Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Nikwambie tu Vita ikapoisha Ukraine wataijenga Nchi yao, wakati sisi na wewe tuko pale pale, na kwa taarifa yako licha ya Vita Ukraine umeme, Internet, Maji na Hospitali bado wana huduma nzuri kuliko 90% ya nchi za Africa
Haya maneno unamwambia nani sasa? Mama au?
 
Vita hivi ni vya kisayansi zaidi!

Putin anapigwa kwanza za goti, wakimchosha za goti wataingia za kiunoni na kisha watamalizana naye Kwa kukong'ota kichwa baasii
Wakimfikia Putin kiunoni wataishia kumwagiwa manii na mimba zinawahusu nadhani hata wewe utakumbwa na kichefuchefu cha Pseudopregnancy ya Putin
 
Tena limefungwa kwa ile mitambo ya S300 sijui S400 ambazo hata huo mchele hauwezi kukwepa hiyo Radar.

Tukumbuke pia hata ile meli ya Moskva iliyoteremshwa chini na Ukraine, ilikuwa na S300 defence system.
Yale machuma hayana msaada wowote! Yalisha prove failure kule Syria na sasa hivi Ukraine anajipigia tu Russia anavyotaka. Hamna wa kumzuia
 
Wakimfikia Putin kiunoni wataishia kumwagiwa manii na mimba zinawahusu nadhani hata wewe utakumbwa na kichefuchefu cha Pseudopregnancy ya Putin
Umejuaje yote hayo? Umeshawahi kubebeshwa hiyo mimba na huyo putin?
 
Ndo nimejua propaganda sio nzuri... Russia waliiaminisha Dunia wao ni wababe sana na. Wajuvi mno... naona wahuni wameamua kuwachokonoa sasa wanabaki kutafuta mchawi badala wamalize vita kututhibitishia ubora wao watembeze kichapo tu kuendelea kuongea ongea kunadhirisha ufala wao tu
 
Tukijibu hili shambulio tusisikie Putin ni butcher
 
Ni wapi Ukraine wenyewe wamekiri Hilo shambulio?
Au wewe ndio umethibitisha Ukraine ndo wameshambulia
Kuna taarifa zinakinzana ila ukraine inadaiwa kuhusika, unajua vita ina involve vitu kama counter strategies, ukiwa invaders unapaswa kuwa secured maana huwezi kukwepa retaliation. Pia espionage ni njia ya kupika propaganda kama kuonesha kuwa Russia pia haiko Salama. I feel pity kwa vijana wa Russia wanaokufa kwenye hii operation haina picha nzuri licha ya kuwa na military supremacy au mshabiki wa putini unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…