Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo.

Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama mnyama aliyekatwa viungo vyote na kubakishwa kichwa pekee.

Katika hali ya kuchanganyikiwa nchi hiyo imeomba nchi yoyote yenye silaha za mfumo wa Patriot kuharakisha kuwasaidia ili kuzuia vikosi vya Urusi visisonge mbele.

Ukraine’s top diplomat pushes allies for seven Patriot systems ‘for peace in Europe’

FB_IMG_17155436210316210.jpg

Hata wakipata Patriot zitalipuliwa tu!

Kilichobaki labda waende na picha ya mwamposa vitani
FB_IMG_17155298264116526.jpg
 
Kwa kweli nimeswitch side
Russia Taifa Teule🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Piga hao Ukraine kwanza tumewapa hifadhi nchini kwangu UK lakini wanashobo sana kujiona wao ndio wazungu zaidi mpaka Waingereza wenyewe wamewachoka
Piga hao mashoga
Ungekuwa Muingereza halisi ingekuwa ukikutana nao unawatemea mate , Be good to others.
 
Karibuni kaandikiwa mahesabu makubwa ya msaada na mpaka leo anasubiri na kulia lia.
huyu apokonywe nchi kuinusuru Ukraine,maamuzi aliyoyafanya yakuingia vitani na russia ni maamuzi ya hovyo sana ukilinganisha na alivyotaka Russia kwamba asiungane na Nato only that!.. sijui hata kama anajua kupiga hesabu yule rais! kama sio kibaraka sijui tu!.
 
Muvi zimeniaribu nimekua nkifuatilia hivi vita vinavyo endelea duniani kote na nimekua ninafurahiya haya matukio kwelikweli.

Ila siku za karibuni nimegombana vikali na jirani yangu, ugomvi mkubwa sanaa.

Sasa kwanzia huu ugomvi utokee amani sina kwa kwelii.. yaani kidogo nmeanza kuelewa vita sio poa, kama ugomvi kidogo tu umenipunguza kilo kazaa, vp kuhusu gaza, sudan, na ukraine?
 
huyu apokonywe nchi kuinusuru Ukraine,maamuzi aliyoyafanya yakuingia vitani na russia ni maamuzi ya hovyo sana ukilinganisha na alivyotaka Russia kwamba asiungane na Nato only that!.. sijui hata kama anajua kupiga hesabu yule rais! kama sio kibaraka sijui tu!.
The guy atalaumiwa vizazi na vizazi kwa ku-wipe almost an entire generation of youth in Ukraine
 
Putin amesema Russia haina mpango wa kuuteka mji huo ambao uko karibu na mpaka wake! Bali ni kutengeneza cordoned area ndani ya Ukrane ili kuzuia mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Ukraine kwenye majimbo ya Russia yanayopakana na Ukraine.
Which means kama wasingekua wanashambulia warusi wasingehangaika na huo mji kamwe.
 
mh! hao wakubali tu masharti ya russian basi hao waliojitweta kumsaidia wapo wapi sasahivi...??
maamuzi mengine yaviongozi huwa ni hasara sana zaidi mnapopata kiongozi zumbukuku!
Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?

Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?

Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.

Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.

Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
 
The guy atalaumiwa vizazi na vizazi kwa ku-wipe almost an entire generation of youth in Ukraine
Yaani Urusi ilipovamia raisi wa Ukraine angesarenda na kukabidhi nchi, au angekuwa anafuata na kutekeleza anachotaka Putin ili hali Ukraine ni nchi huru? Au wakitaka kujiunga na shirika fulani ni hadi wakamuulize Putin?

Hivi nyie watu mnafikiria kwa kutumia kiungo gani?
The guy atalaumiwa vizazi na vizazi kwa ku-wipe almost an entire generation of youth in Ukraine
 
Back
Top Bottom