Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kyiv waliizingira pia ilikuwaje tena? naona Watoto wanajipigia picha za kumbukumbu kwenye vifaru vya russia vilivyochachagwaUmewahi mno kuleta habari hii..pale warusi watakapouzingira wote kama ilivyokuwa kwa Mariupol uwe mwepesi pia kutuletea habari hizo...
mwezi wa 4 mkuu sasaKwa jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa kubwa na lenye vifaa vya kila Aina hatuna budi kuwasifia Ukrainian.Toka juzi wamekomboa sehemu kubwa ya mji huo pia kitendo cha kupigana vita na Russia Kwa kipindi cha miezi 3 ni ushujaa mkubwa.
hii vita sio ushabiki WA Simba na yanga
Good move....zikiingia zile HIMARS zitakuwa 'game changer'.
Pengine unaota au umeshiba na kuvimbiwa propaganda...Kiev haijawahi kuzingirwa kwa maana halisi ya neno kuzingirwa...Mji pekee ambao ulizingirwa ni Mariupol ambapo Askari waliozingirwa pamoja na thousands of civilians walikuwa.hawawezi kupata msaada iwe ni chakula, dawa au silaha....Raia wengi waliweza kuwa evacuated kwa uangalizi wa UN kufuatia mazungumzo yaluyofanyika Kati ya UN na Russia na siyo vinginevyo....Kyiv waliizingira pia ilikuwaje tena? naona Watoto wanajipigia picha za kumbukumbu kwenye vifaru vya russia vilivyochachagwa
Mkuu Kyiv waliizingira mpaka Russia wakataka majeshi ya Ukraine wajisalimishe wakatoa mpaka masaa ya kujisalimisha kumbuka vizuri ilikuwa operetation munayoiita inaingia mwezi 2., baada ya kule walikoanzia Donbas ambako sasa Russia wamerudi baada ya kushindwa Kyiv., lazima ukubali putin anagaragazwaPengine unaota au umeshiba na kuvimbiwa propaganda...Kiev haijawahi kuzingirwa kwa maana halisi ya neno kuzingirwa...Mji pekee ambao ulizingirwa ni Mariupol ambapo Askari waliozingirwa pamoja na thousands of civilians walikuwa.hawawezi kupata msaada iwe ni chakula, dawa au silaha....Raia wengi waliweza kuwa evacuated kwa uangalizi wa UN kufuatia mazungumzo yaluyofanyika Kati ya UN na Russia na siyo vinginevyo....
Ila kwa propaganda mtaambiwa Kiev liizingirwa......NEVER...
Hahaha, Ukraine anapigana!? Au Ukraine+NATO+EU+UK VS RUSSIA?Kwa jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa kubwa na lenye vifaa vya kila Aina hatuna budi kuwasifia Ukrainian.Toka juzi wamekomboa sehemu kubwa ya mji huo pia kitendo cha kupigana vita na Russia Kwa kipindi cha miezi 3 ni ushujaa mkubwa.
hii vita sio ushabiki WA Simba na yanga
Duh...huu Sasa ni ubishi wa Simba na Yanga...sitaki kuingizwa kwenye ubishi wa aina hii ...huko ni kupotezeana heshima....Mkuu Kyiv waliizingira mpaka Russia wakataka majeshi ya Ukraine wajisalimishe wakatoa mpaka masaa ya kujisalimisha kumbuka vizuri ilikuwa operetation munayoiita inaingia mwezi 2., baada ya kule walikoanzia Donbas ambako sasa Russia wamerudi baada ya kushindwa Kyiv., lazima ukubali putin anagaragazwa
pole kwa anguko la russiaDuh...huu Sasa ni ubishi wa Simba na Yanga...sitaki kuingizwa kwenye ubishi wa aina hii ...huko ni kupotezeana heshima....
Usiwe mbumbu hivo tunasema chukua picha Ukraine angekua na vifaa na technolojia yakutoshaHahaha, Ukraine anapigana!? Au Ukraine+NATO+EU+UK VS RUSSIA?
Mkuu Kyiv waliizingira mpaka Russia wakataka majeshi ya Ukraine wajisalimishe wakatoa mpaka masaa ya kujisalimisha kumbuka vizuri ilikuwa operetation munayoiita inaingia mwezi 2., baada ya kule walikoanzia Donbas ambako sasa Russia wamerudi baada ya kushindwa Kyiv., lazima ukubali putin anagaragazwa
Kuuzingira Kyiv ilikuwa ni mbinu tu ya medani ili majeshi ya Ukraine yaelekeze nguvu kwenye kuuhami mji mkuu; ili kupunguza nguvu huku Mashariki ambako ndiko kulikuwa kumelengwa haswa.Kyiv waliizingira pia ilikuwaje tena? naona Watoto wanajipigia picha za kumbukumbu kwenye vifaru vya russia vilivyochachagwa