Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu yakizidi tafta Picha ya PUT IN ichanganye na maji
Halaf unywe kutwa glass tatu itategemes naukubwa washida yako unavyojihisi
Zingatia MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Russia yeye kuiangamiza Marekanı na Ulaya ndani ya sekunde hawezi au unamaanisha nını?Mmarekani /NATO anayo uwezo wa kuingamiza na kuifuta kabisa Urusi kwenye ramani ndani ya dakika sifuri. Tatizo madhara ya hatua hii kwa dunia nzima hayaelezeki. Hivyo njia pekee ya kumkabili kichaa wa kremlin ni kwenda naye taratibu. African proverb inasema ,why burn a house to flush out a rat? Kremlin rat will be neutralized taratibu.
Kobazi huyo achana nayeSasa takbir hapo inaingiaje?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmefikia wapi na haya makombora ?
Nuclear deterrence baba. Hii vita Marekani na washirika tayari wametimiza malengo muhimu-Finland ,Sweden na Ukraine ndani ya NATO. Putin atakimbizwa mbio za marathon hadi atakapo zimia kwa uchovu- catastrophic fatigue failure.Kwamba Russia yeye kuiangamiza Marekanı na Ulaya ndani ya sekunde hawezi au unamaanisha nını?
Acha kukufuru usimlinganishe Mungu na vitu vya ajabu ajabu.Kwanza kwa kauli hii lazima Mungu ageuze kibao na kuwaadhibu akina Putin tu .Mark my words soon Mungu atawageukia tu kama alivyofanya Tz na Magu wenu mlipoanza kumwabudi mtuNi rahisi kumwona Allah uso kwa uso kuliko Urusi kuwa taifa teule.
Mkuu naomba unijuze zaidi kuhusu hao asakari wa Parachutes walifanywaje na vikozi vya UkraineDikiteta Putin alifikiri mambo yatakuwa kama alivyotaka yeye, urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Ukraine ndani ya saa 72 [emoji12][emoji12] akatumia askari wa parachute na kutumia kila mbinu lakini bado amegonga mwamba
The point is; kama ambavyo haiwezekani kumwona Mungu uso kwa uso ndivyo ilivyo vigumu Urusi kuwa taifa teule. Read between the lines; lugha ya kinyume hiyo.Acha kukufuru usimlinganishe Mungu na vitu vya ajabu ajabu.Kwanza kwa kauli hii lazima Mungu ageuze kibao na kuwaadhibu akina Putin tu .Mark my words soon Mungu atawageukia tu kama alivyofanya Tz na Magu wenu mlipoanza kumwabudi mtu
NonsenseWhen it is all over ,the civilized world would handover Russia to rightful owners ,the people of Russia. Russia siyo mali ya Putin na oligachs wachache.
Acha jazba- past ,present ,the future i tell.