Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

Haka kainchi kamekua kero, kameua Warusi hadi basi na bado hakakua kameanzisha shughuli ya haya makombora, sasa kameanza kuyarusha na kufanya maangamizi makubwa kwa wavamizi na wadhulumaji wa kutokea Urusi....takbirrrr!!!!

=========================
Ukrainian forces fired three large tactical ballistic missiles at Russian positions, including ammunition depots, as images from Ukraine's military reportedly show.
Three "Tochka" tactical ballistic missiles were fired from mobile missile launch systems deployed in a field somewhere in Ukraine, from what can be seen on the footage.

It is unclear where exactly in Ukraine the images were filmed but the footage was obtained from the Strategic Communications Department of the Armed Forces of Ukraine, who said that it shows the "launch of three 'Tochka' OTRs [tactical ballistic missiles] at the positions of orcs and ammunition depots."

The Ukrainian forces regularly refer to the invading Russian military forces as "orcs."

Zenger News contacted the Strategic Communications Department of the Armed Forces of Ukraine for further comment, as well as the Russian Ministry of Defense, but had not received a reply at the time of writing.

Russia invaded Ukraine on February 24 in what the Kremlin is still calling a "special military operation." Friday marks the 121st day of the invasion.

Warusi wa kwa Mtongole Bongo mpate aibu sana, oneni kainchi kanakowatesa.

where-are-ukraine-&-russia.jpg
Takbir ndio nini??
 
Huyu mtu wetu tunamchapa taratibu ukitaka kuona moto halisi NATO aingie vitani

Jikosesheni njia na kujisahau mtume kakombora kamoja tu kwa kataifa kokote ka NATO hapo pembeni, kwa mfano Latvia au estonia wako hapo wanachangia mpaka mmoja na Urusi na wenyewe ni wanachama wa NATO, rusheni hata risasi tu kwao...
Si mnajifanya mnashambulia Ukraine kisa wanataka kujiunga NATO, basi hao hapo mpo nao mpaka mmoja na ni NATO kabisa, wahuseni kidogo tu.

_59574753_latvia.gif
 
Acha mikwara jombaa hao Belarusi atatumika kuwachapa na ameshapewa makombora yenye uwezo wa kubeba nukes
 
Mmarekani /NATO anayo uwezo wa kuingamiza na kuifuta kabisa Urusi kwenye ramani ndani ya dakika sifuri. Tatizo madhara ya hatua hii kwa dunia nzima hayaelezeki. Hivyo njia pekee ya kumkabili kichaa wa kremlin ni kwenda naye taratibu. African proverb inasema ,why burn a house to flush out a rat? Kremlin rat will be neutralized taratibu.
Chizi wa bangi
 
Mkuu,naona mwenzetu wala hana habari kwamba takwimu hizo zinapikwa na Zelensky na genge lake kuchota akili S
yaan nyiny ni watu wa ajab sana , yaan Urusi mpk ss hamjiuliz alifer wap kuimaliza vita ? unahis walirud nyuma kwa kupenda ? tuseme ndio , ss kwann hawawez kurud tena
 
Naona uzee unanisumbua: sina GUTS za ku - "side" upande wowote katika hili kwa kuwa Mungu wangu amenikataza kufanya maovu: Amina
Hayo no maamuzi yako hakuna anayekupinga
Nalog off Z
 
Mmarekani /NATO anayo uwezo wa kuingamiza na kuifuta kabisa Urusi kwenye ramani ndani ya dakika sifuri. Tatizo madhara ya hatua hii kwa dunia nzima hayaelezeki. Hivyo njia pekee ya kumkabili kichaa wa kremlin ni kwenda naye taratibu. African proverb inasema ,why burn a house to flush out a rat? Kremlin rat will be neutralized taratibu.
Kabisa MKUU kama walivyoifuta TALEBAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akbar akbar....leo mnamuabudu Putin kama mtume fulani hivi, mumeingiza udini hasa, watu wa dini ya muarabu huaambii kitu kwa sasa.
Maumivu yakizidi tafta Picha ya PUT IN ichanganye na maji
Halaf unywe kutwa glass tatu itategemes naukubwa washida yako unavyojihisi
Zingatia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom