Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

Hahahahaha ila we jamaa una mahaba au sijui unaamua tu kujitoa fahamu. Wenzako wanalia huko wanapoteza miji kila siku we unang'ang'ana na Kyiv tu. Ile ya Kyiv ilikuwa geresh na NATO wakaingia kingi.

Pale Kyev Mrusi alipigwa za uso kageuza kama mbwa koko....hehehehe
 
Kwani Ukraine ni Kyiv pekeake?? Huko kwingine hali ikoje? Tena msiombe mkamepandisha kichaa PUTIN Kyiv itageuka majivu. Yeye sasahivi yuko busy kuchukua kwanza ardhi anayopakana nayo, akimaliza atawafata hapo Kyiv na ndio komedian atamjua vizuri PUTIN
 
Na haka je...

where-are-ukraine-&-russia.jpg
Usimlaumu anatumia source za mabeberu 😂😂😂 wa ulaya na America 🏃🏃🏃
 
Kwani Ukraine ni Kyiv pekeake?? Huko kwingine hali ikoje? Tena msiombe mkamepandisha kichaa PUTIN Kyiv itageuka majivu. Yeye sasahivi yuko busy kuchukua kwanza ardhi anayopakana nayo, akimaliza atawafata hapo Kyiv na ndio komedian atamjua vizuri PUTIN

Mlianza kwa kuparamia Kyev mkaliwa za uso na kwenda kuparamia vimiji vya huko mpakani, kwa taarifa yako eneo kubwa la Ukraine wanalala hawana habari na vita, supapawa wa hovyo sana ameshindwa kufunika kainchi hapo pembeni mwake...
Ona hii ramani kuna eneo kubwa sana wanalala freshi tu

2022_Russian_invasion_of_Ukraine.svg
 
Hahahahaha ila we jamaa una mahaba au sijui unaamua tu kujitoa fahamu. Wenzako wanalia huko wanapoteza miji kila siku we unang'ang'ana na Kyiv tu. Ile ya Kyiv ilikuwa geresh na NATO wakaingia kingi.
Hahahaaa, Putin is MEGA SMART upstairs - gotta killer instinct like a COBRA, don't you 4get that Amigo MK254.
 
Mlianza kwa kuparamia Kyev mkaliwa za uso na kwenda kuparamia vimiji vya huko mpakani, kwa taarifa yako eneo kubwa la Ukraine wanalala hawana habari na vita, supapawa wa hovyo sana ameshindwa kufunika kainchi hapo pembeni mwake...
Ona hii ramani kuna eneo kubwa sana wanalala freshi tu

2022_Russian_invasion_of_Ukraine.svg
Endelea kujipa moyo, Kyiv imeoga missiles 14 usiku wa kuamkia leo.

Unamcheka Mrusi ambaye anapambana na NATO na bado inamega maeneo na kusonga mbele wakati KDF wanashindwa kuwadhibiti wavaa kobazi wa hapa jirani na mpaka US ina military base hapo..
 
Vita bado haijaanza, kwa sasa mrusi anatoa taarifa kuwa kesho napiga sehem flani hivo ondowni watu wenu
Ikifika piha nikupiga mtaona mengi maana silaha anazotumia ni mabaki ya WW2
 
Hiyo special operation inayo chukua zaidi ya miezi 4 haifai tena kuitwa special ops maana na kusifiwa kote kwa mrusi kua na silaha bora na jeshi imara kila siku ana endelea kukutana na upinzani mkali kwa jeshi ambalo kwanza haliko organized, upungufu wa vifaa na wataalam wa kuendesha baadhi ya silaha za kisasa
Mimi nasema thupa pawa wa mchongo aendelee kupokea kichapo
 
Kama manyumbu vile yakiwa yana migrate serengeti to maasai mara
Majamaa yalikua yanaelekea kyiv kizembe zembe namna hii ndo maana yakaishia kunusa matakoni mwa kyiv tu maana kipigo walicho kula waliishia njiani na kurudi mpakani kujipanga upyaa
images-3.jpg
images-2.jpg
 
Kwani Ukraine ni Kyiv pekeake?? Huko kwingine hali ikoje? Tena msiombe mkamepandisha kichaa PUTIN Kyiv itageuka majivu. Yeye sasahivi yuko busy kuchukua kwanza ardhi anayopakana nayo, akimaliza atawafata hapo Kyiv na ndio komedian atamjua vizuri PUTIN
Way Ukraine WA buza,yombo mbagala na tandale hawaelewi hayo🤔
 
Endelea kujipa moyo, Kyiv imeoga missiles 14 usiku wa kuamkia leo.

Unamcheka Mrusi ambaye anapambana na NATO na bado inamega maeneo na kusonga mbele wakati KDF wanashindwa kuwadhibiti wavaa kobazi wa hapa jirani na mpaka US ina military base hapo..

Muiteke na kuweka uongozi, ila miezi yote hii ni aibu sana kwa supapawa....
 
Kumekucha , long range precision works kazini. Smoke out the Russian rats.
 
Sevelodonestk imeshakwenda we mkenya ass
Sababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitali
 
Sasa kwa Akili zako za kinato Ukraine watamuweza Warusi?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Russia ameshapigwa kitambo na ashajulikana uwezo wake, ndio mana sasa Finland na Sweden wanajisikia huru kutangaza kujiunga na NATO tena mchana kweupe, Ukraine pia wanakamilisha kujiunga na European union kabla ya vita hizo nchi walikuwa hawawezi kuonyesha waziwazi wakiiogopa Russia lakini sasa Putin anafanyiwa visa vya waziwazi na hawezi fanya lolote zaid ya maneno.,
 
Sababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitali
Huo mtego umeshafanya kazi mpaka sasahivi
?
 
Huto tukombora tuta haribiwa soon. Kama ni Wanaume hao Ukraine, basi warushe kombora litue moscow. Kama hawaja zoa majivu nchi yote.
 
Back
Top Bottom