Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

Juz trump alilalamika Kwann Putin hataki kucease fire kipind mazungumzo ya amani yakiendelea.

Putin Ako retaliate utashangaa Tena trump na Ukraine wanalalamika.

Mi nadhan Putin abadilishe strategy, atumie Ile ya netanyau kule gaza
 
Waukraine watajuta

🔺🇷🇺❗️Russian President Vladimir Putin ordered the Strategic Missile Command to prepare the Oreshnik RS-26 missiles.
 
Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika
Inamaana walikua wamesinzia??
 
Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.

Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika

Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi

SSB chini ya Budanov ni habari nyingine
Sasa iyo video ya kuaribu ndege 40 mbona ujaweka boss🤣🤣🤣
 
The Best Aircraft Carriers of the World:

1748871817907.jpg
💙💛
 
Ni kweli shambulio limetokea. Lakini, udhibitisho wa ndege arobaini kuharibiwa kiasi cha kutotumika haujapatikana bado
 
Back
Top Bottom