Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

Umesahau na walivyoikomboa MAURIOPOL nayo[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetaja miji iliyokombolewa Mariupol haijakombolewa.
Pia kumbuka kwamba Ukraine ni nchi yenye jeshi dogo Cha ajabu imeweza kukomboa miji takriban mitatu asa najiuliza mathalan Russia ingeivamia France kingempata nini!?
Kaa ukumbuke hii vita ni ya kiakili zaidi Russia ameshapoteza nguvu katk dunia kiushawishi,kijeshi mpk kiuchumi.
 
Watu wa NATO hapa hutawaona
mkuu huwezi jua nini kitatokea Ukreain jana wame-delivery mfumo wa long range missles toka US wanaweza kuondoa jeshi lao kiaina baadae watakao salia wakala shaba za mbali., imetokea hivyo mara kadhaa Russia wanatangaza kuchukua mji badae wanakula nondo wanarudi nyuma., let see.,
 
Kudadeki hatimaye NATO wameondoa majeshi. Wamekubali kushindwa. Sasa tunaelekea kyiv
Karibuni Kyiv kwa mara ya pili na mukifika tu kwanza pigeni huu ubalozi wetu wa US hapa Kyiv
 
Vikosi vya Ukraine vilivyoko Severodonetsk vimetakiwa kuondoka, kwa mujibu wa afisa wa ngazi ya juu wa eneo hilo.

Mji huo ndio kitovu cha uvamizi wa Urusi huku Moscow ikijaribu kuchukua udhibiti wa sehemu kubwa za mashariki mwa Ukraine.

"Kusalia katika nafasi ambazo zimeshambuliwa kwa miezi mingi haina maana," gavana wa mkoa wa Luhansk Serhiy Haidai alisema.

Vikosi vya Urusi vimepiga hatua katika siku za hivi karibuni na vinakaribia kuzunguka jiji hilo, na mji wake pacha wa Lysychansk.

"Wamepokea maagizo ya kurejea kwenye nafasi mpya... na kutoka huko waendelee na shughuli zao," Bw Haidai aliambia televisheni ya Ukraine.

"Hakuna maana ya kukaa katika nafasi ambazo zimeharibiwa kwa miezi kadhaa kwa sababu ya kubaki," alisema.

Miundombinu yote ya jiji imeharibiwa kabisa, Bw Haidai aliongeza, na zaidi ya 90% ya nyumba zikiwa zimepigwa makombora na 80% kuharibiwa vibaya.

Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, ulioanza mnamo Februari, umekuwa ukilenga Severodonetsk na mji wake pacha wa Lysychansk kwa wiki kadhaa.

Ni nafasi za mwisho zilizosalia za Kiukreni katika eneo la Luhansk, moja ya mikoa miwili inayounda Donbas ya mashariki.

Rais wa Urusi Vladimir Putin amedai kwa uwongo kwamba wazungumzaji wa Kirusi katika Donbas wamekuwa wahanga wa mauaji ya halaiki - mojawapo ya sababu kuu anazotumia kuivamia Ukraine.

Siku ya Alhamisi, vikosi vya Urusi vilichukua udhibiti wa maeneo zaidi kusini mwa Severodonetsk na Lysychansk, na kuzua hofu kwamba vikosi vya Ukraine vitazingirwa huko hivi karibuni
Hujui technic ya Ukraine iko wapi em tuliza ball tuone what next., jana Ukraine ame delivery mfumo maalum wa silaha za mbali., kumbuka Putin alipoivamia Ukraine alitangaza Luhansk na Donetisk kuwa majimbo huru na wakasherehekea sana na kupachika bendera zao lakini kilichotokea ni nini baadae? Je Putin sasaiv anaweza tangaza Donbas ni majimbo huru?
 
Nimetaja miji iliyokombolewa Mariupol haijakombolewa.
Pia kumbuka kwamba Ukraine ni nchi yenye jeshi dogo Cha ajabu imeweza kukomboa miji takriban mitatu asa najiuliza mathalan Russia ingeivamia France kingempata nini!?
Kaa ukumbuke hii vita ni ya kiakili zaidi Russia ameshapoteza nguvu katk dunia kiushawishi,kijeshi mpk kiuchumi.
Kama RUSSIA angepigana na FRANCE kwakua anaviguvu kidogo tungeenda nae kwenye small war ili kumnyoosha
Kama tukipigana na NATO tunaingia full war tuwanyooshe zaidi
Hapo UKRAINE hakuna War kuna millitary Oparation (mama mkanye mwanao) hapo UKRAUINE anafunzwa adabu tuu
UKRAINE ana kajeshi kadogo ila msaada anapata mwingi na bado anachezea
Mwisho RUSSIA hayupo vitani na UKRAINE angekua VITANI huyo UKRAINE ingebakia historia tuu ila UKRAINE ndio yupo vitani na RUSSIA
Yaani RUSSIA mpaka muda huu miji yake ipo salama kuliko huko PARIS
RUSSIA akiamua kuingia VITANI na UKRAINE hata wewe huko ulipo utajua tuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui technic ya Ukraine iko wapi em tuliza ball tuone what next., jana Ukraine ame delivery mfumo maalum wa silaha za mbali., kumbuka Putin alipoivamia Ukraine alitangaza Luhansk na Donetisk kuwa majimbo huru na wakasherehekea sana na kupachika bendera zao lakini kilichotokea ni nini baadae? Je Putin sasaiv anaweza tangaza Donbas ni majimbo huru?
Atangaze mara ya pili
MANATO munaumwa !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama RUSSIA angepigana na FRANCE kwakua anaviguvu kidogo tungeenda nae kwenye small war ili kumnyoosha
Kama tukipigana na NATO tunaingia full war tuwanyooshe zaidi
Hapo UKRAINE hakuna War kuna millitary Oparation (mama mkanye mwanao) hapo UKRAUINE anafunzwa adabu tuu
UKRAINE ana kajeshi kadogo ila msaada anapata mwingi na bado anachezea
Mwisho RUSSIA hayupo vitani na UKRAINE angekua VITANI huyo UKRAINE ingebakia historia tuu ila UKRAINE ndio yupo vitani na RUSSIA
Yaani RUSSIA mpaka muda huu miji yake ipo salama kuliko huko PARIS
RUSSIA akiamua kuingia VITANI na UKRAINE hata wewe huko ulipo utajua tuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Factless things kabisa unaleta.
Kama kweli Russia ina nguvu isingeondolewa kyiv,isingeondolewa Lviv,isingeondolewa Kharkiv.
Nguvu gani iko nayo sasa!?
Hata Iran naweza kusema ana nguvu maana kwa jeshi dhaifu la mapinduzi alimzuia USA na washirika wake akiwemo Iraq kwa Vita ya miaka nane.
Ukraine inafadhiliwa silaha tu ila imeweza kuikomboa mini yake takriban mitatu ilopokonywa na Russia.Hiyo nguvu ya Russia ikowapi!?
Halafu uongee pumba kuwa Russia angeweza kummudu France ambae nae anatoa msaada wa silaha kwa Ukraine.
KITENDO CHA RUSSIA KUPOKONYWA TENA MIJI ALOITANGAZA KUIITA HURU KIMEFANYA AONEKANE DHAIFU SANA.
 
Kama kimefanya aonekane dhaifu sawa endeleeni kukomboa miji
Naona UKRAINE ishaanza kujengwa UPYA miji sasa hv inakalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama RUSSIA angepigana na FRANCE kwakua anaviguvu kidogo tungeenda nae kwenye small war ili kumnyoosha
Kama tukipigana na NATO tunaingia full war tuwanyooshe zaidi
Hapo UKRAINE hakuna War kuna millitary Oparation (mama mkanye mwanao) hapo UKRAUINE anafunzwa adabu tuu
UKRAINE ana kajeshi kadogo ila msaada anapata mwingi na bado anachezea
Mwisho RUSSIA hayupo vitani na UKRAINE angekua VITANI huyo UKRAINE ingebakia historia tuu ila UKRAINE ndio yupo vitani na RUSSIA
Yaani RUSSIA mpaka muda huu miji yake ipo salama kuliko huko PARIS
RUSSIA akiamua kuingia VITANI na UKRAINE hata wewe huko ulipo utajua tuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitufanye sisi watoto,miji ya Russia ilopakana na mipaka ya Ukraine ilipata kiasi Cha uharibifu ndio maana raia wengi walihamia Tbilis Georgia.
Russia ni mbwa koko tu Sweden imeshapeleka shauri ya kujiunga NATO Moldova , Georgia na Ukraine washapigiwa kula nyingi za kukubaliwa kujiunga EU shauri leo litasikilizwa Macron akiwa kinara kushinikiza hilo lifanikiwe.
 
Kama kimefanya aonekane dhaifu sawa endeleeni kukomboa miji
Naona UKRAINE ishaanza kujengwa UPYA miji sasa hv inakalika

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia angeendelea kuiweka miji aloitangaza huru mikononi mwake Sweden ingeogopa kupeleka muswada wa kujiunga NATO pia Georgia na Moldova zisingefikiria hata.
Ila hali ya retaliation ya Ukraine imewafanya wasiogope chochote.
Kapigana Vita bure watu wamemuharibia uchumi pia wamemuharibia ushawishi pia wamemuharibia diplomasia amebaki na Belarus tu km jamaa yake ukanda wote wa East and central Europe.
 
We should spread the word comrade! Citizens of Sieverodonesk! A ring of steel surrounds your rotten city! We will crush all those who dare resist the will of the motherrussia Army!
Abandon your posts...
Abandon your homes...
Abandon your city...
ABANDON ALL HOPE!...
URAAA!

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Usitufanye sisi watoto,miji ya Russia ilopakana na mipaka ya Ukraine ilipata kiasi Cha uharibifu ndio maana raia wengi walihamia Tbilis Georgia.
Russia ni mbwa koko tu Sweden imeshapeleka shauri ya kujiunga NATO Moldova , Georgia na Ukraine washapigiwa kula nyingi za kukubaliwa kujiunga EU shauri leo litasikilizwa Macron akiwa kinara kushinikiza hilo lifanikiwe.
Una maumivu sana nchi ndo inazidi kuondoka
 
Kwanini basi baada ya kushindwa Kyiv alirudi tena kupigana kwenye majimbo ambayo kabla alishatangaza kuwa yako huru? kwanini?

Ukrain wameapa kuipigania nchi yao na kuhakikisha Russia haondoki na hata inch 1 katika ardhi yao.
Kweli
FB_IMG_16542554697688120.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maumivu sana nchi ndo inazidi kuondoka
Hehehehehehehe naona bado Kharkiv,Lviv na Kyiv ni Russian occupied territory.
Mm sina maumivu yeyote ila nimegundua kuwa Western powers na USA Ni wababe wa dunia.
Wakiamua kukuandama wanakuandama haswaa.
Baada ya huu mzozo kuisha Russia itakua si tishio tena kabbisa maana uchumi hana,ushawishi hana na hata jeshi lishaonekana halina kitu.
 
Russia angeendelea kuiweka miji aloitangaza huru mikononi mwake Sweden ingeogopa kupeleka muswada wa kujiunga NATO pia Georgia na Moldova zisingefikiria hata.
Ila hali ya retaliation ya Ukraine imewafanya wasiogope chochote.
Kapigana Vita bure watu wamemuharibia uchumi pia wamemuharibia ushawishi pia wamemuharibia diplomasia amebaki na Belarus tu km jamaa yake ukanda wote wa East and central Europe.
Ushawishi upi [emoji23][emoji3][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehehehehe naona bado Kharkiv,Lviv na Kyiv ni Russian occupied territory.
Mm sina maumivu yeyote ila nimegundua kuwa Western powers na USA Ni wababe wa dunia.
Wakiamua kukuandama wanakuandama haswaa.
Baada ya huu mzozo kuisha Russia itakua si tishio tena kabbisa maana uchumi hana,ushawishi hana na hata jeshi lishaonekana halina kitu.
NATO wakaifyagie sasa kama walivyofanya LIBYA
Maana wapo na jeshi dhaifu wanangojea nn !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huwezi jua nini kitatokea Ukreain jana wame-delivery mfumo wa long range missles toka US wanaweza kuondoa jeshi lao kiaina baadae watakao salia wakala shaba za mbali., imetokea hivyo mara kadhaa Russia wanatangaza kuchukua mji badae wanakula nondo wanarudi nyuma., let see.,

“wame-delivery”
 
Back
Top Bottom