The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Endelea kujiongopea wewe unayeota huku unatembea.utakuwa unaota wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujiongopea wewe unayeota huku unatembea.utakuwa unaota wewe
Yani wanaume wazima tena unakuta mishipa ya shingo inawatoka kumhimiza Mh.Mbowe asimamie msimamo wake wa kutete haki,hao hao njoo ukutane nao hapa kwa hizi mada,ni maoga utadhani siagi ndani ya flying pan yanavyonywea kwa uwoga.ndio maana ccm inatutwist itakavyo sababu wanajua tu waoga
Ndio maana walimwita Magufuli ni Yesu ili tu waishi, naye kwa kupenda sifa hakukemea matokeo yake akatwaliwa.Yani wanaume wazima tena unakuta mishipa ya shingo inawatoka kumhimiza Mh.Mbowe asimamie msimamo wake wa kutete haki,hao hao njoo ukutane nao hapa kwa hizi mada,ni maoga utadhani siagi ndani ya flying pan yanavyonywea kwa uwoga.
wanaume waoga utawajua tu 😂Iweni wapole kama njiwa ( ua ) na wajanja kama nyoka.. Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. alichotaka huyo rais ni ukikwaji wa mkataba.. simple angejifanya fala.. kuepusha maafa mda huo huo angekuwa anaangalia the best way ya kuwa salama
Atanyooshwa tuRaisi wa Ukraine anafaa kusaidiwa na kupongezwa, ni shujaa wa karne hii.
anajua fika mpinzani wake ana nguvu kumshinda lakini amekomaa na anahamasisha raia wake kwa nguvu zote.
m
nimemkubali sana.
Maisha ni mala moja na kifo ni mala moja.. wenye hekima husikiliza ndio hutenda bali wapumbavu hupayuka.. vita haijawai kuwa solution kwa anaonekana kashinda na anaeonekana kapotezawanaume waoga utawajua tu 😂
Na ndicho kinaenda kumkuta Russia.Nimependa sana hii, inafikia hatua mnaweka tofauti zenu za ndani pembeni, hamna cha sijui chama hiki au kile, au Simba/Yanga au serikali au upinzani, inakua muda wa kutetea bendera ya nchi, kutetea ardhi, kutetea watoto wenu, vizazi vijavyo visiandike historia mbovu kuwahusu nyie wa leo.
Kila mmoja chukua silaha, bibi, babu, shangazi, mjomba, vijana wote wa kike au kiume, jaza chupa za petroli, tupigane kwenye vitongoji vyote, milimani, mashambani, kwenye mitaroni, nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango, mahandakini, mapangoni aisei hadi raha......
Ndio kilimkuta Marekani kule Vietnam, wanajeshi wake walikufa hadi akakimbia maana ilifikia hatua ikawa hajui adui ni yupi.
Wanafiki hukimbiana wakati wa shidaatakusanya mpaka mama ntilie ,kichapo kinamhusu .umbea na ulafi wote wa kujipendekeza kwa marekani ,vinamtolea puani.halafu marekani ,katulia mbaliiii.
Kwa solidarity ya aina hii kufa kwa ajili ya taifa lako ni heshima kuu. Ni baraka kuliko tunazohubiriwa kwenye nyumba za ibada.Nimependa sana hii, inafikia hatua mnaweka tofauti zenu za ndani pembeni, hamna cha sijui chama hiki au kile, au Simba/Yanga au serikali au upinzani, inakua muda wa kutetea bendera ya nchi, kutetea ardhi, kutetea watoto wenu, vizazi vijavyo visiandike historia mbovu kuwahusu nyie wa leo.
Kila mmoja chukua silaha, bibi, babu, shangazi, mjomba, vijana wote wa kike au kiume, jaza chupa za petroli, tupigane kwenye vitongoji vyote, milimani, mashambani, kwenye mitaroni, nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango, mahandakini, mapangoni aisei hadi raha......
Ndio kilimkuta Marekani kule Vietnam, wanajeshi wake walikufa hadi akakimbia maana ilifikia hatua ikawa hajui adui ni yupi.
Jina lake limechapwa kwenye vitabu vya historia kama shujaa mpigania nchi yake; God bless him. Putin fashisti la karne ya 21.Huyu ni mwanaume wa shoka haswaa,hatishiki na mikwara yote ya Putini na ametoa upinzani wa kutosha kulingana na nguvu za anaepigana nae.
... huyu ni legend linapokuja suala la kutetea taifa dhidi ya mafashisti kind of Putin. Ndio maana halisi ya kufa kwa ajili ya nchi yako! Ametoa somo muhimu sana kwa kizazi hili.Spirit ya Rais wa Ukraine na Wananchi wake si ya kubezwa hata kidogo katika kulitetea Taifa lao,pamoja na vitisho vyote vya Putin lakini wamesimama Imara na hawaogopi hata kama wanajua adui yao kawazidi kwa kila kitu.
picha za wana jeshi wa Ukraine waliyo kufa zina fichwa!!
wachambuzi wa JF wandaki ndaki wa Ukraine pamoja na USA wanakuambia Russia anapumilia mashine.. hawana balance utafikiri wapo Ukraine kumbe wapo vyumbani mwao wana hara tu upupupicha za wana jeshi wa Ukraine waliyo kufa zina fichwa!!
Yaani wapo wana shusha na serengeti litewachambuzi wa JF wandaki ndaki wa Ukraine pamoja na USA wanakuambia Russia anapumilia mashine.. hawana balance utafikiri wapo Ukraine kumbe wapo vyumbani mwao wana hara tu upupu
Wanajua kuliko Putini, wana taarifa kuliko Russian intelligence 😃😃😃Yaani wapo wana shusha na serengeti lite
Na wana hukumu wana wamevurugwaWanajua kuliko Putini, wana taarifa kuliko Russian intelligence 😃😃😃