Putin hawezi kutuangusha.Doooh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin hawezi kutuangusha.Doooh
Mbona wapo huko Uikrane na nchi inazidi kumegwa tu.Ajichanganye amguse Mpoland Tu hapo aone anavyonyooshwa kuna nchi Europe zinauwezo wakuigeuza Russia kuwa desert bila hata kutumia umoja WA NaTo forces
Mkoa mzima unakomboa kijiji halafu unashangilia? Hivi MK254 hili wenge ulilo nalo ni la kuzaliwa nalo au umelipata ukubwani?
Tena unaweza kukuta hicho kijiji kilikuwepokuwepo tu huko mbali kabisa na hakikukaliwa na RussiaMkoa mzima unakomboa kijiji halafu unashangilia? Hivi MK254 hili wenge ulilo nalo ni la kuzaliwa nalo au umelipata ukubwani?
Dogo vipi dogo haha Mbona unanitaja niko busy na Majukumu ya kimataifa?Tulia weweee britanicca
Hahaha nimecheka balaa. Una vituko Sana.Dogo vipi dogo haha Mbona unanitaja niko busy na Majukumu ya kimataifa?
Jinga sana lile fala...Hahahaha aiseee humu ndani kuna vituko eti Shoga la kirusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]