Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Hakuna uhuru usio na mipaka,hasa pale unapo pakana na mataifa makubwa au kuingilia deal za wakubwa kama USA, Urusi,China nk.Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?
Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?
Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.
Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.
Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Lazima wakufundishe adabu tu,pale unapo kosa heshima.
Kuna Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema "mighty is justice"