Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

U
Eee Bwana !!!! Unajipamba kwa jina tukufu la Einstein, unajifanya kama unataka kutufundisha juu ya Urusi na Ukraine - NA UNASHINDWA KUONYESHA ODESA KWENYE RAMANI ???? Odesa si sehemu ya buluu, iko kwenye alama nyekundu.
Hata hujui ni mji wa bandari na wewe unaichora barani???
View attachment 2304913
Najua kusoma ramani? Kwani Google picha ipo moja tu acha upo hiyo miji yenye yangi nyekundu ipo Russia? Unaanza kunipa wasiwasi na uelewa wako
 
Attachments

  • Screenshot_20220726-205226_Chrome.jpg
    Screenshot_20220726-205226_Chrome.jpg
    241.1 KB · Views: 4
U

Najua kusoma ramani? Kwani Google picha ipo moja tu acha upo hiyo miji yenye yangi nyekundu ipo Russia? Unaanza kunipa wasiwasi na uelewa wako
Jamani kweli hujui kusoma ramani, wala hujui Odesa iko wapi. Duh!
 
Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine.

Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo pamoja na gari la komandi,tukio limetokea huko Zelenotropynske.

Tetesi zinasema Makombora ya HIMARS yamehusika kwenye shambulio Hilo.

Ukraine destroys Russian battery of S-300 air defense systems: Military

=========

The Ukrainian military released a new video on Sunday, claiming that it shows the destruction of a battery of Russian anti-air defenses in Southern Ukraine.

The video was first shared by the Ukrainian military's Operational Command South formation on its official Facebook page. The video appears to show numerous burnt-out and smoking wreckages, including one near the beginning that resembles a truck of some kind. The post claimed that the targets were a battery of S-300 surface-to-air missile systems operated by Russian forces.

"While performing firing missions, our missile and artillery units destroyed a battery of S-300 air defense systems near Zelenotropynske," the post stated.

Zelenotropynske is located in Ukraine's Kherson Oblast, one of the southernmost regions in the country. The region is located just north of the Crimean peninsula, which Russia annexed from Ukraine in 2014. It was also reported on Sunday by Euromaiden Press that seven "port and industry infrastructure" targets had been struck by S-300 missiles near Mykolaiv, a port city located less than 200 kilometers north of Zelenotropynske. It is unknown if the S-300 systems destroyed on Sunday were responsible for these strikes, but it is unlikely given their dated nature.

russia s-300 missiles destroyed

Ukrainian military sources on Sunday claimed to have destroyed a battery of Russian anti-aircraft weapons. Above, a shot of S-300 systems during a Russian military parade. Host photo agency/RIA Novosti via Getty Image

The S-300 anti-air missile systems are Soviet-era military technology introduced roughly 40 years ago, with a targeting range of only 75 miles. Earlier in July, it was reported that Russian forces were becoming increasingly reliant on such old hardware as modern munitions have been depleted by the protracted conflict in Ukraine. Six strikes in Mykolaiv were attributed to S-300 missiles over the first weekend of July.

Around the same time, it was reported that Russia was also increasingly reliant on Kh-32 missiles, which were originally designed to sink ships. Versions of the Kh-32 missiles were credited for strikes on a Kremenchuk shopping center that killed 18 people and an Odessa apartment complex that killed 20 in June.

Despite the original intentions of these weapons, with their stockpiles dwindling Russian forces have been forced to rely on S-300s and Kh-32s to strike land targets. In order to do so, they have been outfitted with GPS systems that allow them to be roughly directed at military targets.

"The Soviet Union built up vast stocks of munitions for its chosen weapon systems and the S-300 has been replaced by a new, more advance [surface-to-air] system. There will be a lot of S-300 missiles in the Russian inventory," a Western intelligence report recently explained. "It would make sense from the Kremlin's perspective to retro-fit the S-300s with a GPS capability and redeploy them in a different role. But the problem is that at the end of the day they remain second-rate precision strike weapons and more innocent people will die as a result."

S-300? Labda anasafisha ghala tu. Mrusi sasa anafikiria S-500 tena with various version. Pia Version za S-400 kuanzia hiyo hadi matoleo yake mengine!
 
Russia inasema ni Operation imekuwa vita tena,
Na ndio jamaa kaitisha kikao kuzijali hizo HIMARS, jinsi ya kuzikomesha hapo ili kuzikomesha lazima wajue zimetengenezwa kwa Teknolojia ipi watafute weak point wakisha ipata mchezo umeisha wa HIMARS,
Hapo ukraine analetewa mzigo mwingine nao Russia anasumbuka nao akija kuutatua kaumia,
Wanaleta tena mwingine maana nchi kubwa zekuwa zikitengeneza siraha sasa muda wa kutest umefika naamini baada ya hii vita kuna nchi itapiga faida kubwa.
Operesheni inachukua muda kuliandika,tunarahisisha tu na kuiita vita,hata wewe pia umeiita vita,hahahahaha ila Putin piga Gaykraine hao
Z
 
Mkuu, mimi si mtume wala nabii lakini mambo yanavyo kwenda huko Ukraine Zelensky havuki December akiwa madarakani na akig'ang'ania marafiki zake ambao amewatoa mkuku madarakani hao ndio watamfanyia watamshughurikia fasta possibly wakishirikiana na Urusi - silaha ambazo mataifa ya magharibi wanamrudilia Zelensky hazitamsaidia chochote zaidi ya kuongeza mateso na vifo vya Waukraine na kuharibiwa kwa Taifa lao, Zelensky hasiwe mbishi, apunguze ujeuri na kiburi, akubali kukaa meza moja na Putin ili wamalize tufauti zao na kusitisha vita hasiwasikilize washauri wake NATO hao wanampoteza - kama nilivyo sema tangu mwanzo uwezekano wa jeshi lake kushinda vita ni mdogo sana.
Akaechini ili iweje???? Never give up.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Russia hafanyagi maonyesho ye ni vitendo anayehangaika na movies za Hollywood ni huyo msanii wenu.

Ushawahi kuona Russia akipost picha ama video ya matukio yake, west medias ndio hupost
Basi Ukraine wamekanusha hamna kilicho haribiwa.Sasa kama hafanyi maonyesho na yale magwalide? Ushawahi ona U.S anafanya gwalide?
 
Ushawahi ona U.S anafanya gwalide?
Tunazungumzia vitani mbona kama unahamaa mada?
Kuna nchi yoyote iliyowahi kukiri kupigwa silaha zake kati ya hizi mbili?
kinachodetermine nani anazidiwa ni kuona nani anasonga mbele
 
Putin alaaniwe kwa mauaji na kuwa sehemu ya kusababisha njaa kwa watu wengi maskini katika dunia ya ulimwengu wa tatu.
 
Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine.

Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo pamoja na gari la komandi,tukio limetokea huko Zelenotropynske.

Tetesi zinasema Makombora ya HIMARS yamehusika kwenye shambulio Hilo.

Ukraine destroys Russian battery of S-300 air defense systems: Military

=========

The Ukrainian military released a new video on Sunday, claiming that it shows the destruction of a battery of Russian anti-air defenses in Southern Ukraine.

The video was first shared by the Ukrainian military's Operational Command South formation on its official Facebook page. The video appears to show numerous burnt-out and smoking wreckages, including one near the beginning that resembles a truck of some kind. The post claimed that the targets were a battery of S-300 surface-to-air missile systems operated by Russian forces.

"While performing firing missions, our missile and artillery units destroyed a battery of S-300 air defense systems near Zelenotropynske," the post stated.

Zelenotropynske is located in Ukraine's Kherson Oblast, one of the southernmost regions in the country. The region is located just north of the Crimean peninsula, which Russia annexed from Ukraine in 2014. It was also reported on Sunday by Euromaiden Press that seven "port and industry infrastructure" targets had been struck by S-300 missiles near Mykolaiv, a port city located less than 200 kilometers north of Zelenotropynske. It is unknown if the S-300 systems destroyed on Sunday were responsible for these strikes, but it is unlikely given their dated nature.

russia s-300 missiles destroyed

Ukrainian military sources on Sunday claimed to have destroyed a battery of Russian anti-aircraft weapons. Above, a shot of S-300 systems during a Russian military parade. Host photo agency/RIA Novosti via Getty Image

The S-300 anti-air missile systems are Soviet-era military technology introduced roughly 40 years ago, with a targeting range of only 75 miles. Earlier in July, it was reported that Russian forces were becoming increasingly reliant on such old hardware as modern munitions have been depleted by the protracted conflict in Ukraine. Six strikes in Mykolaiv were attributed to S-300 missiles over the first weekend of July.

Around the same time, it was reported that Russia was also increasingly reliant on Kh-32 missiles, which were originally designed to sink ships. Versions of the Kh-32 missiles were credited for strikes on a Kremenchuk shopping center that killed 18 people and an Odessa apartment complex that killed 20 in June.

Despite the original intentions of these weapons, with their stockpiles dwindling Russian forces have been forced to rely on S-300s and Kh-32s to strike land targets. In order to do so, they have been outfitted with GPS systems that allow them to be roughly directed at military targets.

"The Soviet Union built up vast stocks of munitions for its chosen weapon systems and the S-300 has been replaced by a new, more advance [surface-to-air] system. There will be a lot of S-300 missiles in the Russian inventory," a Western intelligence report recently explained. "It would make sense from the Kremlin's perspective to retro-fit the S-300s with a GPS capability and redeploy them in a different role. But the problem is that at the end of the day they remain second-rate precision strike weapons and more innocent people will die as a result."
Niliwahi kusema na narudia hakuna takataka yeyote ya kuzuia bomu likirushwa..
 
Well said, na nyingi za video clips za jeshi la Ukraine ni za kugushi tu, computer generated graphics /imagery (C.G.I) ni watu wachache wanao litambua hilo - kwa watu ambao hawana taaluma za masuala haya - yaani muonekano wa picha na video huko so convincing lakini ukiangalia kwa umakini sana sana background ya clips ndio utagunduwa kuwa images hizo ni za kugushi, cha ajabu watu wengi wanakuwa taken in so easily na usanii huu!!

Mfano mmoja wa kuonyesha usanii wa jeshi la Zelensky, ni huu hapa: Siku za nyuma kuna video clip moja iliwahi kusambazwa mitandaoni na jeshi la Ukraine zikionyesha chopper gunship ya Urusi aina ya alligator Ka-xx eti ikitunguliwa kwa manpad type Javelin - ukicheki chopper inaonekana kutoa moshi mweupe sana kabla haijapigwa baadae manpad inafyatuliwa nayo inatoa moshi mweupe unao fanana na moshi unaotoka kwenye chopper kabla haijapigwa, hii wapi na wapi - yaani moshi wa helicopter na moshi WA Javelin manpad ufanane kabla ya impact-what a coincident!! Watu usema njia ya muongo ni fupi sana,nilipo liguduwa hilo nika-cheki background ie aridhi na vegetation vinaonekana wazi wazi ni too artificial sio real hata kidogo - sina shaka kuna baadhi ya wataalamu waliguduwa uongo huo lakini kwa kuwa ni mashabeki wa Ukraine na Zelensky basi wanajifanya kumezea tu yaani kujifanya vipofu, wana kukaa kimya bila ya kulizungumzia hilo.

Hata madai haya ya Ukraine ya kudai eti: imefanikiwa kuharibu S-300 air defense system kwa kutumia HIMARS angalieni kwanza source ya taarifa hizo, sidhani kama hiyo ni kweli hata kidogo lengo la madai hayo hasa ni kutaka kutangaza biashara za silaha za magharibi na kuiharibia sifa silaha za Urusi - ndio walivyo, ubinafsi na uchoyo - NATO/US wamekwisha tambuwa kwamba uwezekano wa Zelensky kushinda hii Vita haupo kabisa licha ya kupatiwa misaada ya silaha kutoka magharibi pamoja na wanajeshi wa kukodi pamoja na washauri wa kijeshi kutoka Merikani na Uingereza lakini bado jeshi la Ukraine linapata wakati mgumu sana kwenye vita hii ya kushikizwa na watawala wa Merikani kutokana na maslahi yao binafsi.

Kwa bahati mbaya Zelensky hajitambui kwamba anatumiwa na the US/Biden kama tool ya ku-support highly questionable foreign policy za Uncle SAM. Actually habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika zinasema kwamba utawala wa Zelensky au Zelensky mwenyewe ataondolewa madarakani na washirika wake ambao ameanza kuvurugana nao kwa kuwaondoa madarakani unceremoniously hivi karibuni au atatolewa pumzi na wafadhili wake wakubwa wanao muona ameanza kuwa liability kwao badala ya kuwa asset, alternatively Urusi inaweza kushirikiana na Viongozi wa Ukraine walio timuliwa kazi/madarakani na Zelensky hivi karibuni hao watatumika kaunda Serikali mpya pale Kiev - sikilizeni kauli mpya ya Lavlov, imekwisha anza badirika linapo kuja suala la hatma ya Ukraine, hivi sasa Lavlov unazungumzia "regime change" sio tena special military operation!! Kwa nini?? Bila shaka kuna kitu kinasukwa dhidi ya Zelensky na washauri wake wa karibu. Mambo yanavyo onekana/elekea uwezekano wa Uogozi wa Zelensky kufika Desemba ni mdogo sana - my opinion.

Unaumia kutokea wapi?
 
Back
Top Bottom