Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Hakuna uhuru usio na mipaka,hasa pale unapo pakana na mataifa makubwa au kuingilia deal za wakubwa kama USA, Urusi,China nk.Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?
Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?
Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.
Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.
Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
UpindeHivi wewe unaelewa ulichokiandika?
Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?
Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.
Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.
Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Wangesalimu amri mapema wangeokoa uhai wa watu na.mali zao. Ina Sasa miji Yao ilivyogeuzwa magofuMji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo.
Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama mnyama aliyekatwa viungo vyote na kubakishwa kichwa pekee.
Katika hali ya kuchanganyikiwa nchi hiyo imeomba nchi yoyote yenye silaha za mfumo wa Patriot kuharakisha kuwasaidia ili kuzuia vikosi vya Urusi visisonge mbele.
Ukraineβs top diplomat pushes allies for seven Patriot systems βfor peace in Europeβ
UTAKIWI KUNISIKILIZA MIMI WALA KUMSIKILIZA PUTIN ....UNATAKIWA KUTUMIA AKILI HAPO NIMEKUPA LUGHA YA AKILI ....NYINYI NDIYO WAPUMBAVU MNAO ACHA KUONGOZWA NA AKILI AU KUTUMIA AKILI ....NDIYO MAANA CCM NA CHADEMA WANAWAGEUZA MISUKULE YAO HATA KWENYE DINI WATU KAMA NYINYI MSIO TAKA KUONGOZWA NA AKILI MNAISHIA KUGEUZWA MISUKULE YA WAHUNI WA KIDINI .....NILICHO KUAMBIA NDIYO AKILI YA URUSI NA PUTIN INACHO KWENDA KUKIFANYA MENGINE YOTE NI DANGANYA TOTO KAMA WEWE.Sasa tumsikilize Putin au tukusikilize wewe wa huku Bongo?
Kama siyo rede imemchukua muda gani mpaka sasa hivi kutimiliza malengo yake?
Masaa kadhaa yaliyopita kwa mjibu wa RT imetokea milipuko 20 Crimea iliyosababishwa na makombora yaliyorushwa toka ukraine!Two civilians killed in Crimea missile attack β governor
Huna hoja shehe. Na kiujumla, mtu yeyote anaeshabikia uvamizi wa Urusi hana hoja ya maana, zaidi ya kusema tu ''Upinde''Upinde
Basi acha afundishwe adabu, maana hana heshima.Hakuna uhuru usio na mipaka,hasa pale unapo pakana na mataifa makubwa au kuingilia deal za wakubwa kama USA, Urusi,China nk.
Lazima wakufundishe adabu tu,pale unapo kosa heshima.
Kuna Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema "mighty is justice"
Mkuu umeongea point sana.Urusi ni taifa lenye nguvu sana kijeshi, Kuna wajinga humu walikuwa wanafikiria Urusi itapoteza vita kwa Ukraine.
Urusi ana silaha nyingi sana kuanzia enzi za Soviet Hadi innovation za kisasa. Ni taifa kubwa lenye mabavu lisilohofia mapigano. Warusi wanapenda kupigana kuliko mgogoro wa maneno.
Umetoa mfano sahihi sana.Tanganyika na zenji zitafikiaga huku siku moja.
Ni muhimu tuikalie Zanzibar Kwa mabavu sasa
Mtu kama mimi kila siku kupokea taarifa za vifo vya askari na adui akisonga mbele basi naweza kuanguka puuu ! bila hata kutembelea mstari wa mbele.Muvi zimeniaribu nimekua nkifuatilia hivi vita vinavyo endelea duniani kote na nimekua ninafurahiya haya matukio kwelikweli.
Ila siku za karibuni nimegombana vikali na jirani yangu, ugomvi mkubwa sanaa.
Sasa kwanzia huu ugomvi utokee amani sina kwa kwelii.. yaani kidogo nmeanza kuelewa vita sio poa, kama ugomvi kidogo tu umenipunguza kilo kazaa, vp kuhusu gaza, sudan, na ukraine?
Sasa mambo ndiyo hayo nchi imegeuka magofu. Hata Kama una Uhuru wa kujiamulia mambo yako lakini lugha ya staha kwa wakubwa na kutokushirikiana na adui wa jirani yako kwa manufaa ya watu wako hakukuondolei utu wako.Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?
Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?
Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.
Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.
Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Aidha ni ushabiki tu, au ni chuki dhidi ya west tu ama ni kutokujua mambo tu.Sasa mambo ndiyo hayo nchi imegeuka magofu. Hata Kama una Uhuru wa kujiamulia mambo yako lakini lugha ya staha kwa wakubwa na kutokushirikiana na adui wa jirani yako kwa manufaa ya watu wako hakukuondolei utu wako.
Hapana haikuwa nato bali ni kupinduliwa kwa rais wa Ukraine anayefungamana na urusi.Aidha ni ushabiki tu, au ni chuki dhidi ya west tu ama ni kutokujua mambo tu.
Unaweza ukaishi kwa kufuata matakwa ya jirani yako? Wewe unadhani angeishia kumuamulia la NATO tu?
Wewe unadhani sababu kweli ni NATO?
Putin alipovamia na kuimega Crimea sababu ilikuwa ni NATO?
Hapa sasa umeandika ukweli.Hapana haikuwa nato bali ni kupinduliwa kwa rais wa Ukraine anayefungamana na urusi.
Lakini mapinduzi yalitokana na waandamanaji wenye kutaka ushirika na west na sio urusi.
Na hii yote ni nato walitaka kumnyakua mshirika wa urusi ambaye ni ukraine kwa ahadi za misaada na vitu vingine.
Huu ulikuwa uchokozi wa nato kwa urusi na urusi aliamua kuonesha ukubwa wake.
Hebu niambie marekani inaweza kukubali nchi zinazomzunguka zimkane na ziwe na uhusiano na urusi wenye kumtia shaka?
Ukraine ni ndugu wa damu wa urusi alitakiwa aijue nafasi yake na sio kumtosa ndugu yake, ingawa kinachofanywa na urusi sio sahihi
Halafu cha kushangaza asilimia kubwa mnaolaana Russia ndio mnaoshabikia mauwaji yanayofanyika gazaHuna hoja shehe. Na kiujumla, mtu yeyote anaeshabikia uvamizi wa Urusi hana hoja ya maana, zaidi ya kusema tu ''Upinde''
Hivi leo mexico akisema aruhusu makombora ya Urusi au China nchini yawekwe kwake unadhani USA atakubali?Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?
Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?
Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.
Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.
Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
ππππππ af kuna mandezi walikuwa wanachukulia poaRussia maji marefu Mzee Anapigana na NATO yote combined..Na wote wamechezea kichapo
Jirani kama mpumbavu lazma umnyooshe tu. Sio dhambi maana mazungumzo hutangulia kabla ya vitendo. Ukraine alikuwa hard Negotiator thus why katwangwa.Aidha ni ushabiki tu, au ni chuki dhidi ya west tu ama ni kutokujua mambo tu.
Unaweza ukaishi kwa kufuata matakwa ya jirani yako? Wewe unadhani angeishia kumuamulia la NATO tu?
Wewe unadhani sababu kweli ni NATO?
Putin alipovamia na kuimega Crimea sababu ilikuwa ni NATO?
Usiwe pungua Putin siyo mwehu avamie tu billa sababu wewe unayefikiria vizuri tueleze sababu ya Putin kushambulia Ukraine.Yaani Urusi ilipovamia raisi wa Ukraine angesarenda na kukabidhi nchi, au angekuwa anafuata na kutekeleza anachotaka Putin ili hali Ukraine ni nchi huru? Au wakitaka kujiunga na shirika fulani ni hadi wakamuulize Putin?
Hivi nyie watu mnafikiria kwa kutumia kiungo gani?
Umekariri, mimi napinga mauaji ya gaza.Halafu cha kushangaza asilimia kubwa mnaolaana Russia ndio mnaoshabikia mauwaji yanayofanyika gaza
Sababu ni ushoga.Usiwe pungua Putin siyo mwehu avamie tu billa sababu wewe unayefikiria vizuri tueleze sababu ya Putin kushambulia Ukraine.
Safi sana, acha anyooshwe.Jirani kama mpumbavu lazma umnyooshe tu. Sio dhambi maana mazungumzo hutangulia kabla ya vitendo. Ukraine alikuwa hard Negotiator thus why katwangwa.