KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
kama sielewi nilichoandika sawa acha wafe! hiyo ndio raha yenu kuona watu wanavyokufa! .. kipi kilikuwa bora kujiunga na nato na mchezee mboko au kutojiunganao ili mfanye mambo yenu.. ukraine anatakiwa aitambua nafasi yake kijiografia sometimes fanya maamuzi kutokana na jiografia yako!, kafanya uchaguzi wa hovyo sana.Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?
Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?
Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.
Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.
Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.