Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaUrusi na iheshimiwe na nchi zote. Tuseme amina ndugu zangu
Wakithubutu watapigika1. Vikwazo
2.msaada wa silaha
3. Msaada wa wanajeshi
Lakini bado NATO anaogopa kuja kumsaidia Ukraine kwenye uwanja wa vita, hakika Urusi ni mbabe kweli kweli
Eti mtego [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitali
Kuua MAGAIDI kama lifanyavyoTAIFA TEULE LA RUSSIA sio SHIDA[emoji23][emoji23]
Hao wauaji Russia watakuwa taifa teule la sheitwani[emoji849]
Kumekucha , long range precision works kazini. Smoke out the Russian rats.
Wala usishangae, comedian Zelensky ana waumini wengi,akilemewa vita wanajeshi wake kusepa kwa kuogopa mvua za masika za makombora na mabom ya jeshi la Urusi - yeye anazuga Dunia pamoja wafadhili wake kwamba ametoa order kwa jeshi lake lifanye "tactical retreat" kumbe wamelemewa tu - ma muliple rocket launchers anazo pewa na USA haziwezi kumsaidia a clown Zelensky kushinda vita,anacho hitajika kufanya ni kwenda kumpigia magoti Tzar Putin mambo yaishe basi,hana jinsi, lakini akiendelea kusikiliza ushauri potofu wa utawala wa Merikani kwamba hasikubali kusitisha vita-basi akae akijuwa kwamba lengo la USA ni kutaka vita iendelee miaka nenda rudi ili wauze silaha zao, dont you forget kwamba American Military Industrial Complex thrives on endless war kwa kuuza silaha, Zelensky anatumika bila kujuwa kutokana na analytical mind yake kuwa dismal kabisa masaa yote anafanya maigizo tu, huku watu wake na nchi yake inateketea na kumegwa - hana habari kabisa anawasikiliza NATO!!Eti mtego [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oh, is it? Personally I don't think so.Sababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitali
Kitu kingine ni watu wachache wanao juwa kwamba pioneers wa rocket multi launcher systems ni Warusi - Wamerikani wali-copy ie reverse engineer Russian BM21 (Stalin Organs) uliyo ibiwa na jeshi la makaburu wakati wa vita ya Angola-silaha hiyo ilisafirishwa kwenda Merikani kuichunguza/study, baadae Wamerikani wakaunda an improved version ya kwao ambayo isn't even a game changer at all save GPS guided rockets/shells - lakini watu wanaichukulia kana kwamba ina uwezo wa kurusha tactical thermal Nuclear Shells/Rockets!!! Wanaipachika sifa kem kem zisizo kuwa na kichwa wala miguu,nina uhakika kwamba Warusi watazi hunt down na kuzilipuwa kwa kutumia sucidal drones.Huto tukombora tuta haribiwa soon. Kama ni Wanaume hao Ukraine, basi warushe kombora litue moscow. Kama hawaja zoa majivu nchi yote.
Wenzako wanabondwa huko we endelea kujifariji tu..Muiteke na kuweka uongozi, ila miezi yote hii ni aibu sana kwa supapawa....
Sasa Ukraine wana hiyo pesa ya kununuwa silaha kwa Marekani?Wala usishangae, comedian Zelensky ana waumini wengi,akilemewa vita wanajeshi wake kusepa kwa kuogopa mvua za masika za makombora na mabom ya jeshi la Urusi - yeye anazuga Dunia pamoja wafadhili wake kwamba ametoa order kwa jeshi lake lifanye "tactical retreat" kumbe wamelemewa tu - ma muliple rocket launchers anazo pewa na USA haziwezi kumsaidia a clown Zelensky kushinda vita,anacho hitajika kufanya ni kwenda kumpigia magoti Tzar Putin mambo yaishe basi,hana jinsi, lakini akiendelea kusikiliza ushauri potofu wa utawala wa Merikani kwamba hasikubali kusitisha vita-basi akae akijuwa kwamba lengo la USA ni kutaka vita iendelee miaka nenda rudi ili wauze silaha zao, dont you forget kwamba American Military Industrial Complex thrives on endless war kwa kuuza silaha, Zelensky anatumika bila kujuwa kutokana na analytical mind yake kuwa dismal kabisa masaa yote anafanya maigizo tu, huku watu wake na nchi yake inateketea na kumegwa - hana habari kabisa anawasikiliza NATO!!
Ni suala la muda tu, Mmarekani na NATO yake aliishindwa Allepo usifikiri na Russia ataishindwa Kyiv. Siku atakują kushtuka Ukrainę yote imekuwa Russia nadhani ndio zile akili zako zitarudiMngeiteka Kyev nisingepata usingizi, nilikua na hofu sana, ila sio kwa kupigwa kule, ngumi za uso.
Ni suala la muda tu, Mmarekani na NATO yake aliishindwa Allepo usifikiri na Russia ataishindwa Kyiv. Siku atakują kushtuka Ukrainę yote imekuwa Russia nadhani ndio zile akili zako zitarudi
Ndio maana wanateka na kujimilikisha ardhi ya Ukraine, baada ya operation hasara yote hiyo itarudi. Vipi KDF imepata hasara kiasi gani pale Somalia?Miezi miine sasa Urusi ameingia hasara kiasi ambacho JWTZ ikiingia inafutika kama jeshi kabisa....
Ndio maana wanateka na kujimilikisha ardhi ya Ukraine, baada ya operation hasara yote hiyo itarudi. Vipi KDF imepata hasara kiasi gani pale Somalia?
Ule uzi wa Russia na Ukraine umeukimbia mkuu? Rudi kule acha kujipa matumaini hewaKwa hasara yote waliyoingia wanapaswa kuwa wamefunika haka kainchi, lakini kwa walivyo hovyo bado sana, yaani hata waarabu watawakimbia hawa
![]()
Naona mnaanza kurekodi dideo na kurusha wakati Putin anakaribia Kyiv saiviIt is unclear where exactly in Ukraine the images were filmed but the footage was obtained from the Strategic Communications Department of the Armed Forces of Ukraine, who said that it shows the "launch of three 'Tochka' OTRs [tactical ballistic missiles] at the positions of orcs and ammunition depots."
Mmarekani /NATO anayo uwezo wa kuingamiza na kuifuta kabisa Urusi kwenye ramani ndani ya dakika sifuri. Tatizo madhara ya hatua hii kwa dunia nzima hayaelezeki. Hivyo njia pekee ya kumkabili kichaa wa kremlin ni kwenda naye taratibu. African proverb inasema ,why burn a house to flush out a rat? Kremlin rat will be neutralized taratibu.Ni suala la muda tu, Mmarekani na NATO yake aliishindwa Allepo usifikiri na Russia ataishindwa Kyiv. Siku atakują kushtuka Ukrainę yote imekuwa Russia nadhani ndio zile akili zako zitarudi
Haka kainchi kamekua kero, kameua Warusi hadi basi na bado hakakua kameanzisha shughuli ya haya makombora, sasa kameanza kuyarusha na kufanya maangamizi makubwa kwa wavamizi na wadhulumaji wa kutokea Urusi....takbirrrr!!!!![]()
=========================
Ukrainian forces fired three large tactical ballistic missiles at Russian positions, including ammunition depots, as images from Ukraine's military reportedly show.
Three "Tochka" tactical ballistic missiles were fired from mobile missile launch systems deployed in a field somewhere in Ukraine, from what can be seen on the footage.
It is unclear where exactly in Ukraine the images were filmed but the footage was obtained from the Strategic Communications Department of the Armed Forces of Ukraine, who said that it shows the "launch of three 'Tochka' OTRs [tactical ballistic missiles] at the positions of orcs and ammunition depots."
The Ukrainian forces regularly refer to the invading Russian military forces as "orcs."
Zenger News contacted the Strategic Communications Department of the Armed Forces of Ukraine for further comment, as well as the Russian Ministry of Defense, but had not received a reply at the time of writing.
Russia invaded Ukraine on February 24 in what the Kremlin is still calling a "special military operation." Friday marks the 121st day of the invasion.
MSN
www.msn.com
Warusi wa kwa Mtongole Bongo mpate aibu sana, oneni kainchi kanakowatesa.
![]()