Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

Kwenye hii vita wote wanafanya maonyesho ili kuboost morale kwa wapiganaji wao.

Siku warusi wakiziotea hizo HIMARS na kuziharibu hata moja tu watatoa mapicha picha na video kibao,kwahiyo hata usijali Mkuu ngoja tungoje siku wakiziotea Ila hii ya Jana wametupiga (fake news)
Nimekuwekea mashirika mangapi ya habari yaliyoripoti hii habari, kama hutaki kuamini fresh
 
Dw pia huwaamini?
Juzijuzi hapa Ukraine wameharibu "Podlet K1 Radar' hii ni radar ya kisasa kabisa ya Urusi ambayo inatumiwa na S-400 missile systems. Kwahiyo Kama radar imeharibiwa inamaanisha hata hizo launchers za S-400 zingekuepo eneo hilo nazo zingeharibiwa.

Na kwa hali ilivyo sasa Urusi hawezi kupeleka S-400 ndani ya maeneo aliyoyateka maana anaogopa zikishambuliwa na Ukraine itakua ni aibu kwao pia itasababisha zikose soko

Russia's most advanced Podlet-K1 air defence radar destroyed by Ukraine inside Russian territory - Defence View
294604463_2885238035115431_6991136433357278165_n-1068x632.jpg
3248a37646deee213be0e62e85fb7099.jpg
 
Nimekuwekea mashirika mangapi ya habari yaliyoripoti hii habari, kama hutaki kuamini fresh
Habari gani tena Mkuu!!!,Kama ni ya shambulizi lililofanyika Odessa ni kweli wamerusha Makombora huko ya kutosha lakini kwenye kuziharibu hizo HIMARS ndo hakuna evidence kama unayo tuwekee
 
Habari gani tena Mkuu!!!,Kama ni ya shambulizi lililofanyika Odessa ni kweli wamerusha Makombora huko ya kutosha lakini kwenye kuziharibu hizo HIMARS ndo hakuna evidence kama unayo tuwekee
Naona umeamua kushupaza shingo tu 🤣🤣🤣🤣 unataka video au

Just Google "Russia war updates"
 
Attachments

  • Screenshot_20220725-110815_Chrome.jpg
    Screenshot_20220725-110815_Chrome.jpg
    191.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220725-111437_Chrome.jpg
    Screenshot_20220725-111437_Chrome.jpg
    255.9 KB · Views: 6
Juzijuzi hapa Ukraine wameharibu "Podlet K1 Radar' hii ni radar ya kisasa kabisa ya Urusi ambayo inatumiwa na S-400 missile systems. Kwahiyo Kama radar imeharibiwa inamaanisha hata hizo launchers za S-400 zingekuepo eneo hilo nazo zingeharibiwa.

Na kwa hali ilivyo sasa Urusi hawezi kupeleka S-400 ndani ya maeneo aliyoyateka maana anaogopa zikishambuliwa na Ukraine itakua ni aibu kwao pia itasababisha zikose soko

Russia's most advanced Podlet-K1 air defence radar destroyed by Ukraine inside Russian territory - Defence ViewView attachment 2303153View attachment 2303154
Piga Putin kabisa jambazi la dunia
 
Back
Top Bottom