Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Ebu nionyeshe kwenye ramani jimbo la zaporizia.usichanganye kati ya jimbo na mkoa,jimbo linaweza kuwa na mikoa zaidi ya 10. Angalia kwenye ramani niliyoweka uw9ne jimbo la zaporizika lipo wapi
 
Kaka hii ngoma Russia angeichezea Israel, UK, France, German hakika watu wangetia miguu Moscow. Russia amebaki na Nukes tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli mkuu leo umejiabisha mno. Washikaji zako wa kule uzi wa majogoo wakikuona una act childish hivi itakuaje?
Kwani wewe unafanya mambo kuangalia watu?acha akili za kikondoo na kitumwa hizo.....ila sio mbaya maana nyie mnafanyaga mambo ili kuwaridhisha mabwana zenu minato............endelea kujipendekeza
 
😆😁 Mrusi kachakaza kaharibu, anarudi kwake kamaliza operation, Mchekeshaji anaendelea na komedi eti kaukomboa, kakomboa magofu??
Huyo Zele, atakuwa anakula majani ya Afande Sele siyo bure!
 
Hiyo miji wameiteka lini? maana tulikuwa tuna ambiwa Urusi haijateka mji hata mmoja.
Vijiji vidodo dogo na miji kama Khakiv, Miriopoly lakini Kyiv walikula Stinger mpaka mpaka wameomba poo wakajipange tena
 
Huko kote warusi walikuwa wanawithdraw majeshi na so kwa kupigwa. Ni baada tu ya mazungumzo yaliyoonesha tija mjini istanbul.
MSM Zinawakaririsha watu uongo
 
[emoji38][emoji16] Mrusi kachakaza kaharibu, anarudi kwake kamaliza operation, Mchekeshaji anaendelea na komedi eti kaukomboa, kakomboa magofu??
Huyo Zele, atakuwa anakula majani ya Afande Sele siyo bure!
Anavimba eti kakomboa miji hiyo kivita..vichekesho vingine bwana
 
An amazing thing, the National Police of Ukraine published a video yesterday, April 2, under the heading "Bucha - cleaning the city from the occupiers." "Occupiers", as we know, have not been there since March 30. And where did the bodies that lay everywhere on the roads go? Why was not a word said about this for 8 minutes? And today, on April 3, these bodies suddenly appeared and everyone is just talking about it.

sashakots
Ukraine apigwe tu maana hakuna namna
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…