Ukraine waanza kurejesha Mji wa Severdonetsk ambao Russia walitangaza kuuteka

Ukraine waanza kurejesha Mji wa Severdonetsk ambao Russia walitangaza kuuteka

Kuuzingira Kyiv ilikuwa ni mbinu tu ya medani ili majeshi ya Ukraine yaelekeze nguvu kwenye kuuhami mji mkuu; ili kupunguza nguvu huku Mashariki ambako ndiko kulikuwa kumelengwa haswa.
Mpaka majeshi ya Ukraine yarudishe nguvu upande wa Mashariki, Russia walikuwa wameshasonga mbele sana na kuteka maeneo.
Hiyo pia imewanyima Ukraine uhakika kama kweli Russia hawanii tena kuushambulia Kyiv, maana alishaingia na kutoka; na bado alituma makombora akapiga Kyiv wakati Katibu Mkuu wa UN akiwa mjini humo wakati wa ziara yake nchini Ukraine.

Hamnaa... kapigwa kwenye pua na kutia akili, kwanza limsafara lilifyekwa hadi raha...
 
Kwa jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa kubwa na lenye vifaa vya kila Aina hatuna budi kuwasifia Ukrainian.Toka juzi wamekomboa sehemu kubwa ya mji huo pia kitendo cha kupigana vita na Russia Kwa kipindi cha miezi 3 ni ushujaa mkubwa.
hii vita sio ushabiki WA Simba na yanga
Mh!
 
Kwa jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa kubwa na lenye vifaa vya kila Aina hatuna budi kuwasifia Ukrainian.Toka juzi wamekomboa sehemu kubwa ya mji huo pia kitendo cha kupigana vita na Russia Kwa kipindi cha miezi 3 ni ushujaa mkubwa.
hii vita sio ushabiki WA Simba na yanga

Tumeshaingia wa nne boss
 
Umewahi mno kuleta habari hii..pale warusi watakapouzingira wote kama ilivyokuwa kwa Mariupol uwe mwepesi pia kutuletea habari hizo...
Pro Russo in denial
 
Pengine unaota au umeshiba na kuvimbiwa propaganda...Kiev haijawahi kuzingirwa kwa maana halisi ya neno kuzingirwa...Mji pekee ambao ulizingirwa ni Mariupol ambapo Askari waliozingirwa pamoja na thousands of civilians walikuwa.hawawezi kupata msaada iwe ni chakula, dawa au silaha....Raia wengi waliweza kuwa evacuated kwa uangalizi wa UN kufuatia mazungumzo yaluyofanyika Kati ya UN na Russia na siyo vinginevyo....
Ila kwa propaganda mtaambiwa Kiev liizingirwa......NEVER...
Pro Russo in denial
 
Moderator
Na huu uzi pia uanganishwe kwenye uzi mama tafadhali
Cry more,hakuna moderator atapenda kuendekeza hizi deko zako.Moderators simamieni hapo hapo,acha mijadala iflow kama kawaida,JF haijafika hapa kwa kuwa na members kama hawa wenye kutaka kuwafundisheni kazi zenu

Moderator
 
Hata kwa mji wa Mariopol City,Russia walionekana kuzidiwa,lakini baada ya muda mji ukaangukia mikononi mwa Russia.Kumbuka hapo Russia siyo anapigana na Ukraine tu,kuna mamluki wa Nchi za magharibi,wamo!
 
Back
Top Bottom