ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Sasa amejifariji vipi na wewe umeafanya vipi?Endelea kujifariji una chanzo kingine cha taarifa yako [emoji851][emoji851]
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa amejifariji vipi na wewe umeafanya vipi?Endelea kujifariji una chanzo kingine cha taarifa yako [emoji851][emoji851]
Wakiharibu wanaonesha.Russia hafanyagi maonyesho ye ni vitendo anayehangaika na movies za Hollywood ni huyo msanii wenu.
Ushawahi kuona Russia akipost picha ama video ya matukio yake, west medias ndio hupost
Kwani tayar mtanange umeisha au unataka waingie tu kichwachichwa.Sasa wanashindwa vipi kurudisha hata kijiji kimoja kwenye mikono ya WARUSI
Duuuh ndo Hali imefikia huku[emoji134]Putin aitisha kikao cha dhalula KUIJADILI HIMARS
![]()
Putin Meets With Top Officials as Russia Worries Over Devastating HIMARS
High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS) have been seen as crucial to helping Ukraine fight off Russia's forces.www.newsweek.com
Well said, na nyingi za video clips za jeshi la Ukraine ni za kugushi tu, computer generated graphics /imagery (C.G.I) ni watu wachache wanao litambua hilo - kwa watu ambao hawana taaluma za masuala haya - yaani muonekano wa picha na video huko so convincing lakini ukiangalia kwa umakini sana sana background ya clips ndio utagunduwa kuwa images hizo ni za kugushi, cha ajabu watu wengi wanakuwa taken in so easily na usanii huu!!Russia hafanyagi maonyesho ye ni vitendo anayehangaika na movies za Hollywood ni huyo msanii wenu.
Ushawahi kuona Russia akipost picha ama video ya matukio yake, west medias ndio hupost
Kuna watu wanapenda sana west na huwaambii kitu, wakati Russia anasonga mbele wao watakusimulia ka clip kakutendeneza ka mainstream media za westWell said, na nyingi za video clips za jeshi la Ukraine ni za kugushi tu, computer generated graphics /imagery (C.G.I) ni watu wachache wanao litambua hilo - kwa watu ambao hawana taaluma za masuala haya - yaani muonekano wa picha na video huko so convincing lakini ukiangalia kwa umakini sana sana background ya clips ndio utagunduwa kuwa images hizo ni za kugushi, cha ajabu watu wengi wanakuwa taken in so easily na usanii huu!!
Mfano mmoja wa kuonyesha usanii wa jeshi la Zelensky, ni huu hapa: Siku za nyuma kuna video clip moja iliwahi kusambazwa mitandaoni na jeshi la Ukraine zikionyesha chopper gunship ya Urusi aina ya alligator Ka-xx eti ikitunguliwa kwa manpad type Javelin - ukicheki chopper inaonekana kutoa moshi mweupe sana kabla haijapigwa baadae manpad inafyatuliwa nayo inatoa moshi mweupe unao fanana na moshi unaotoka kwenye chopper kabla haijapigwa, hii wapi na wapi - yaani moshi wa helicopter na moshi WA Javelin manpad ufanane kabla ya impact-what a coincident!! Watu usema njia ya muongo ni fupi sana,nilipo liguduwa hilo nika-cheki background ie aridhi na vegetation vinaonekana wazi wazi ni too artificial sio real hata kidogo - sina shaka kuna baadhi ya wataalamu waliguduwa uongo huo lakini kwa kuwa ni mashabeki wa Ukraine na Zelensky basi wanajifanya kumezea tu yaani kujifanya vipofu, wana kukaa kimya bila ya kulizungumzia hilo.
Hata madai haya ya Ukraine ya kudai eti: imefanikiwa kuharibu S-300 air defense system kwa kutumia HIMARS angalieni kwanza source ya taarifa hizo, sidhani kama hiyo ni kweli hata kidogo lengo la madai hayo hasa ni kutaka kutangaza biashara za silaha za magharibi na kuiharibia sifa silaha za Urusi - ndio walivyo, ubinafsi na uchoyo - NATO/US wamekwisha tambuwa kwamba uwezekano wa Zelensky kushinda hii Vita haupo kabisa licha ya kupatiwa misaada ya silaha kutoka magharibi pamoja na wanajeshi wa kukodi pamoja na washauri wa kijeshi kutoka Merikani na Uingereza lakini bado jeshi la Ukraine linapata wakati mgumu sana kwenye vita hii ya kushikizwa na watawala wa Merikani kutokana na maslahi yao binafsi.
Kwa bahati mbaya Zelensky hajitambui kwamba anatumiwa na the US/Biden kama tool ya ku-support highly questionable foreign policy za Uncle SAM. Actually habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika zinasema kwamba utawala wa Zelensky au Zelensky mwenyewe ataondolewa madarakani na washirika wake ambao ameanza kuvurugana nao kwa kuwaondoa madarakani unceremoniously hivi karibuni au atatolewa pumzi na wafadhili wake wakubwa wanao muona ameanza kuwa liability kwao badala ya kuwa asset, alternatively Urusi inaweza kushirikiana na Viongozi wa Ukraine walio timuliwa kazi/madarakani na Zelensky hivi karibuni hao watatumika kaunda Serikali mpya pale Kiev - sikilizeni kauli mpya ya Lavlov, imekwisha anza badirika linapo kuja suala la harms ya Ukraine hivi sasa Lavlov unazungumzia "regime change" sio tena special military operation!! Kwa nini?? Bila shaka kuna kitu kinasukwa dhidi ya Zelensky na washauri wake wa karibu. Mambo yanavyo onekana/elekea uwezekano wa Uogozi wa Zelensky kufika Desemba ni mdogo sana - my opinion.
Tunaomba hiyo video ya Chopa na Sisi tuone.Well said, na nyingi za video clips za jeshi la Ukraine ni za kugushi tu, computer generated graphics /imagery (C.G.I) ni watu wachache wanao litambua hilo - kwa watu ambao hawana taaluma za masuala haya - yaani muonekano wa picha na video huko so convincing lakini ukiangalia kwa umakini sana sana background ya clips ndio utagunduwa kuwa images hizo ni za kugushi, cha ajabu watu wengi wanakuwa taken in so easily na usanii huu!!
Mfano mmoja wa kuonyesha usanii wa jeshi la Zelensky, ni huu hapa: Siku za nyuma kuna video clip moja iliwahi kusambazwa mitandaoni na jeshi la Ukraine zikionyesha chopper gunship ya Urusi aina ya alligator Ka-xx eti ikitunguliwa kwa manpad type Javelin - ukicheki chopper inaonekana kutoa moshi mweupe sana kabla haijapigwa baadae manpad inafyatuliwa nayo inatoa moshi mweupe unao fanana na moshi unaotoka kwenye chopper kabla haijapigwa, hii wapi na wapi - yaani moshi wa helicopter na moshi WA Javelin manpad ufanane kabla ya impact-what a coincident!! Watu usema njia ya muongo ni fupi sana,nilipo liguduwa hilo nika-cheki background ie aridhi na vegetation vinaonekana wazi wazi ni too artificial sio real hata kidogo - sina shaka kuna baadhi ya wataalamu waliguduwa uongo huo lakini kwa kuwa ni mashabeki wa Ukraine na Zelensky basi wanajifanya kumezea tu yaani kujifanya vipofu, wana kukaa kimya bila ya kulizungumzia hilo.
Hata madai haya ya Ukraine ya kudai eti: imefanikiwa kuharibu S-300 air defense system kwa kutumia HIMARS angalieni kwanza source ya taarifa hizo, sidhani kama hiyo ni kweli hata kidogo lengo la madai hayo hasa ni kutaka kutangaza biashara za silaha za magharibi na kuiharibia sifa silaha za Urusi - ndio walivyo, ubinafsi na uchoyo - NATO/US wamekwisha tambuwa kwamba uwezekano wa Zelensky kushinda hii Vita haupo kabisa licha ya kupatiwa misaada ya silaha kutoka magharibi pamoja na wanajeshi wa kukodi pamoja na washauri wa kijeshi kutoka Merikani na Uingereza lakini bado jeshi la Ukraine linapata wakati mgumu sana kwenye vita hii ya kushikizwa na watawala wa Merikani kutokana na maslahi yao binafsi.
Kwa bahati mbaya Zelensky hajitambui kwamba anatumiwa na the US/Biden kama tool ya ku-support highly questionable foreign policy za Uncle SAM. Actually habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika zinasema kwamba utawala wa Zelensky au Zelensky mwenyewe ataondolewa madarakani na washirika wake ambao ameanza kuvurugana nao kwa kuwaondoa madarakani unceremoniously hivi karibuni au atatolewa pumzi na wafadhili wake wakubwa wanao muona ameanza kuwa liability kwao badala ya kuwa asset, alternatively Urusi inaweza kushirikiana na Viongozi wa Ukraine walio timuliwa kazi/madarakani na Zelensky hivi karibuni hao watatumika kaunda Serikali mpya pale Kiev - sikilizeni kauli mpya ya Lavlov, imekwisha anza badirika linapo kuja suala la hatma ya Ukraine, hivi sasa Lavlov unazungumzia "regime change" sio tena special military operation!! Kwa nini?? Bila shaka kuna kitu kinasukwa dhidi ya Zelensky na washauri wake wa karibu. Mambo yanavyo onekana/elekea uwezekano wa Uogozi wa Zelensky kufika Desemba ni mdogo sana - my opinion.
Russia atamtoa na Hanna la kufanyzTunaomba hiyo video ya Chopa na Sisi tuone.
Video za Ukraine nyingi ni za kutengeneza lakini za Urusi ndo original si ndio?! Hawa warusi si ndo mlituaminisha humu na wewe ukiwemo kwamba eti wanauziwa silaha na Ukraine?! Propaganda za Urusi hua unazifumbia sana Macho hua huoni mabaya Yao. Hiyo video ya S-300 ni original hata ukiangalia ardhi,anga, position ya camera hizo launchers zimeharibiwa na HIMARS. Vipi kuhusu Ile Sophisticated Podlet radar K1 inayotumiwa na S400 ilivyoharibiwa na HIMARS au nayo imetengenezwa kwenye computer?! Al
Kauli ya Lavrov haijawahi kubadilika Labda kama umeanza kufatilia hii vita juzi,unakumbuka hotuba aliyoitoa Putin wakati hii operation inaanza?! Kwanza alikataa kabisa kukubali existence ya Taifa linaloitwa Ukraine akisema inaongozwa na magaidi. Baadae akataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Rais wao ili wapachike kibaraka wao,alivyoona Hali inakua ngumu akatuma lile limsafara lake la 40km kwenda kuiteka Kiev alivyoshindwa ili kuficha aibu wwkajifanya wamebadilisha malengo na kwamba nia yao ilikua sio Kiev Ila Donbas mpaka Leo hii miezi 6 hawajamalizana napo. Pia usisahau maeneo hayo kabla hata ya Vita mengi yalikua chini ya Urusi.
Hii vita tukubali tukatae Urusi imeonyesha udhaifu mkubwa Sana mpaka experts wengi wakashangazwa na uwezo wa kivita wa Urusi na kwamba kumbe walikua wanaipa rank za juu wakati uwezo wake hauna uhalisia. Unakumbuka wakati Vita inaanza CIA walisema kwamba Kiev itafall ndani ya siku 3 itakua mikononi mwa Kremlin?! Hii ni kwamba walioverestimate uwezo wa kijeshi wa Russia kumbe vitu kwa ground haviko hivyo. Mwanzoni kabisa mwa operation Russia ilisema wameharibu kabisa uwezo wa Airforce ya Ukraine lakini cha ajabu mpaka Leo ndege za Ukraine zinaruka wameshindwa hata kucreate no fly zone over Ukraine. Ukraine ndo nchi isiyokuwa na navy kuizamisha Meli ya kisasa ya Moskva,Urusi ilikataa baadae ilibidi ikubali baada ya Meli kuzama.
Mwanzoni mwa mwezi huu walisema wameharibu HIMARS mbili,juzi wanasema wameharibu HIMARS NNE lakini hakuna evidence waliyotupa. Wakasema wameharibu ghala la silaha hapo Odessa,lakini je ghala la silaha liharibike bila kuwepo kwa secondary explosion ya silaha zilizoharibiwa?! Yote haya wameshindwa kuthibitisha
MWISHO: Kwasasa hakuna wa kumtoa Zelenksy madarakani,tupo hapa muda utaongea
Labda ukamtoe wewe, si kuna siku mlisema kakimbia nchi? Urusi ni overrated sana.Russia atamtoa na Hanna la kufanyz
Haya Leo ndugu zako wanasema hawakuharibu HIMARS bali rocket zinazotumika kwenye HIMARS. Russia Kwa propaganda.Endelea kujifariji una chanzo kingine cha taarifa yako [emoji851][emoji851]
Hapa u.amwamini nani na wapi kasema hajapiga hizo HIMARS kwenye hii articleHaya Leo ndugu zako wanasema hawakuharibu HIMARS bali rocket zinazotumika kwenye HIMARS. Russia Kwa propaganda.
https://www.rt.com/news/559593-ukraine-himars-m777-strike/amp/
Russia inasema ni Operation imekuwa vita tena,Kuoteana ndio vita yenyewe
Z
Punguza makasiriko, hatuna sababu ya kudanganya UMMA.Well said, na nyingi za video clips za jeshi la Ukraine ni za kugushi tu, computer generated graphics /imagery (C.G.I) ni watu wachache wanao litambua hilo - kwa watu ambao hawana taaluma za masuala haya - yaani muonekano wa picha na video huko so convincing lakini ukiangalia kwa umakini sana sana background ya clips ndio utagunduwa kuwa images hizo ni za kugushi, cha ajabu watu wengi wanakuwa taken in so easily na usanii huu!!
Mfano mmoja wa kuonyesha usanii wa jeshi la Zelensky, ni huu hapa: Siku za nyuma kuna video clip moja iliwahi kusambazwa mitandaoni na jeshi la Ukraine zikionyesha chopper gunship ya Urusi aina ya alligator Ka-xx eti ikitunguliwa kwa manpad type Javelin - ukicheki chopper inaonekana kutoa moshi mweupe sana kabla haijapigwa baadae manpad inafyatuliwa nayo inatoa moshi mweupe unao fanana na moshi unaotoka kwenye chopper kabla haijapigwa, hii wapi na wapi - yaani moshi wa helicopter na moshi WA Javelin manpad ufanane kabla ya impact-what a coincident!! Watu usema njia ya muongo ni fupi sana,nilipo liguduwa hilo nika-cheki background ie aridhi na vegetation vinaonekana wazi wazi ni too artificial sio real hata kidogo - sina shaka kuna baadhi ya wataalamu waliguduwa uongo huo lakini kwa kuwa ni mashabeki wa Ukraine na Zelensky basi wanajifanya kumezea tu yaani kujifanya vipofu, wana kukaa kimya bila ya kulizungumzia hilo.
Hata madai haya ya Ukraine ya kudai eti: imefanikiwa kuharibu S-300 air defense system kwa kutumia HIMARS angalieni kwanza source ya taarifa hizo, sidhani kama hiyo ni kweli hata kidogo lengo la madai hayo hasa ni kutaka kutangaza biashara za silaha za magharibi na kuiharibia sifa silaha za Urusi - ndio walivyo, ubinafsi na uchoyo - NATO/US wamekwisha tambuwa kwamba uwezekano wa Zelensky kushinda hii Vita haupo kabisa licha ya kupatiwa misaada ya silaha kutoka magharibi pamoja na wanajeshi wa kukodi pamoja na washauri wa kijeshi kutoka Merikani na Uingereza lakini bado jeshi la Ukraine linapata wakati mgumu sana kwenye vita hii ya kushikizwa na watawala wa Merikani kutokana na maslahi yao binafsi.
Kwa bahati mbaya Zelensky hajitambui kwamba anatumiwa na the US/Biden kama tool ya ku-support highly questionable foreign policy za Uncle SAM. Actually habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika zinasema kwamba utawala wa Zelensky au Zelensky mwenyewe ataondolewa madarakani na washirika wake ambao ameanza kuvurugana nao kwa kuwaondoa madarakani unceremoniously hivi karibuni au atatolewa pumzi na wafadhili wake wakubwa wanao muona ameanza kuwa liability kwao badala ya kuwa asset, alternatively Urusi inaweza kushirikiana na Viongozi wa Ukraine walio timuliwa kazi/madarakani na Zelensky hivi karibuni hao watatumika kaunda Serikali mpya pale Kiev - sikilizeni kauli mpya ya Lavlov, imekwisha anza badirika linapo kuja suala la hatma ya Ukraine, hivi sasa Lavlov unazungumzia "regime change" sio tena special military operation!! Kwa nini?? Bila shaka kuna kitu kinasukwa dhidi ya Zelensky na washauri wake wa karibu. Mambo yanavyo onekana/elekea uwezekano wa Uogozi wa Zelensky kufika Desemba ni mdogo sana - my opinion.
Hujaweka shirika moja nje ya Urusi iliyoripoti habari ya kuharibika kwa HIMARS. Wote wengine waliripoti kuna madai ya Urusi eti iliharibu...Nimekuwekea mashirika mangapi ya habari yaliyoripoti hii habari, kama hutaki kuamini fresh
Kuanzia vita imeanza kuna aliyekubali kupoteza chochote?Hujaweka shirika moja nje ya Urusi iliyoripoti habari ya kuharibika kwa HIMARS. Wote wengine waliripoti kuna madai ya Urusi eti iliharibu...
Tofauti unaelewa, je?
Kweli wote wanajaribu kugushi. Angalau Ukraine inakubali ilipoteza Mariupol na miji mingine; Urusi bado inasimulia hadithi za Abu Nuwasi juu ya kutofukuzwa Kyiv, kushinda Charkiv (hadi kurudi Urusi penyewe...) na ule mlipuko kwenye manowari Moskva ambao hauna uhusiano wowote na roketi kutoka Ukraine....Kuanzia vita imeanza kuna aliyekubali kupotza chochote?
Nijibu hata wakipoteza mji kesho yake wanakuja na TAKWIMU ya idadi ya silaha na askari wa Russia waliokufa 🤣🤣🤣🤣
Fungua macho bhasi jamaa
Bado unazungumzia Mariupol hadi unajisahaulisha miji mingapi ukijuisha Odesa na Donbas 😂😂😂 kuna miji mi3 zaidi naisahau we kagugo acha kujiariri mzeebabaKweli wote wanajaribu kugushi. Angalau Ukraine inakubali ilipoteza Mariupol na miji mingine; Urusi bado inasimulia hadithi za Abu Nuwasi juu ya kutofukuzwa Kyiv, kushinda Charkiv (hadi kurudi Urusi penyewe...) na ule mlipuko kwenye manowari Moskva ambao hauna uhusiano wowote na roketi kutoka Ukraine....
YouTube ya Kibiti pwaniIngia YouTube [emoji851][emoji851]