Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

U
Najua kusoma ramani? Kwani Google picha ipo moja tu acha upo hiyo miji yenye yangi nyekundu ipo Russia? Unaanza kunipa wasiwasi na uelewa wako
 

Attachments

  • Screenshot_20220726-205226_Chrome.jpg
    241.1 KB · Views: 4
U

Najua kusoma ramani? Kwani Google picha ipo moja tu acha upo hiyo miji yenye yangi nyekundu ipo Russia? Unaanza kunipa wasiwasi na uelewa wako
Jamani kweli hujui kusoma ramani, wala hujui Odesa iko wapi. Duh!
 

S-300? Labda anasafisha ghala tu. Mrusi sasa anafikiria S-500 tena with various version. Pia Version za S-400 kuanzia hiyo hadi matoleo yake mengine!
 
Operesheni inachukua muda kuliandika,tunarahisisha tu na kuiita vita,hata wewe pia umeiita vita,hahahahaha ila Putin piga Gaykraine hao
Z
 
Akaechini ili iweje???? Never give up.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Russia hafanyagi maonyesho ye ni vitendo anayehangaika na movies za Hollywood ni huyo msanii wenu.

Ushawahi kuona Russia akipost picha ama video ya matukio yake, west medias ndio hupost
Basi Ukraine wamekanusha hamna kilicho haribiwa.Sasa kama hafanyi maonyesho na yale magwalide? Ushawahi ona U.S anafanya gwalide?
 
Ushawahi ona U.S anafanya gwalide?
Tunazungumzia vitani mbona kama unahamaa mada?
Kuna nchi yoyote iliyowahi kukiri kupigwa silaha zake kati ya hizi mbili?
kinachodetermine nani anazidiwa ni kuona nani anasonga mbele
 
Putin alaaniwe kwa mauaji na kuwa sehemu ya kusababisha njaa kwa watu wengi maskini katika dunia ya ulimwengu wa tatu.
 
Niliwahi kusema na narudia hakuna takataka yeyote ya kuzuia bomu likirushwa..
 

Unaumia kutokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…