Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

Mmarekani /NATO anayo uwezo wa kuingamiza na kuifuta kabisa Urusi kwenye ramani ndani ya dakika sifuri. Tatizo madhara ya hatua hii kwa dunia nzima hayaelezeki. Hivyo njia pekee ya kumkabili kichaa wa kremlin ni kwenda naye taratibu. African proverb inasema ,why burn a house to flush out a rat? Kremlin rat will be neutralized taratibu.
Kwamba Russia yeye kuiangamiza Marekanı na Ulaya ndani ya sekunde hawezi au unamaanisha nını?
 
One of four Russian bases in Melitopol hit, another heavy blast in Belgorod, another large depot destroyed in Popasna. It’s a daily, organized campaign to wipe out Russian military infrastructure and undermine its immediate war effort in Ukraine. We did not have this before.

Haya sasa milipuko kila kukicha kambi za jeshi la Urusi Ukraine. HIMARS za Mrekani kazini. Mambo muhimu kuzingatia kuhusu Himars:
- long range ,masafa marefu
-precision, uwezo wa mkubwa wa kulenga shabaha. GPS guided haikosi target.
Jeshi ni zana. Foot soldier na gobole lake , siyo wa kutegemea tena.
 
Kwamba Russia yeye kuiangamiza Marekanı na Ulaya ndani ya sekunde hawezi au unamaanisha nını?
Nuclear deterrence baba. Hii vita Marekani na washirika tayari wametimiza malengo muhimu-Finland ,Sweden na Ukraine ndani ya NATO. Putin atakimbizwa mbio za marathon hadi atakapo zimia kwa uchovu- catastrophic fatigue failure.
 
Kuna kitu hamjui, NATO ni marekani hivo msidhani marekani yupo kusaidia kyv ni kuwa hii vita anafaidika nayo ndo maana karefusha mdomo kama aa jogoo anayejifunza kuwika
 
Ni rahisi kumwona Allah uso kwa uso kuliko Urusi kuwa taifa teule.
Acha kukufuru usimlinganishe Mungu na vitu vya ajabu ajabu.Kwanza kwa kauli hii lazima Mungu ageuze kibao na kuwaadhibu akina Putin tu .Mark my words soon Mungu atawageukia tu kama alivyofanya Tz na Magu wenu mlipoanza kumwabudi mtu
 
Dikiteta Putin alifikiri mambo yatakuwa kama alivyotaka yeye, urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Ukraine ndani ya saa 72 [emoji12][emoji12] akatumia askari wa parachute na kutumia kila mbinu lakini bado amegonga mwamba
Mkuu naomba unijuze zaidi kuhusu hao asakari wa Parachutes walifanywaje na vikozi vya Ukraine
 
Acha kukufuru usimlinganishe Mungu na vitu vya ajabu ajabu.Kwanza kwa kauli hii lazima Mungu ageuze kibao na kuwaadhibu akina Putin tu .Mark my words soon Mungu atawageukia tu kama alivyofanya Tz na Magu wenu mlipoanza kumwabudi mtu
The point is; kama ambavyo haiwezekani kumwona Mungu uso kwa uso ndivyo ilivyo vigumu Urusi kuwa taifa teule. Read between the lines; lugha ya kinyume hiyo.
 
When it is all over ,the civilized world would handover Russia to rightful owners ,the people of Russia. Russia siyo mali ya Putin na oligachs wachache.
 
Back
Top Bottom