Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

Russia Ni Taifa maskini kabisa,jeshi lake lilikua limebaki na chakula Cha siku 3 tu, Liliishiwa silaha mpk likaomba msaada china,jeshi la Russia halina molari na halikufika Kiev.

Russia Ni maskini mnooooo.
 
Wamesema miili ilishambuliwa kwa risasi mburula wewe
 
Russia Ni Taifa maskini kabisa,jeshi lake lilikua limebaki na chakula Cha siku 3 tu, Liliishiwa silaha mpk likaomba msaada china,jeshi la Russia halina molari na halikufika Kiev.

Russia Ni maskini mnooooo.
alinena mtaalamu mmoja wa inteligensia na maswala ya Urusi kutoka bunyokwa[emoji19]
 

Si wamesema miili wameigundua baada ya majeshi ya Urusi kuondoka?
 
Waseme tu nani kafanya hayo.Msafara wa vifaru uliteketezwa njiani Warusi kila mmoja akafuta chocho yake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1] chakula chenyewe walikua wamebaki nacho Cha siku 3 tu,wangefikaje huko Kiev mkuu?Russia dhaifu mnoooo yaani Saana tu.
 
Baadhi ya maelezo ni kwamba Kuna watu wameuwawa kwa risasi
 
Huyo pimbi si aliwaambia Raia wake waingie Vitani sasa alitegemea nini?wawasalie,wawaombee kwa Mungu wapumzike kwa Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…