Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

Ukraine kawekwa chambo wa magharibi wazee wa GEOPOLITICS wanaelewa... Ukraine anazidi kupoteza manpower na ardhi yake.
Ngoja Urusi atume majibu
 
Cha msingi wewe kaa karibu na TV au Smartphone yako, kitakacho ipata Ukraine hii week au ijayo Dunia itashangaa, jiandae kwa Retaliatory Strike moja ya balaa zito l.
Hakuna kitu UkrainÄ™ Inajua namna ya kupambana na Russia ndiyo maana hafurukuti Mwaka wa tatu sasa Supapawa anahangaika tu!!
 
Hakuna kitu UkrainÄ™ Inajua namna ya kupambana na Russia ndiyo maana hafurukuti Mwaka wa tatu sasa Supapawa anahangaika tu!!
Em tulia kila siku Russia ina gain new territories halafu una nambia hafurukuti, em uwe kua serious basi, Donbas Yote ni kama inaishia mikononi mwa Russia.
 
Em tulia kila siku Russia ina gain new territories halafu una nambia hafurukuti, em uwe kua serious basi, Donbas Yote ni kama inaishia mikononi mwa Russia.
As Supapawa sasa ni Mwaka wa tatu wewe huoni kuwa Russia ana Hali mbaya?
 
Hapa naona napoteza muda hivi unaelewa nini maana ya ushindi lakini.
Baba Rhobi Mimi najua zaidi yako maana mimi hizo ndizo anga zangu!!! Najua sana maana ya ushindi lakini si kama huo unaoufanya wewe ni ushindi!! Ukitaka nitakuwa shule!!!
 
Back
Top Bottom