EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hapana hapo town kabisa ya Namtumbo ndanindani hukoooYouTube ya Kibiti pwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hapo town kabisa ya Namtumbo ndanindani hukoooYouTube ya Kibiti pwani
Alafu nyinyi wanawake mnafunga kanga na kukatikia ngoma mkiwa uwanja wa vita wa jamii forumCheki wanaume kazini haoView attachment 2303463
Uzuri wanakufa wazungu sio mbaya kama tulivyozoea kule Afghanistan na Africa. Wacha wafe tuuu. Wapige nyuklia na wenyewe wapigwe iwe patashika nguo kuchanika. Minyuklia ya G7 yote imeelekezwa Russia apo Ndio kinachomuwazisha yeye mwenyewe anaogopa kufawiki hii kitu kizito kutumika
Najua huna bando kesho nikumbushe nikupe password za wiFi ya pale JNCC karibu na IFM🤓🤓YouTube ya Kibiti pwani
Nenda pale feri kwy soko la samaki ukawadanganye wahuni kwy kahawa wasiokuwa na internet.Najua huna bando kesho nikumbushe nikupe password za wiFi ya pale JNCC karibu na IFM[emoji851][emoji851]
Acha makasiriko hela ninazo japo bado nazitafuta ndio maana nimeacha kila kitu Dar nazisaka hapa Dodoma tena baada ya kazi now nagonga mvinyo bar flan amazing ina mziki wa kistaarabuNenda pale feri kwy soko la samaki ukawadanganye wahuni kwy kahawa wasiokuwa na internet.
Tafuta hela usikae kusifia sifia watu
Siwelewi kwa nini unataja Odesa? Inashikwa na Ukraine hakuna anayedai imetekwa. Donbas inajulikana nusu ya Donetsk (bado) mkononi mwa Ukraine, mengine imetekwa na Urusi (kwa sasa). Unalenga nini?Bado unazungumzia Mariupol hadi unajisahaulisha miji mingapi ukijuisha Odesa na Donbas 😂😂😂 kuna miji mi3 zaidi naisahau we kagugo acha kujiariri mzeebaba
Unakumbuka Huawei ilipoishia kibihashara na ulikuwa unashupaza shingo apa mtandaoni. Unakumbuka G5 yako ulivyokuwa unaitetea leo kiko wapi?. Dunia inaishi maisha ya kutegemea G7 na sio awo wasoshalisti wako.Acha makasiriko hela ninazo japo bado nazitafuta ndio maana nimeacha kila kitu Dar nazisaka hapa Dodoma tena baada ya kazi now nagonga mvinyo bar flan amazing ina mziki wa kistaarabu
Odesa ipo hapo kwenye Dot ya Blue ishaliwa nusuSiwelewi kwa nini unataja Odesa? Inashikwa na Ukraine hakuna anayedai imetekwa. Donbas inajulikana nusu ya Donetsk (bado) mkononi mwa Ukraine, mengine imetekwa na Urusi (kwa sasa). Unalenga nini?
HAdithi za Abunuwasi zinasimuliwa zaidi na watu wa Putin: kutofukuzwa Kyiv, kushinda Charkiv (hadi kurudi Urusi penyewe...) na ule mlipuko kwenye manowari Moskva ambao hauna uhusiano wowote na roketi kutoka Ukraine....
Kwani Huawei imekufa🤭🤭🤭Unakumbuka Huawei ilipoishia kibihashara na ulikuwa unashupaza shingo apa mtandaoni. Unakumbuka G5 yako ulivyokuwa unaitetea leo kiko wapi?. Dunia inaishi maisha ya kutegemea G7 na sio awo wasoshalisti wako.
Chanjo zote za pepopunda, ndui na madawa yote ni kwa hisani ya G7 na marekani kilanja unalijua ilo na unajua kwy izo chanjo waliweka nini wakitaka kuwaua wanafanyaje
Tafuta pesa hacha kukaaa kwy dunia ya kisoshalisti ya kipuuuzi
Ndio maana tutataka hawa wanyonyaji waondoleweUnakumbuka Huawei ilipoishia kibihashara na ulikuwa unashupaza shingo apa mtandaoni. Unakumbuka G5 yako ulivyokuwa unaitetea leo kiko wapi?. Dunia inaishi maisha ya kutegemea G7 na sio awo wasoshalisti wako.
Chanjo zote za pepopunda, ndui na madawa yote ni kwa hisani ya G7 na marekani kilanja unalijua ilo na unajua kwy izo chanjo waliweka nini wakitaka kuwaua wanafanyaje
Tafuta pesa hacha kukaaa kwy dunia ya kisoshalisti ya kipuuuzi
Mkuu, mimi si mtume wala nabii lakini mambo yanavyo kwenda huko Ukraine Zelensky havuki December akiwa madarakani na akig'ang'ania marafiki zake ambao amewatoa mkuku madarakani hao ndio watamfanyia watamshughurikia fasta possibly wakishirikiana na Urusi - silaha ambazo mataifa ya magharibi wanamrudilia Zelensky hazitamsaidia chochote zaidi ya kuongeza mateso na vifo vya Waukraine na kuharibiwa kwa Taifa lao, Zelensky hasiwe mbishi, apunguze ujeuri na kiburi, akubali kukaa meza moja na Putin ili wamalize tufauti zao na kusitisha vita hasiwasikilize washauri wake NATO hao wanampoteza - kama nilivyo sema tangu mwanzo uwezekano wa jeshi lake kushinda vita ni mdogo sana.Russia atamtoa na Hanna la kufanyz
Namwamini mwenye evidence?! Vipi wana evidence au wanaropokwa tuHapa u.amwamini nani na wapi kasema hajapiga hizo HIMARS kwenye hii article
Odessa ipo chini ya UkraineOdesa ipo hapo kwenye Dot ya Blue ishaliwa nusu
UGLEGORSK POWER PLANT ishakwenda na maji,kipindi nyie mnasubiri counteroffensiveNdo maana wanashambulia Kwanza logistics za jeshi ili iwe ngumu kusupply Kwa troops then ndo counteroffensive ianze. Haya mambo sio kama kwenye video game mkuu.
Wewe jiulize kwanini huyo Mrusi hajaenda Kwa Ile Kasi alokua anaenda nayo ya kuchukua miji tangu HIMARS zianze kufanya kazi ya kulipua maghala ya silaha.
Eee Bwana !!!! Unajipamba kwa jina tukufu la Einstein, unajifanya kama unataka kutufundisha juu ya Urusi na Ukraine - NA UNASHINDWA KUONYESHA ODESA KWENYE RAMANI ???? Odesa si sehemu ya buluu, iko kwenye alama nyekundu.Odesa ipo hapo kwenye Dot ya Blue ishaliwa nusu
Hii ndo kazi za WARUSI.izo HIMARS ni mbwembwe tu.toka HIMARS zije hata mita 10 za eneo hawajawai kuchukuaKazi ya HIMARS
Wanasonga au hawasongi mbele?Namwamini mwenye evidence?! Vipi wana evidence au wanaropokwa tu