Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?

Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?

Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.

Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.

Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Hakuna uhuru usio na mipaka,hasa pale unapo pakana na mataifa makubwa au kuingilia deal za wakubwa kama USA, Urusi,China nk.

Lazima wakufundishe adabu tu,pale unapo kosa heshima.

Kuna Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema "mighty is justice"
 
Upinde
 
Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo.

Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama mnyama aliyekatwa viungo vyote na kubakishwa kichwa pekee.

Katika hali ya kuchanganyikiwa nchi hiyo imeomba nchi yoyote yenye silaha za mfumo wa Patriot kuharakisha kuwasaidia ili kuzuia vikosi vya Urusi visisonge mbele.

Ukraine’s top diplomat pushes allies for seven Patriot systems ‘for peace in Europe’

Wangesalimu amri mapema wangeokoa uhai wa watu na.mali zao. Ina Sasa miji Yao ilivyogeuzwa magofu
 
Sasa tumsikilize Putin au tukusikilize wewe wa huku Bongo?
Kama siyo rede imemchukua muda gani mpaka sasa hivi kutimiliza malengo yake?
Masaa kadhaa yaliyopita kwa mjibu wa RT imetokea milipuko 20 Crimea iliyosababishwa na makombora yaliyorushwa toka ukraine!Two civilians killed in Crimea missile attack – governor
UTAKIWI KUNISIKILIZA MIMI WALA KUMSIKILIZA PUTIN ....UNATAKIWA KUTUMIA AKILI HAPO NIMEKUPA LUGHA YA AKILI ....NYINYI NDIYO WAPUMBAVU MNAO ACHA KUONGOZWA NA AKILI AU KUTUMIA AKILI ....NDIYO MAANA CCM NA CHADEMA WANAWAGEUZA MISUKULE YAO HATA KWENYE DINI WATU KAMA NYINYI MSIO TAKA KUONGOZWA NA AKILI MNAISHIA KUGEUZWA MISUKULE YA WAHUNI WA KIDINI .....NILICHO KUAMBIA NDIYO AKILI YA URUSI NA PUTIN INACHO KWENDA KUKIFANYA MENGINE YOTE NI DANGANYA TOTO KAMA WEWE.
 
Hakuna uhuru usio na mipaka,hasa pale unapo pakana na mataifa makubwa au kuingilia deal za wakubwa kama USA, Urusi,China nk.

Lazima wakufundishe adabu tu,pale unapo kosa heshima.

Kuna Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema "mighty is justice"
Basi acha afundishwe adabu, maana hana heshima.

Kutaka kujiunga na NATO ni kukosa adabu, ngoja wamuadabishe.
 
Urusi ni taifa lenye nguvu sana kijeshi, Kuna wajinga humu walikuwa wanafikiria Urusi itapoteza vita kwa Ukraine.

Urusi ana silaha nyingi sana kuanzia enzi za Soviet Hadi innovation za kisasa. Ni taifa kubwa lenye mabavu lisilohofia mapigano. Warusi wanapenda kupigana kuliko mgogoro wa maneno.
Mkuu umeongea point sana.

Jamaa ni damu ya kupigana imo damuni
 
Muvi zimeniaribu nimekua nkifuatilia hivi vita vinavyo endelea duniani kote na nimekua ninafurahiya haya matukio kwelikweli.

Ila siku za karibuni nimegombana vikali na jirani yangu, ugomvi mkubwa sanaa.

Sasa kwanzia huu ugomvi utokee amani sina kwa kwelii.. yaani kidogo nmeanza kuelewa vita sio poa, kama ugomvi kidogo tu umenipunguza kilo kazaa, vp kuhusu gaza, sudan, na ukraine?
Mtu kama mimi kila siku kupokea taarifa za vifo vya askari na adui akisonga mbele basi naweza kuanguka puuu ! bila hata kutembelea mstari wa mbele.
Nawasifu sana Hamas.Kuendelea kupigana bila silaha wala chakula na kila siku wenzako wa karibu wanapukutika.
 
Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?

Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?

Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.

Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.

Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Sasa mambo ndiyo hayo nchi imegeuka magofu. Hata Kama una Uhuru wa kujiamulia mambo yako lakini lugha ya staha kwa wakubwa na kutokushirikiana na adui wa jirani yako kwa manufaa ya watu wako hakukuondolei utu wako.
 
Aidha ni ushabiki tu, au ni chuki dhidi ya west tu ama ni kutokujua mambo tu.

Unaweza ukaishi kwa kufuata matakwa ya jirani yako? Wewe unadhani angeishia kumuamulia la NATO tu?

Wewe unadhani sababu kweli ni NATO?

Putin alipovamia na kuimega Crimea sababu ilikuwa ni NATO?
 
Hapana haikuwa nato bali ni kupinduliwa kwa rais wa Ukraine anayefungamana na urusi.

Lakini mapinduzi yalitokana na waandamanaji wenye kutaka ushirika na west na sio urusi.

Na hii yote ni nato walitaka kumnyakua mshirika wa urusi ambaye ni ukraine kwa ahadi za misaada na vitu vingine.

Huu ulikuwa uchokozi wa nato kwa urusi na urusi aliamua kuonesha ukubwa wake.

Hebu niambie marekani inaweza kukubali nchi zinazomzunguka zimkane na ziwe na uhusiano na urusi wenye kumtia shaka?

Ukraine ni ndugu wa damu wa urusi alitakiwa aijue nafasi yake na sio kumtosa ndugu yake, ingawa kinachofanywa na urusi sio sahihi
 
Hapa sasa umeandika ukweli.

Kinachofanywa ni ubabe unaotakiwa kukemewa. Siyo sahihi kulazimisha jirani akupende.

Uvamizi kama wa Marekani Afghanistan na Iraq ni mifano mingine ya ubabe usiohitajika.

Ni vitendo vya kukemewa.kukemewa.
 
Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?

Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?

Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.

Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.

Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Hivi leo mexico akisema aruhusu makombora ya Urusi au China nchini yawekwe kwake unadhani USA atakubali?
 
Aidha ni ushabiki tu, au ni chuki dhidi ya west tu ama ni kutokujua mambo tu.

Unaweza ukaishi kwa kufuata matakwa ya jirani yako? Wewe unadhani angeishia kumuamulia la NATO tu?

Wewe unadhani sababu kweli ni NATO?

Putin alipovamia na kuimega Crimea sababu ilikuwa ni NATO?
Jirani kama mpumbavu lazma umnyooshe tu. Sio dhambi maana mazungumzo hutangulia kabla ya vitendo. Ukraine alikuwa hard Negotiator thus why katwangwa.
 
Yaani Urusi ilipovamia raisi wa Ukraine angesarenda na kukabidhi nchi, au angekuwa anafuata na kutekeleza anachotaka Putin ili hali Ukraine ni nchi huru? Au wakitaka kujiunga na shirika fulani ni hadi wakamuulize Putin?

Hivi nyie watu mnafikiria kwa kutumia kiungo gani?
Usiwe pungua Putin siyo mwehu avamie tu billa sababu wewe unayefikiria vizuri tueleze sababu ya Putin kushambulia Ukraine.
 
Back
Top Bottom