MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Tunakumbuaha tuKwa jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa kubwa na lenye vifaa vya kila Aina hatuna budi kuwasifia Ukrainian.Toka juzi wamekomboa sehemu kubwa ya mji huo pia kitendo cha kupigana vita na Russia Kwa kipindi cha miezi 3 ni ushujaa mkubwa.
hii vita sio ushabiki WA Simba na yanga
I am Anti-NATO......Pro Russo in denial
Which denial are you talking about?! Kiev was never surrounded by Russia's forces...they were near it and in certain areas even 18 km from Kiev but never surrounded it....Pro Russo in denial
Hahaha, Ukraine anapigana!? Au Ukraine+NATO+EU+UK VS RUSSIA?
😂😂😂Hahaha, Ukraine anapigana!? Au Ukraine+NATO+EU+UK VS RUSSIA?
Anzisha uzi wake uelezee wewe hiyo ,mariopo'hebu elezea na Mariopo rafiki
Teh teh teh,mpaka hii vita iishe kuna watu mtakuwa mlishateseka sana kuliko Anduje Putin.Mrusi katandika kiev nyie po bize na propaganda za mrekani
Mrusi katandika kiev nyie po bize na propaganda za mrekani