MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Tunakumbuaha tuKwa jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa kubwa na lenye vifaa vya kila Aina hatuna budi kuwasifia Ukrainian.Toka juzi wamekomboa sehemu kubwa ya mji huo pia kitendo cha kupigana vita na Russia Kwa kipindi cha miezi 3 ni ushujaa mkubwa.
hii vita sio ushabiki WA Simba na yanga
Taleban wamepigana vita na Marekani na washirika wake kwa muda wa miaka 20 na wakaibuka kidedea.
Hawa ndio wakusifia