Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

Russia wataijenga upya! Wakati Chechenia walipotaka kujitenga na Russia ,Majeshi ya Russia yalisagasaga kila kitu,lakini waliijenga upya ikarudi katika hali yake! Na leo vikosi vilivyo mstari wa mbele kupigana Ukraine mojawapo ni vikosi vya Russia kutoka Chechenia vilivyowezesha kuuteka mji wa Mariupol.
Nadhani mashambulizi sasa yanapangwa kuelekezwa mji wa Karkiv!
 
Sasa kashindwa ijenga Syria....akaiomba Marekani ndo ataweza Ukraine
Mkuu kwani asipoijenga atapoteza nini? Tena akishikilia ndo tatizo maana haitawezekana kutumia asset zake zilizozuiwa kuujenga. Huyu mtu amekuwa stuborn. Maamuzi makali yanatakiwa kufikiwa kuhusu yeye au kama haiwezekani aachwe tu ajimegee ukraine.
 
Watu wanataka ardhi wewe unazungumzia majengo🙄🙄🙄‼️ . Majengo yatajengwa mengine na ardhi ya kilimo itainufaisha Urusi na ukrein imekosa ardhi bora kwa kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…