee. Yani ni sawa na unamkabili mtoto mdogo kimwili mnacheza anakupiga mateke na makonzi ila wewe una defend tu hurudishi kwa nguvu maana utamuumiza
Ni kweli kabisaUkiangalia wabongo wengi wanaomsupport Putin hawako smart kabisa kiakili na kiuchumi,, Kuna watu ukiwaona unawahurumia,, wanalalamika eti huyu Mother hafai kabisa ( hili nmelishuhudia mwenyewe) kuwa amesababisha mafuta kupanda huku wakimsifu Putin Ni mbabe wa Dunia na wanaombea Vita iendelee bila kufikir athari za Vita.
inakua kama MOROGORO muji kasoro BAHARIAtajijengaje wakati maeneo yake muhimu itachukuliwa na warusi mpaka bahari yaani Kwa kifupi Ukraine inaenda kugawanywa.