Hivi naona niku ignore nisisome ujinga wako
Russia iliingia lini lyviv, wewe unafuatilia hii vita kweli au unaota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi naona niku ignore nisisome ujinga wako
Russia iliingia lini lyviv, wewe unafuatilia hii vita kweli au unaota
Tututututu labda tu nikueleweshe kimoja tu broh.NATO wakaifyagie sasa kama walivyofanya LIBYA
Maana wapo na jeshi dhaifu wanangojea nn !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia kuivamia Ukraine ni kuzuia yeye kujiunga na NATO na kuwatisha waliosalia,Cha ajabu waliosalia wamepeleka maombi kujiunga NATO mathalan Sweden na Finland na wanachangia mipaka na Russia.Ww unaita vita ya bure wakati wenyewao huko miongoni mwa malengo ya hii vita ni Usalama kwanza [emoji16], na kwa mfano Ukraine angefanikiwa kujiunga na nato mngelikuja na nyuzi za kukejeli kuwa Urusi sasa kazingukwa, kuweni wapole tu sasaivi
Ushawishi kiulinzi na kibiashara na kidiplomasia.