Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?

Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?

Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.

Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.

Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
kama sielewi nilichoandika sawa acha wafe! hiyo ndio raha yenu kuona watu wanavyokufa! .. kipi kilikuwa bora kujiunga na nato na mchezee mboko au kutojiunganao ili mfanye mambo yenu.. ukraine anatakiwa aitambua nafasi yake kijiografia sometimes fanya maamuzi kutokana na jiografia yako!, kafanya uchaguzi wa hovyo sana.
 
Yaani Urusi ilipovamia raisi wa Ukraine angesarenda na kukabidhi nchi, au angekuwa anafuata na kutekeleza anachotaka Putin ili hali Ukraine ni nchi huru? Au wakitaka kujiunga na shirika fulani ni hadi wakamuulize Putin?

Hivi nyie watu mnafikiria kwa kutumia kiungo gani?
Sasa mkuu utapigana na mtu ambae haumuwezi? Tulia kuwa mpole jipange kimya kimya ukishakua vizuri ndo ulianzishe sio unaanzisha vita unategemea silaha za msaada.
 
Muvi zimeniaribu nimekua nkifuatilia hivi vita vinavyo endelea duniani kote na nimekua ninafurahiya haya matukio kwelikweli.

Ila siku za karibuni nimegombana vikali na jirani yangu, ugomvi mkubwa sanaa.

Sasa kwanzia huu ugomvi utokee amani sina kwa kwelii.. yaani kidogo nmeanza kuelewa vita sio poa, kama ugomvi kidogo tu umenipunguza kilo kazaa, vp kuhusu gaza, sudan, na ukraine?
hahaaa Mkuu bado hujasemaa
 
Ungekuwa Muingereza halisi ingekuwa ukikutana nao unawatemea mate , Be good to others.
Bingwa
Sisi ndio Tuko nao huku, hawapendwi na kuanzia waingereza wenyewe wahindi wa huku walioliwea mpaka na kina sisi na wa Nigeria wa Jamaica
Yaani hizi unakuta anahifadhiwa na familia yake kwenye nyumba ya bure anaenda kulalamika eti mtaa huu umejaa wahindi au weusi na pia shule wanasema eti sitaki watoto wangu wasomee hii shule ina wahindi na weusi
Wakati vyote hivyo wanapewa bure
Tumewachoka hata kama mimi ni muingereza wa kuchovya lakini ukweli wameshachokwa na nchi nzima
Wachapwe tu Putin wakubali yaishe warudi kwao maana huku wanaishi kwa vibali vya muda mfupi tu
 
Kwani Ukraine alianzisha vita au alivamiwa?
Alitaka kujiunga na nato wakati kuna mokataba walishakubaliana na urusi kwamba hawatakiwi kujiunga na nato. Hofu ya urusi ni kwamba ukraine angejiunga na nato angetaka kurudisha maeneo yake ambayo yanakaliwa na urusi, urusi anayatumia haya maeneo kujilinda ndipo hapo ikabidi urusi amvamie ukraine. Sikubaliana na kitendo cha kukalia maeneo ya nchi nyingine kimabavu lakini ukraine hakua sahihi kuanzisha vita na nchi ambayo haiwezi angeendelea kuwa mpole kusubiri wakati sahihi wa kukinukisha
 
Kwa kweli nimeswitch side
Russia Taifa Teule🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Piga hao Ukraine kwanza tumewapa hifadhi nchini kwangu UK lakini wanashobo sana kujiona wao ndio wazungu zaidi mpaka Waingereza wenyewe wamewachoka
Piga hao mashoga
Russia maji marefu Mzee Anapigana na NATO yote combined..Na wote wamechezea kichapo
 
Wakati Nigeria anasubiri uamuzi wa kujiunga na NATO…
Wajitolea hifadhi ya rocket zake za Aching’weng’we kwa Ukraine

1716487813729.jpeg
 
Urusi ni taifa lenye nguvu sana kijeshi, Kuna wajinga humu walikuwa wanafikiria Urusi itapoteza vita kwa Ukraine.

Urusi ana silaha nyingi sana kuanzia enzi za Soviet Hadi innovation za kisasa. Ni taifa kubwa lenye mabavu lisilohofia mapigano. Warusi wanapenda kupigana kuliko mgogoro wa maneno.
 
Putin amesema Russia haina mpango wa kuuteka mji huo ambao uko karibu na mpaka wake! Bali ni kutengeneza cordoned area ndani ya Ukrane ili kuzuia mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Ukraine kwenye majimbo ya Russia yanayopakana na Ukraine.
UWEZO WAKO WA KUELEWA LUGHA ZA MAFUMBO NI MDOGO SANA ...HIYO LUGHA MAANA YAKE NI LAZIMA URUSI ATEKE HUO MJI
 
UWEZO WAKO WA KUELEWA LUGHA ZA MAFUMBO NI MDOGO SANA ...HIYO LUGHA MAANA YAKE NI LAZIMA URUSI ATEKE HUO MJI
Sasa unalazimishaje wakati ndivyo media nyingi za kimataifa zimeripoti hivyo ikiwemo na Russia news?
Huo ni mtazamo wako kulazimisha unachofikiri wewe kiwe!
Usifikiri vita vya Russia na Ukraine ni vita vya ushabiki kama mchezo wa Yanga na Simba!
 
KWANI ULIKUWA WAPI WAKATI MRUSI NA MEDIA ZAKE WALIPO SEMA AWAVAMII UKRAIN...AU UNADHANI MRUSSI YUPO UKRAIN KUCHEZA REDE
 
KWANI ULIKUWA WAPI WAKATI MRUSI NA MEDIA ZAKE WALIPO SEMA AWAVAMII UKRAIN...AU UNADHANI MRUSSI YUPO UKRAIN KUCHEZA REDE
Sasa tumsikilize Putin au tukusikilize wewe wa huku Bongo?
Kama siyo rede imemchukua muda gani mpaka sasa hivi kutimiliza malengo yake?
Masaa kadhaa yaliyopita kwa mjibu wa RT imetokea milipuko 20 Crimea iliyosababishwa na makombora yaliyorushwa toka ukraine!Two civilians killed in Crimea missile attack – governor
 
Hivi wewe unaelewa ulichokiandika?

Nchi huru ikubali masharti ya nchi nyingine kivipi?

Ni sawa na sisi Tanzania tuvamiwe na nchi nyingine halafu eti tukubali masharti ya hiyo nchi.

Au wewe jirani yako akuvamie kwako akupige, halafu alazimishe kukupangia masharti.

Hiyo ni vita isiyo na mwisho, hadi pale Urusi atakapoacha uvamizi wake.
Tanganyika na zenji zitafikiaga huku siku moja.
Ni muhimu tuikalie Zanzibar Kwa mabavu sasa
 
Sasa mkuu utapigana na mtu ambae haumuwezi? Tulia kuwa mpole jipange kimya kimya ukishakua vizuri ndo ulianzishe sio unaanzisha vita unategemea silaha za msaada.
Mkuu ukraine alianza kujipanga kmya kmya tangu 2014 Russia ilivyochukua crimea akawa ananunua silaha za kila aina air defence za kutosha kumbe na puttin nae alishajua jamaa anajiandaa kwa battle nae akazidisha uzalishali wa silaha,baada ukraine kuona maandalizi aliyofanya yamekuwa na mazuri silaha zimejaa ndio akaanza kwenda kinyume na mikataba waliyoingia na russia anajua akilianzisha zinapgwa,usa na Nato nao wakampa hope usimuogope akikushambulia tunaingia bila kufikiria kuwa hao wanaomshawishi wenyewe hawataki mapambano ya moja kwa moja na Russia,Russia kajitahidi sn kuikwepa hii vita hili iishe kwa mazungumzo hila nato+ usa wamemponza anatamani siku zirudi nyuma afanye maamuzi sahii.
 
Back
Top Bottom