wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Russia Ni Taifa maskini kabisa,jeshi lake lilikua limebaki na chakula Cha siku 3 tu, Liliishiwa silaha mpk likaomba msaada china,jeshi la Russia halina molari na halikufika Kiev.ukiwa mjuaji wa buza ndio kunatatizo.
hizo kombora zinazorushwa unazifahamu. kwa ni zinakwenda je.
hivi hapo hapo unashabikia kiduku anaogopwa unajua kwa sababu zipi!
kweli nchi inavilaza kama wewe ni shida.
naweza nisifike kwako na nikakutumia bomu walanisifike hilo eneo
Russia Ni maskini mnooooo.