Factless things kabisa unaleta.
Kama kweli Russia ina nguvu isingeondolewa kyiv,isingeondolewa Lviv,isingeondolewa Kharkiv.
Nguvu gani iko nayo sasa!?
Hata Iran naweza kusema ana nguvu maana kwa jeshi dhaifu la mapinduzi alimzuia USA na washirika wake akiwemo Iraq kwa Vita ya miaka nane.
Ukraine inafadhiliwa silaha tu ila imeweza kuikomboa mini yake takriban mitatu ilopokonywa na Russia.Hiyo nguvu ya Russia ikowapi!?
Halafu uongee pumba kuwa Russia angeweza kummudu France ambae nae anatoa msaada wa silaha kwa Ukraine.
KITENDO CHA RUSSIA KUPOKONYWA TENA MIJI ALOITANGAZA KUIITA HURU KIMEFANYA AONEKANE DHAIFU SANA.