Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo.
Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama mnyama aliyekatwa viungo vyote na kubakishwa kichwa pekee.
Katika hali ya kuchanganyikiwa nchi hiyo imeomba nchi yoyote yenye silaha za mfumo wa Patriot kuharakisha kuwasaidia ili kuzuia vikosi vya Urusi visisonge mbele.