Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow.

Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas.

Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto.

Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin!

Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.
 
Mmarekani hatarii. Yani hapa ni kama remote anamtumia Ukraine. Hata ile manowari ya Urusi iliyolipuliwa na kuzama ilikuwa ni mmarekani kumuelekeza mukraine kwasabab kabla ya kula mzinga ndege ya kipepelezi ya Marekani ilionekana maeneo hayo.

Pia Putin ameanza kulialia eti uingereza imepeleka SAS special force Ukraine kuwapa mafunzo defenders
 
Kwani si alisema taifa lolote litakaloingilia vita hii watapigwa? Sasa shida iko wapi?
 
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow...
Na Bado huu ni mwanzo tu hadi Putin atolewe madarakani ndipo hii vita itaisha.Sasa hivi Ukurein anachokifanya ni kumtoa kwanza Rusia ndani ya mipaka yake halafu ndipo kipondo kianze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom