Urusi Congo wewe Ukraine imesha poteza hakuna anayeweza weza isaidiaSubili ndani ya mwezi mmoja ndo utajua Rusia ni dhaifu Sana ,kama alivoibomoa Ukureine na yeye mini yake itawaka moto muda sio mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa ulinz uingereza kamjib hizo ni kelele na leo amemuingezea silaha Zaid UkraineKwa jinsi wa Ukr wanavyopewa silaha , Russia ajiandae kisaikolojia ππ
Kaanza kuleta vitisho vya kipuuzi kama N Korea as if wengine hawana nukes
View attachment 2200884
View attachment 2200885
Usipotoshe watu kijana. Mpaka Sasa,Bandari ya Odesa bado ipo Chini ya udhibiti wa Jeshi la Ukraine. Jana ndio Urusi imeanza kurusha Makombora kwenye mji wa Odesa na Meli kadhaa za Nafaka kutoka Ukraine kwenda Uturuki zilisitisha safari zake baada ya Mabomu hayo.endelea kuota Ukraine imesha poteza haina njia ya majini tena ata anga nalo lita fungwa siku sio nyingi iyo ni phase 2 sasa subiria ya 3 ndio uta juwa Urusi sio Marekani wala CongoView attachment 2201265
Kwahiyo una maana gani unaposema ameshashinda kwa 100% halafu unasema nisubiri phase 3? Huoni kwamba wewe mwenyewe unajichanganya? Je wewe unazielewa kauli zako hizo mbili? Zinaoana?endelea kuota Ukraine imesha poteza haina njia ya majini tena ata anga nalo lita fungwa siku sio nyingi iyo ni phase 2 sasa subiria ya 3 ndio uta juwa Urusi sio Marekani wala CongoView attachment 2201265
Natamani sana kuwaona Hawa pro Russia kwa Macho, ππππKwahiyo una maana gani unaposema ameshashinda kwa 100% halafu unasema nisubiri phase 3? Huoni kwamba wewe mwenyewe unajichanganya? Je wewe unazielewa kauli zako hizo mbili? Zinaoana?
Hiyo ndiyo inaitwa Electronic Warfare. Sisi bado tunabeba SMG/SAR.Mbona tuliambiwa anga la Urusi limefungwa na hata punje ya mchele haikwepi rada za Urusi
πππ wana kula kichapo kitakatifu huko tulia weweUsipotoshe watu kijana. Mpaka Sasa,Bandari ya Odesa bado ipo Chini ya udhibiti wa Jeshi la Ukraine. Jana ndio Urusi imeanza kurusha Makombora kwenye mji wa Odesa na Meli kadhaa za Nafaka kutoka Ukraine kwenda Uturuki zilisitisha safari zake baada ya Mabomu hayo.
Tofauti na Bandari zingine za Ukraine ambazo zipo karibu na Ardhi ya Urusi au Cremia,Bandari ya Odesa ipo karibu na Mpaka wa Poland (45Km),Kwahiyo Urusi hataweza Kuvamia kupitia Ardhini Bali atahitajika kutumia Meli any Nyambizi. Mashambulizi ya Juzi ya Urusi kwenye Bandari ya ODESA yalifanywa na Nyambizi iliyoko Black Sea.
Inaonekana hufuatilii habari,badala yake unatembea na hako ka-Ramani TU. Pole Sana.
Tena watu waliiweka chini kizembe tu. Russia majigambo ni mengi mno.Moskova ilikuwa ina ulinzi Europe nzima ilikuwa inaogopa na imezamishwa
Aaaah Thubutuuuuu!!!Kilichobai ni putin kuchukua hatua stahiki za kuchoma hako kanchi na Nuclear.
One Nuclear Warhead anafuta mji mmoja wa ukraine alafu heshima inarudi.
Anayemtetea mpaka sasa anatishia nuclear kumaliza vita.Dah eti 100%! Hapo unamaanisha vita imekwisha kabisa, lakini unayemshabikia bado anasota kwenye uwanja wa vita, na vijana wake wanapoteza maisha.
Waswahili tukijishibia zetu mihogo tuna ushabiki maandazi sana!
Sijui putin amewapa nini vijana wa Tz hata kujitoa ufahamu hivi, putin alisema yeyote atakayeisaidia ukraine, moja kwa moja atakutana na mkono wa russia.Waziri wa ulinz uingereza kamjib hizo ni kelele na leo amemuingezea silaha Zaid Ukraine
Ni kweli kabisa, hata ile meli namba 1 kwa ubora ya russia haikuzamishwa, ni uongo tu.Hawana ubavu huo na hawawezi kuthubutu. Peleka habari zako za uongo
Kuna meli no 1 ilizamishwa? Unajua manowari no 1 ya Russia wewe?Ni kweli kabisa, hata ile meli namba 1 kwa ubora ya russia haikuzamishwa, ni uongo tu.
Sio wa buza Hao ni Warusi wa kinondoni, Moscow π€Warusi wa buza njooni huku, Ze komedi kawachapa tena kwenye mshono
Kwa hiyo vifaru,magari,helkopta,meli,ndege zilizodunguliwa unaona hasara yake ni ndogo, we bwashee unajua bei ya kifaru kimoja ,au helkopta moja,Nchi yao inebaki magofu na vifusi lakini hawajatia akili
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πWarusi wa buza njooni huku, Ze komedi kawachapa tena kwenye mshono