Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

Unachukuaje kitu ambacho unakimiliki tangu 2014 na vipi ule msafara wa 64km uliokuwa unaenda Kyiv kufanya nini?
 
Huko kote warusi walikuwa wanawithdraw majeshi na so kwa kupigwa. Ni baada tu ya mazungumzo yaliyoonesha tija mjini istanbul.
MSM Zinawakaririsha watu uongo
Sio.kweli,Urusi kwanza.mawasiliona.ya wanajeshi wao na makamanda yalikatwa ndani ya Ukraine,kwa hiyo wakakosa mawasiliano na jeshi haliwezi kutumia mawasiano ya adui.Chakula pia kiwaishia hambacho ikawa hatari kwani jeshi la urusi lilipewa chakula cha kutumia kwa.mwezi so replenishment ikawa shida kwani mawasiliano hakuna.Nimeripoti kutoka Ukraine
 
Jeshi la Urusi hovyo kweli , retreat(kukimbia mji) ni disorderly kweli kweli . Retreat wanapoteza vifaa na wanajeshi kuliko awamu ya uvamizi. Z inakiona cha moto.
 
Jeshi la Urusi hovyo kweli , retreat(kukimbia mji) ni disorderly kweli kweli . Retreat wanapoteza vifaa na wanajeshi kuliko awamu ya uvamizi. Z inakiona cha moto.
Ni kwa amri Shee na sio kudisloyal order. Baada ya istanbul reconciliation
 
Nyie nyie mlidai Ukraine anapigwa ndani ya siku mbili. Ebu amkeni kwenye usingizi mzito wa vodka

Kama angeamua kurusha mabomu kiholela na kuuwa innocent people mbona angeichukua ndani ya masaa 72.

Puttin sio marekani/NATO ambao walivamia nchi za kiarabu hawakuangalia wanaempiga, watu wasio na hatia walikufa na wengine kuyakimbia makazi yao.
 
Waafrika acheni kujipendekeza kwa marekani na washirika wake wasiowatakia heri, nadhani mnajionea bei ya vyakula na mafuta yanaendelea kupanda. Walifikiri watamkomoa puttin kwa vikwazo😁, haya wamarekani wa tandale na gongolamboto jiandaeni kupanga foleni kwenye vituo vya maguta
 
Kwa nini anataka achukue majimbo yote ya Mashariki ya nchi nyingine?
 
nenda serikalini kaangalie idadi kubwa ya misaada na mikopo inatoka wapi au uje tujadili tuendelee kujipendekeza au tuache
 
Kwa nini anataka achukue majimbo yote ya Mashariki ya nchi nyingine?
Kwasababu kuna ukiukaji mkubwa sana wa hakki za bina adamu na hio ndio njia pekee yakuumaliza huo unyama
GO RUSSIA
 
Vipi kuhusu kipigo alicho kupata Marekani na vibaraka wake nchini Vietnam na Afghanistan na wao waachane na vita sio?

Vip kipigo alicho pewa Israel kutoka kwa Hizibulah vipi na yeye ahachane na vita?
Mission ya usa Afghanistan ilikuwa ni Osama na walisha mu eliminate Sasa unasema walishindwa hujui unacho jadil kid.
 
Hawajakomboa bali wameachiwa kidogo.Wajitayarishe na kipigo kikubwa zaidi na cha mpangilio kuliko cha mwanzo.Urusi hawezi kukubali kushindwa na hana sababu ya kushindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…