Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Subili ndani ya mwezi mmoja ndo utajua Rusia ni dhaifu Sana ,kama alivoibomoa Ukureine na yeye mini yake itawaka moto muda sio mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi Congo wewe Ukraine imesha poteza hakuna anayeweza weza isaidia
wana saidiwa silaha wanaume wana zote katika na kuwapiga nazo
20220422_225502.jpg
20220422_225512.jpg
 
endelea kuota Ukraine imesha poteza haina njia ya majini tena ata anga nalo lita fungwa siku sio nyingi iyo ni phase 2 sasa subiria ya 3 ndio uta juwa Urusi sio Marekani wala CongoView attachment 2201265
Usipotoshe watu kijana. Mpaka Sasa,Bandari ya Odesa bado ipo Chini ya udhibiti wa Jeshi la Ukraine. Jana ndio Urusi imeanza kurusha Makombora kwenye mji wa Odesa na Meli kadhaa za Nafaka kutoka Ukraine kwenda Uturuki zilisitisha safari zake baada ya Mabomu hayo.

Tofauti na Bandari zingine za Ukraine ambazo zipo karibu na Ardhi ya Urusi au Cremia,Bandari ya Odesa ipo karibu na Mpaka wa Poland (45Km),Kwahiyo Urusi hataweza Kuvamia kupitia Ardhini Bali atahitajika kutumia Meli any Nyambizi. Mashambulizi ya Juzi ya Urusi kwenye Bandari ya ODESA yalifanywa na Nyambizi iliyoko Black Sea.

Inaonekana hufuatilii habari,badala yake unatembea na hako ka-Ramani TU. Pole Sana.
 
Kwahiyo una maana gani unaposema ameshashinda kwa 100% halafu unasema nisubiri phase 3? Huoni kwamba wewe mwenyewe unajichanganya? Je wewe unazielewa kauli zako hizo mbili? Zinaoana?
 
Kwahiyo una maana gani unaposema ameshashinda kwa 100% halafu unasema nisubiri phase 3? Huoni kwamba wewe mwenyewe unajichanganya? Je wewe unazielewa kauli zako hizo mbili? Zinaoana?
Natamani sana kuwaona Hawa pro Russia kwa Macho, 😂😂😂😂

These guys are very interesting
 
Hawana ubavu huo na hawawezi kuthubutu. Peleka habari zako za uongo
 
Usipotoshe watu kijana. Mpaka Sasa,Bandari ya Odesa bado ipo Chini ya udhibiti wa Jeshi la Ukraine. Jana ndio Urusi imeanza kurusha Makombora kwenye mji wa Odesa na Meli kadhaa za Nafaka kutoka Ukraine kwenda Uturuki zilisitisha safari zake baada ya Mabomu hayo.

Tofauti na Bandari zingine za Ukraine ambazo zipo karibu na Ardhi ya Urusi au Cremia,Bandari ya Odesa ipo karibu na Mpaka wa Poland (45Km),Kwahiyo Urusi hataweza Kuvamia kupitia Ardhini Bali atahitajika kutumia Meli any Nyambizi. Mashambulizi ya Juzi ya Urusi kwenye Bandari ya ODESA yalifanywa na Nyambizi iliyoko Black Sea.

Inaonekana hufuatilii habari,badala yake unatembea na hako ka-Ramani TU. Pole Sana.
😂😂😂 wana kula kichapo kitakatifu huko tulia wewe
 
Attachments

  • VID_20220427_140041_017.mp4
    29.4 MB
Dah eti 100%! Hapo unamaanisha vita imekwisha kabisa, lakini unayemshabikia bado anasota kwenye uwanja wa vita, na vijana wake wanapoteza maisha.

Waswahili tukijishibia zetu mihogo tuna ushabiki maandazi sana!
Anayemtetea mpaka sasa anatishia nuclear kumaliza vita.
 
Waziri wa ulinz uingereza kamjib hizo ni kelele na leo amemuingezea silaha Zaid Ukraine
Sijui putin amewapa nini vijana wa Tz hata kujitoa ufahamu hivi, putin alisema yeyote atakayeisaidia ukraine, moja kwa moja atakutana na mkono wa russia.

Sasa tazama mataifa mangapi wanaisaidia ukraine na putin amewafanya nini.
 
Nchi yao inebaki magofu na vifusi lakini hawajatia akili
Kwa hiyo vifaru,magari,helkopta,meli,ndege zilizodunguliwa unaona hasara yake ni ndogo, we bwashee unajua bei ya kifaru kimoja ,au helkopta moja,
 
Warusi wa buza njooni huku, Ze komedi kawachapa tena kwenye mshono
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom